Maji nayo yakatika mkoani Texas, Marekani, wananchi Wachota barafu kwa matumizi

H
Usikaririshwe mambo kama mbumbumbu. Kwa hiyo ukiingia YouTube sasa hivi huwezi kuikuta kumbukumbu ya hii taarifa kutoka BBC na CNN?
Kuna tukio limekua na coverage kubwa zaidi katika vyombo vikubwa vya Marekani na dunia nzima kwa wiki hii zaidi ya hilo janga la theluji Texas?
Halafu kwa nini unataka kufananisha umaskini, njaa, magonjwa na mafuriko ambayo ni mambo yanajirudia kila mara na binadamu wanaojielewa wanawaza kuweka mipango ya kuzuia dhidi ya Tukio kama la Texas ambalo ni janga lisilotarajiwa?
Hongera mkuu. Mtu mstaarabiu anasimamia hoja sio maneno ya kejeli. Inaonyesha namna elimu ilivyoshindwa kukutofautisha na ambaye hana, una uwezo mdogo wa fikra na uchambuzi wa mambo duniani. Unahamaki sababu huwezi kujenga au kutetea unachopost
 
Nchi ni USA Texas ni jimbo ambalo kwa Kwetu ni kama mkoa tu kwa hadhi achana na swala la ukubwa
Nani kakudanganya acha kupotosha Texas ni Nchi, USA ni muungano wa Nchi hizo 50+ siyo majimbo sawa kijana kasome uelewe vizuri,
 
Back
Top Bottom