Majib mapyaa ya methaly za kiswahl kwa year 2012

Majib mapyaa ya methaly za kiswahl kwa year 2012

1.aliye juu=mfate hukohuko 2.mtaka cha uvungunguni=ana lake jambo.3.Bandu bandu=mhindi wa bombay!
 
Kuanguka sio kuteleza
Shukrani ya punda ni mbio.
Penye moshi kuna wachaga tu.
Mficha uchi hataki kuonwa.
 
Back
Top Bottom