Hali ya hewa na barafu ndio chanzo. Tanesko ya kwao na Dawasco zimeathirika na hali ya hewa.Kuna habari nyingi kuhusu ulaya na america haziripotiwi hasa zinazohusu umaskini na hali mbaya kimaisha.
Jamaa hapo anafikiri ni sababu kama za akina DAWASCO.Hali ya hewa na barafu ndio chanzo. Tanesko ya kwao na Dawasco zimeathirika na hali ya hewa.
Kubwa la mabeberuKwa beberu kubwa huko
Texas siyo mkoa ni Nchi Kama ilivyo Tanganyika sawa dogo acha kuharibu kwa kuifananisha Texas na mkoa
Kuna habari nyingi kuhusu ulaya na america haziripotiwi hasa zinazohusu umaskini na hali mbaya kimaisha.
Texas weather: President Biden declares major disaster msifikiri kila kitu ni propaganda. Kiswahili huelewi soma kiingereza basi hapo halafu uje kubisha tenaAnafanya propoganda za makusudi kuinasibisha Marekani na bongo.
Texas weather: President Biden declares major disaster msifikiri kila kitu ni propaganda. Kiswahili huelewi soma kiingereza basi hapo halafu uje kubisha tena
Go read the whole story. Don't just read the headline. PatheticUnaelewa maana ya "major disaster"?
Labda kwa ufupi soma hapa chini sehemu ya taarifa hiyo...Unaelewa maana ya "major disaster"?
Labda kwa ufupi soma hapa chini sehemu ya taarifa hiyo...
".....What is happening in Texas?
The Southwestern state's energy grid has been overwhelmed by a surge in demand for heat as temperatures plummeted to 30-year lows, hitting 0F (-18C) earlier this week...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hali ya hewa na barafu ndio chanzo. Tanesko ya kwao na Dawasco zimeathirika na hali ya hewa.
Muambie sasa huyo mwanapropaganda mwenzako aliyeanzisha huu uzi aweke hiki kipande kwa kiswahili, maana kukosekana hiki kwenye hii taarifa yake kunaifanya kuwa upupu mtupu.