ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,922
- 3,916
Kweri tunahitaji hili.Nisingekuwa Makini hiyo tofauti nisingeiona.., Hao NBS kuripoti tofauti ndo nilichoongelea au ww umeelewa nn hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweri tunahitaji hili.Nisingekuwa Makini hiyo tofauti nisingeiona.., Hao NBS kuripoti tofauti ndo nilichoongelea au ww umeelewa nn hapo?
OkNdiyo, Rwanda inatumia masaa ya Afrika ya Kati wakati Uganda inatumia masaa ya Afrika MasharikiA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kuna tofauti ya saa moja..kumbuka rwanda wako nyumba saa moja kwetu sawa na south africa, wakati sisi na Uganda tuko saa mojaUkiangalia kwenye hizo Nukuu mbili kwa kuzingatia Muda, inaonesha alienza kuongea ni Kagame then ndo akaja Musseven ingawaje bado haileti Mtiririko Mzuri wa Hoja inayojadiliwa.., Je, kuna tofauti ya SAA moja kati ya Rwanda na Uganda?
Jiwe ndani ya nyumbaKuna mropokaji mmoja mwenye vichwa viwili ndani ya kimoja, atakaporopoka msala wote utamwangukia yeye na wenzake wata-reunite!
Sidhani kama utawapata aise maana tunajua kabisa sukhoi moja tu inatosha kufanya paka awe mkimbizi
Sio lazima kuchanganya na chumvi za uongo. Hakusema majirani wakitwangana. Alisema wakitwangana, akimaanisha wale wa kuuule mbali na sisi wa Sudan Kusini. Nani asiyejua madhara ya wakimbizi kwa nchi yetu? Kikinuka, unafikiri watu wao watakimbilia wapi? DRC? BURUNDI? SUDANI YA KUSINI? KENYA? au watarundikana huku kwetu? Hawa majirani zetu tuendelee kuwaombea njaa tu ili tuuze mahindi, sio vita.Alishasema Ma neighbors wakitwangana sisi tunaneemeka.
Ni kweriRwanda = centra african time.
Uganda = east african time
Watanzania acheni uongo. Huyo kichaa hakuwa anazungumzia hawa wawili. Hawa wako too close to C h a t o, naimani anawaombea njaa tu ili tuwauzie mahindi lakini si vita.kuna kichaa mmoja alisema wao wapigane sisi tupate faida. Tuuze mahindi
Hata kama, mitandao inasoma saa ya wewe muangaliaj sio mtumaji, example now saa 10,niwe nachat na mtu yuko uk na mwingine china,msg itakua na saa 10 ya nlipo,so Time difference bado Nauulizia,HOW?Rwanda = centra african time.
Uganda = east african time
Sidhani kama utawapata aise maana tunajua kabisa sukhoi moja tu inatosha kufanya paka awe mkimbizi
Sent using my iPhone using jamiiforum app