Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,391
- 21,075
Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao walivyokuwa; kama ilivyoandikwa, Watu waliketi kula na kunywa, kisha wakasimama wacheze.Kwani Pana dhehebu linaabudu sanamu
1 Korinthians 6:7
*Ufunuo wa Yohana 22 15 Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.
Biblia ilitangulia kusema kuwa " *1 Timotheo 4:1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani