Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 763
Hata mimi nitaanzisha yangu wiki ijayo sijuwi niyaite jina gani, mwenye wazo anisaidie.
Yaite Kifulambute drinking water
Hata mimi nitaanzisha yangu wiki ijayo sijuwi niyaite jina gani, mwenye wazo anisaidie.
Yaite Kifulambute drinking water
Mkopo wa 300m halafu biashara usifanye lazma ukae.... TFDA kama walizuia yasiingie sokoni kuna uwezekano maji yalikua na ishu hasa kwenye matumizi ya binadamu...maana kama ishu ni kibali tu si angekomaa akipate hasa ukizingatia tayari mtu umeshainvest pesa nyingi huko....kuna jambo hapaTFDA Waliyazuia hakuwa amefata taratibu inavyotakiwa kwenye kuomba kibali... na ndicho kilichomfanya ajilipue kwa wabaya wake maana mtaji wa mradi ulikuwa ni mkopo wa karibu mil 300 kutoka bank moja hivi hapa mjini... lazima ufe na mtu, hasa ukiwaza mkopo na TFDA wamekomaa... pamoja na yote huyu mwanamke ni comando kweli hiyo brand itaingia sokoni tu japo kwa kuchelewa.
Uliza TFDA kisa cha kuyazuia...
Mkopo wa 300m halafu biashara usifanye lazma ukae.... TFDA kama walizuia yasiingie sokoni kuna uwezekano maji yalikua na ishu hasa kwenye matumizi ya binadamu...maana kama ishu ni kibali tu si angekomaa akipate hasa ukizingatia tayari mtu umeshainvest pesa nyingi huko....kuna jambo hapa
Maji yake????? kuhusu maji yake muuluze Gadna
Angalia nawewe wasikuwekee zengwe kama la jide...ila kiukweli maji inasemekana yanalipa sana mkuu, kuna jamaa yangu pia kaanzisha kiwanda Moro na kashaingia sokoni... Brand name nakushauri tumia KIJITO...au CHEMCHEM...tehtehHata mimi nitaanzisha yangu wiki ijayo sijuwi niyaite jina gani, mwenye wazo anisaidie.
Angalia nawewe wasikuwekee zengwe kama la jide...ila kiukweli maji inasemekana yanalipa sana mkuu, kuna jamaa yangu pia kaanzisha kiwanda Moro na kashaingia sokoni... Brand name nakushauri tumia KIJITO...au CHEMCHEM...tehteh