Maji shingoni mitandao - simu toka kwa kikwete

Maji shingoni mitandao - simu toka kwa kikwete

Hadi wamefikia huko mimi sijapata hiyo simu, siwezi kujisumbua kuongea naye, ingekuwa ni mimi ningezima kabisa simu!
 
duuh hii tamu..natamani angenipigia na mimi niskie ka sauti kake kanavyotia huruma nicheke!!
tehetehe..peopleeeezzz!
 
Hiyo ya kuongeleshwa kwa simu ni cha mtoto.

Tunaokaa Mbezi -Kimara yumepata sms kwa mtandao wa voda com yenye jina HAWA ikiwa na msg nichague niwe mbunge wako kwa maendeleo ya ubungo.

Kwnye phonebook hakuna namba yake wala jina.Amepataje namba yangu?

wameingilia mpaka mtandao
 
Nimesikia hizo habari jioni ya leo toka kwa mdogo wangu ambaye amesikia sauti recorded ya kikwete pitia mtanadao wa TIGO. MUNGU KAMA ANAWASIKIA WATANZANIA HATA KIKWETE AFANYEJE ATASHINDWA TU. KUMBUKENI FARAO ALIVYO MEZWA NA BAHARI PALE ALIPOTAKA KUWA UA WANAISRAEL.
 
Angekuwa kwenye kipindi cha kwanza basi labda angebadilika lakini kwa kuwa ni kipindi cha mwisho, then, he has nothing to lose my friend, ila ninahofia kulipiza visasi na matusi atakavyotubeza kama akishinda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I agree with you 100% Mkwere huyu anavyopenda visasi akishinda itakuwa kihama...Vote 4 Slaa
 
wanatapatapa tu sasa hivi kisu kipo shingoni Mkapa limepaniki hadi linajiimbia mijimbo
 
kweli lesson atakayokuwa ameipata atasimulia maishani kwake siku zote.:doh:
No matter the election result Jk anatakiwa kuwa amepata funzo kubwa sana mwaka huu 2010.Awe Nje au ndani ya utawala we expect to see very new JK. kama hatabadilika basi atakuwa ana ugonjwa mbaya sana ambao yeye , sisi na watu wake wa karibu bado hatujaujua
 
Wana JF leo hii asubuhi saa mbili na nusu hivi, nimepokea simu toka kwenye mtandao wangu wa zain, ikasema "helo subiri mhe kikwete anataka kuongea na wewe kisha nikamsikia kikwete akijieleza na kuomba kura"

Je hii yawezekana mitandao imeingia kwenye kampeni? anu JK kaamuru apigiwe debe? hii ni vipi jamani na namba ilikuwa unknown lakini sauti ya JK kabisa. nimepiga zain wanadai hakuna kitu kama hicho - what is this??????????

kweli ccm maji shingoni - kweli sasa nimeamini Slaa anamnyima usingizi JK.
Hata utani huo nao kutoka kwa mwenzako unakutisha!

Angekuwa kwenye kipindi cha kwanza basi labda angebadilika lakini kwa kuwa ni kipindi cha mwisho, then, he has nothing to lose my friend, ila ninahofia kulipiza visasi na matusi atakavyotubeza kama akishinda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mungu yu upande wa walio wengi usiwe na wasiwasi.
 
Nami nimepokea SMS toka kwa JK nkachoka naona RA atakuwa kampa namba yangu kupitia database ya VODA
 
nambie ulipoongea nae alisemaje na wewe ulimjibu nini
huna nafasi ya kuwa na dialog nae, anaongea tu anaomba kura.... mimi niliposikia tu ni yeye nikakata simu... kwani niliona ni utapeli because nilikuwa najua that same time on TV alikuwa yuko Jangwani live

Na leo nimenyonga!!!
 
Tunahitaji wawe wabunifu hata katika kuhamasha maendeleo na uwajibikaji wa watendaji wa umma.
 
huna nafasi ya kuwa na dialog nae, anaongea tu anaomba kura.... mimi niliposikia tu ni yeye nikakata simu... kwani niliona ni utapeli because nilikuwa najua that same time on TV alikuwa yuko Jangwani live

Na leo nimenyonga!!!

Hizi zinaitwa Robocall
 
Nadhani kuna haja ya kuwashitaki hawa watu wa mitandao, kwanini wanaingiza text ktk simu za watu bila ridhaa zao? TCRA hii imekaaje? je ina maana kuwa tunaposema serikali inamkono mrefu ndiyo maana yake hii ya kuingilia maisha binafsi ya raia? Superman, hembu nisaidie hapo, je ninaweza kuwafikisha hawa watu kwa vyombo vya sheria kwa usumbufu na kudai fidia? Nacho jua ingekuwa kwa wenzetu huko nje, watu wange - resign.
 
The guy is so tired! angeongezewa siku 3 angeanguka tena na tena
 
No matter the election result Jk anatakiwa kuwa amepata funzo kubwa sana mwaka huu 2010.Awe Nje au ndani ya utawala we expect to see very new JK. kama hatabadilika basi atakuwa ana ugonjwa mbaya sana ambao yeye , sisi na watu wake wa karibu bado hatujaujua

Mkuu umenena, bila kujari atakaeshinda either JK au Slaa lazima ataona anawajibu wa kufanyakazi mambo si lele mama kama zamani
 
No matter the election result Jk anatakiwa kuwa amepata funzo kubwa sana mwaka huu 2010.Awe Nje au ndani ya utawala we expect to see very new JK. kama hatabadilika basi atakuwa ana ugonjwa mbaya sana ambao yeye , sisi na watu wake wa karibu bado hatujaujua

Be sure kwamba Kikwete hana room for change, na hana cha kupoteza kwa hiyo kama ni kuchange ni for worse.
 
Mi jana nimepata SMS yenye jina langu Kikwete akiomba kura yangu,kumbe hii ndio sababu ya kusajili namba ya simu.Mtu wa kawaida anaweza kudanganyika yeye ni muhimu sana mpaka kutumiwa SMS na Kkwete tena kwa jina lake.
 
Back
Top Bottom