Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
- Thread starter
- #41
Niazime iPhone yako mkuu. [emoji123]
Niazime iPhone yako mkuu. [emoji123]
Dah natumia huawei wajiftishe..
Niazime iPhone yako mkuu. [emoji123]
Niazime iPhone yako mkuu. [emoji123]
Hongera nikajua unatumia aifoni siksi. [emoji23]Dah natumia huawei wajiftishe..
Hizo sim za watu wazito kama nyinyi.. [HASHTAG]#Sim[/HASHTAG] ukiibiwa unalazwa ICUHongera nikajua unatumia aifoni siksi. [emoji23]
[emoji23] [emoji23] ukiachwa achikaaàWhy would she be so mad at me for?
Homie, I don't know she's hot and cold
I won't stop won't mess my groove up
Cause I already know how this thing go
You run and tell your friends that you're leaving me
They say that they don't see what you see in me
You wait a couple months then you gonna see
You'll never find nobody better than me
##kanyewest.. ZAT moment umepigwa chini na mtt mzur
simu ishaanza kufa hii inaniandikia UPDATE WHATSAPP. [emoji23]
Itakuwa imeshajifiaUpdate tu..
Nick minaj na rosalee ni wadada ninaowakubali hatariKuna yule anaitwa "Nicki Minaji" kwenye ile Nyimbo "The way life goes on" alioshirikishwa na Lil Uzi amechana balaa, kwenye "Do you mind" napo kachana hadharani.
Unajua ukiolewa majukumu yanakuwa mengi mpaka rap yenyewe inahama kichwani,sasa ukiolewa na mwanaume hataki hizo rap ndo zinakufwa kabisa kwa headHahah tatz nyie mkishaolewa tu.. Mnaacha RAP
Sio tecno Y3 hiyo?Dah natumia huawei wajiftishe..
Unajua ukiolewa majukumu yanakuwa mengi mpaka rap yenyewe inahama kichwani,sasa ukiolewa na mwanaume hataki hizo rap ndo zinakufwa kabisa kwa head
sim hizo kufungua Call log inatumia Nusu saa...Sio tecno Y3 hiyo?
Je kwa boyz hap Tz?Nick minaj na rosalee ni wadada ninaowakubali hatari
[emoji23] [emoji23] ukiachwa achikaaà
HakikaIf you thinking hip-hop is alive hold up your lighter, let's go.
Hip and hop is more than music
Hip is the knowledge, hop is the movement
Hip and hop is intelligent movement.
Chaji inaisha haraka na mtandao ni 2gSim hizo k
sim hizo kufungua Call log inatumia Nusu saa...
Dk 2 tu imepata Heat..
G nako is the best,fid q na JohJe kwa boyz hap Tz?
Mbona wengi wao wako vizuri tu.[emoji23]kama rosalee anakukosha sana ee [emoji23] lakini haipendezi mdada anarap afu anakua mchafu mchafu kama mvuta bangi.
Mistari ya nani huyu mkuu?Huwa nasikiasikia tu
Eti niache michepuko na milupo ili nibaki njia kuu
Napenda nitulie ndani ya ndoa
Nihudumie familia watoto wajisikie poa
Ila, mke wangu ndiye kikwazo
Kila ukizuka ugomvi basi ujue yeye ndiyo chanzo
Washikaji wananiita bwege hamnazo
Mademu kibao, kwanini mmoja anitie mawazo
Kila siku napiga magoti
Nyumbani ka vitani, huyu mke au field force?
Maana makofi nayo naswa ni kiboko
Tena mbaya zaidi napigwa mbele ya watoto
Siwezi kuongea neno moja
Maana ashajazwa umbea, na wambea ni mashoga
Basi atafura, mezani siachiwi hata chakula
Kulala mzungu wa nne amekunja sura
Asubuhi mida ya kwenda kazini
Hapigi pasi, haniwekei maji huwezi kuamini
Namtazama simmalizi
Mpaka najiuliza nani ananipa script kwenye drama kama hizi
Najiuliza mi ni Mume au Mlinzi?
Maana usiku kucha nakesha ka' Jinamizi
Hajawahi nifanyia fumanizi
Na kila nikiondoka namwachia pesa ya matumizi
huyo ni Jini mmoja hivi anaitwa NIKKI MBISHI.. fundi sana.. Kwa upande wangu huyo ni #1Mistari ya nani huyu mkuu?