Majibizano kati ya Rwanda na Uganda yameanza

Majibizano kati ya Rwanda na Uganda yameanza

Ukiangalia kwenye hizo Nukuu mbili kwa kuzingatia Muda, inaonesha alienza kuongea ni Kagame then ndo akaja Musseven ingawaje bado haileti Mtiririko Mzuri wa Hoja inayojadiliwa.., Je, kuna tofauti ya SAA moja kati ya Rwanda na Uganda?
Yes Kuna tofauti ya saa moja Kati Rwanda na Uganda, Uganda ipo E.A Rwanda ipo C.A
 
I think the best option is to get rid of them all; but the problem is HOW? Wamekaa madarakani, wamekula, wamevimbiwa sasa akili zao ni kuoneshana ubabe kwa gharama za mataifa na maisha ya wananchi wao wasio na hatia. Jamani demokrasia haidanganyi; huwezi kukaa madarakani 15, 20, 25, yrs halafu ukakosa akili za kindezi kama hizi.

Country's top leadership ndiyo inayoamua nchi iingie au kutokuingia vitani and most of the time inakuwa kwa interests zao na sio za nchi. Yaani wakigombana huko wanakuja kupiganisha nchi zao. Mabadiliko ya uongozi kwa vipindi vifupi (5/10) yrs max. yanaepusha mambo mengi mojawapo kama hili la hawa jamaa. Tafadhali Nkamia na genge lako msituharibie nchi yetu!
 
Back
Top Bottom