cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,265
- 201,318
Nafikiri hivyo,Hapo sawa,waliogopa mpira una mengi sana
Nafikiri hivyo,Hapo sawa,waliogopa mpira una mengi sana
Dada Timu za zamani zilikua hazina matawi ukiikuta Sigala,Nyota nyekundu,Mirambo Tabora Ushirika Moshi au Tukuyu stars banyambala ya Mbeya hapo pana Mecco huko kaskazini kuna Coastal na African sport huko Moro kuna Reli Yanga na Simba walikua hawana uhakika wa matokeo kwa Timu yeyote kilikua kinawaka kweli..Maji Maji ni Tawi la simba, nina uhakika kabisa, uliza uambiwe.
Basi sawaa.Dada Timu za zamani zilikua hazina matawi ukiikuta Sigala,Nyota nyekundu,Mirambo Tabora Ushirika Moshi au Tukuyu stars banyambala ya Mbeya hapo pana Mecco huko kaskazini kuna Coastal na African sport huko Moro kuna Reli Yanga na Simba walikua hawana uhakika wa matokeo kwa Timu yeyote kilikua kinawaka kweli..
Pamba walipanda bus J5 waliwafunga Yanga 3 kwa 1 wiki hiyo hiyo wakina Nteze John Lungu,David Mwakalebela,Mau Nkami,Marsha,Fumo Felician wanakiwasha na Simba,Simba walifungwa goli moja..
Labda ungeogeshwa maji ya maiti huko,wazazi wakati mwingine wanapatia ila wakati mwingine majanga tuNafikiri hivyo,
Miaka hiyo Simba alitaka kushuka daraja mechi ya mwisho wanacheza na Yanga shamba la bibi ilibidi Yanga afungwe kumbeba Mtani wake na wote wanajua unafanya utani wazee wa kazi wapo kazini mechi inapigwa balaa wachezaji wamesafiri kwa Treni au gari la mizigo ili wawahi mechi.Basi sawaa.
Nilitegemea nchimbi airudishe, nchimbi mwenyewe kapoteaIlienda na maji 😄
Nchimbi yupo serikalini muda mrefu yeye na mpira tofauti kabisa kulikua na Mkuu wa Mkoa mmoja sasa hivi ni marehemu yeye ndio aliipa mafanikio sana Maji Maji na michango ilikua inafika kweli sio sasa hivi.Nilitegemea nchimbi airudishe, nchimbi mwenyewe kapotea
Majimaji, coastal,lipuli,tukuyu stars ni matawi ya simbaDada Timu za zamani zilikua hazina matawi ukiikuta Sigala,Nyota nyekundu,Mirambo Tabora Ushirika Moshi au Tukuyu stars banyambala ya Mbeya hapo pana Mecco huko kaskazini kuna Coastal na African sport huko Moro kuna Reli Yanga na Simba walikua hawana uhakika wa matokeo kwa Timu yeyote kilikua kinawaka kweli..
Pamba walipanda bus J5 waliwafunga Yanga 3 kwa 1 wiki hiyo hiyo wakina Nteze John Lungu,David Mwakalebela,Mau Nkami,Marsha,Fumo Felician wanakiwasha na Simba,Simba walifungwa goli moja..
Timu kusimama imara inahitaji hela siyo cheoNilitegemea nchimbi airudishe, nchimbi mwenyewe kapotea
Lawrence gamaNchimbi yupo serikalini muda mrefu yeye na mpira tofauti kabisa kulikua na Mkuu wa Mkoa mmoja sasa hivi ni marehemu yeye ndio aliipa mafanikio sana Maji Maji na michango ilikua inafika kweli sio sasa hivi.
Ahsante unajua mpira aisee huyu mzee nilikua namkubali sana alipelekwa Mkoa mwingine akapandisha Timu na huko..Lawrence gama
Unajua wewe mtu wa mpira nasema Maji maji ilikua inauza sana wachezaji wake Simba ila kwenye mechi Simba akikua anaacha sana points ipo me hi moja Madaraka Selemani mzee wa kiminyio kawaua Songea na kaja kuwaua tena shamba la bibi msimu unaofuata wakaja kufa na goli la Peter Tino pamoja na Selestine Sikinde Simba goli lao lilifungwa na Malota Soma "ball juggler".Ila sikatai sana kwa sababu Malawi ya zamani tofauti na sasa hivi wanaacha points zote zamani ni tawi ila unakaziwa ninyi mnasema ni wadada wadada wa wapi wanajua kikosi cha Lipuli chote au Milambo ya Tabora ambacho mimi nimekisahau ila ahsante kwa kunikumbusha.Majimaji, coastal,lipuli,tukuyu stars ni matawi ya simba
African sports,bandari mtwara,toto africans ni matawi ya yanga
Timu ambazo hazikua matawi sigara, pilsner,nyota nyekundu,reli moro,pamba(Sina uhakika kama halikua tawi la simba,milambo tabora,ushirika moshi
Mzee Lawrance Mtaza Gama, akiingia uwanjani Majimaji ikishinda tu anachukua Embassy yke "burudani." Kina Stephen Nemes golikipa, Kiungo Dadi Athuman. Peter Tino. Yanga ashawahi kufa 3'-2 enzi hizo mpira tunasikiliza kwenye redio tanzania (RTD) tualiipa
Beki mstaarabu Samli AyoubKuhusu tawi utakua umechanganya sema Simba ndio ilikua inanunua sana Wachezaji kutoka Maji maji Peter Tino nadhani na Madaraka Selemani alitoka huko enzi za kina Selestine Sikinde Mbunga walikua na beki mstaarabu kitasa afanyi rafu na mwingine Mrope kulia..
Beki mstaarabu Samli Ayoub, hata uwanja uwe na tope vipi jamaa mpira unaisha anatoka bila kuchafuka.Kuhusu tawi utakua umechanganya sema Simba ndio ilikua inanunua sana Wachezaji kutoka Maji maji Peter Tino nadhani na Madaraka Selemani alitoka huko enzi za kina Selestine Sikinde Mbunga walikua na beki mstaarabu kitasa afanyi rafu na mwingine Mrope kulia..
Mtangazaji Omary Jongo ushabonda betri zako na kuzianika juu ya bati ili usikilize mpira betri za National zilikua zinatengenezwa Pugu road kwanza wanaanza kusifia betri harafu mbungi baadae..Mzee Lawrance Mtaza Gama, akiingia uwanjani Majimaji ikishinda tu anachukua Embassy yke "burudani." Kina Stephen Nemes golikipa, Kiungo Dadi Athuman. Peter Tino. Yanga ashawahi kufa 3'-2 enzi hizo mpira tunasikiliza kwenye redio tanzania (RTD) tu
Hawa ndio walicheza mpira kwa kiwangoncha juu sana marehemu Steven Musa wa Tukuyu stars daah aisee..Beki mstaarabu Samli Ayoub
Beki mstaarabu Samli Ayoub, hata uwanja uwe na tope vipi jamaa mpira unaisha anatoka bila kuchafuka.
Wafanyabiashara wangejipendekeza tu, hujui wanavyoogopa wanasiasa?Timu kusimama imara inahitaji hela siyo cheo
Kwa mtindo huo haifiki kokote,rejea ndandaWafanyabiashara wangejipendekeza tu, hujui wanavyoogopa wanasiasa?