Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
Nini maana ya Hip hop?...
Je misingi ya hip hop tunayo hapa Tz?
naamini mwana HIPhop Ndio mtu pekee anayeweza kuichora au kuikosoa serikali pamoja na Sekta NYETI..
Naamin na nitaendelea kuamini.. Mwanasiasa mzuri ni yule anayetokea katika Shimo la HIPHOP mfano mzuri ni SUGU..
Hiphop Ni maisha na maisha ni hiphop..
Waandishi wa habari hawana Ujasiri wa kuandika chochote chenye Positive impact katika jamii ila mwana Hiphop Anaweza.. So jamii inapaswa kuwafatilia na kusikiliza kwa makini Nyimbo za wana hiphop..
Binafsi napenda hiphop..
Hili ni dongo kutoka kwa NIKKI MBISHI (Sijui kamlenga nani..)
[HASHTAG]#Wauaji[/HASHTAG] wanahoji nina [HASHTAG]#Roho[/HASHTAG] ngap?// Wakiniua [HASHTAG]#Sifi[/HASHTAG] mi ' nachojua nina Roho #Safi// Kung-fu-rap Sarakasi//
Sauti, karamu na Karatasi zifahamu #Kandarasi//
Embu weka Mstari konzi.. Hapa chini twende sawa...