Maji marefu

kinachokushangaza ni nini mkuu? ni hiyo lebo kwenye plate no?
 
Kwa mwendo huu lazima atamani ata baba j afie pale kwasababu mambo yake safi kipindi hiki
 
Fisiem imekamilika kila idara. Hata mchawi ana ndinga!!!
 
Kwa mwendo huu lazima atamani ata baba j afie pale kwasababu mambo yake safi kipindi hiki
Usichokijua kikalie kimya au uliza!..Huyo proffesor sio wa kipindi hiki na ni mtata balaa, usiombe upite na demu wako mzuri mbele yake utajua watu wasio na mikono ya birika wanafananaje!..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…