Maji Maji FC, mnaikumbuka? Hii timu iliishiaga wapi aiseee

Maji Maji FC, mnaikumbuka? Hii timu iliishiaga wapi aiseee

Kuhusu tawi utakua umechanganya sema Simba ndio ilikua inanunua sana Wachezaji kutoka Maji maji Peter Tino nadhani na Madaraka Selemani alitoka huko enzi za kina Selestine Sikinde Mbunga walikua na beki mstaarabu kitasa afanyi rafu na mwingine Mrope kulia..
Peter Tino hakuwahi kucheza simba wala Octavian Mrope,,aliyecheza simba ni Gebo Peter alitoka Sigara
 
Back
Top Bottom