Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 680
Kubwajinga,
Nimefurahi kuwa umeingia hapa kuchangia hii thread.
Nadhani umekuwa na mawazo ambayo hayajazama sana katika kufanya uchanbuzi na kuleta hoja zako (sina maana ninadharau hoja zako, ninaziheshimu sana tu) isipokuwa unasahau kuwa kila jambo ambalo linafanyika sasa kama limo ndani ya uwezo wa Rais kikatiba ni halali kabisa kwani huo ndiyo utaratibu na gharama za demokrasia.
Pili, usisahau kuwa rais kikatiba ndiye mtu wa mwisho kimamlaka juu ya vyombo vya ulinzi na usalama, na hii ni muhimu kwa Rais kupewa uwezo huo, lakini hata hivyo tunapomtaja Rais huwa tuna maanisha Rais kama taasisi na wala hatumwangalii JK usoni. Juu ya kwamba katiba ibadilishwe ili kuepuka kufanywa maamuzi na Rais kichaa, nadhani hiyo haijakaa vizuri labda ufafanue Rais kichaa kwa maana ya ugonjwa? kama ni ugonjwa katiba iko wazi inaelekeza kuwa kama rais incapacitated ni hatua gani za kuchukuliwa.
Tatu, kuhusu teuzi za mawaziri kushika nyadhifa kwenye wizara, hapo hakuna tatizo kama unavyofikiria wewe, Uwaziri siyo kazi au fani inayosomewa. Kazi kubwa za mawaziri ni kusimamia na kumsaidia Rais katika kuendesha serikali na hii ni political position kama alivyo Rais. Kinachotakiwa ni uwezo wa Waziri anayeteuliwa kuwa na uwezo wa kuongoza na kusimamia yale serikali iliyoko madarakani inataka kuyatimiza.
Kawaida shughuli za kiutendaji zingine za wizara husimamiwa na viongozi wakuu wa wizara husika (ambao ni wasaidizi wa waziri), baada ya hapo huwa ndiyo kuna timu za wataalam kulingana na mpangilio wa wizara husika.
Nadhani nimejitahidi kukuelezea ili tufaidike wengi kutokana na hoja zako.
Bahati mbaya Rais hajui anwani yako ilikuwa akuite Ikulu akuombe ushauri kuhusu kupeleka majeshi ya Tanzania Comoro!!Nafikiri next akipata address yako atakuita umpe ushauri[/QUOT
AMIRI JESHI MKUU KABLA YA KIINGIZA CHI VITANI ..NI LAZIMA KWANZA APATE USHAURI WA MKUU WA MAJESHI NA MAJEMEDARI WAANDAMIZI WA JESHI....BAADA YA HAWA KUKUBALI AU KUMSHAURI RAIS TUPIGANE AKAKUBALI..NI LAZIMA ACHUKUE USHAURI WA SEKTA NYINGINE KAMA BANK KUU[NATIONAL RESERVE]..CHAKULA ..ETS ..ILI KUKAMILISHA UAMUZI WAO TU..BAADAYE LAZIMA ALIARIFU BUNGE NA BUNGE LIKUBALI KWA KURA....
KWA HII ISHU YA COMORO ..SI VITA BALI NI PEACE MISSION...PAMOJA NA KUWA KWA IDADI YA ASKARI 750 WALIOKULE NI GHARAMA MPYA KWA WALIPA KODI HATA KAMA PESA ZITAREJESHWA NA AU....RAIS HAKULAZIMIKA KUARIFU BUNGE KWA KUWA TAYARI TUNAO ASKARI 200 TANGU MWAKA JUZI ..KABLA KIKWETE HAJAINGIA..KWA HIYO INAWEZA IKATAFSIRIWA KUWA HAO ASKARI 650 WALIOPELEKWA JUZI WAMEENDA KUONGEZZA NGUVU KWENYE JESHI LETU LILOPO KULE ..KUTOKA NA NA HALI YA FIELD[MEDANI] ILIVYO KULE...KATIKA HALI YA KIJESHI KAMA UMESHAPELEKA ASKARI MSTARI WA MBELE UNAWEZA KUENDELEA KUPELEKA IDADI YOYOTE KAMA UTAONA WALIOPO HAWAKIDHI HALI NA UWEZEKANO WA USHINDI..KWA HIYO UKISHAVULIA MAJI UNAOGA..SO ASKARI WATAENDELEA KWENDA HUKO HADI HUKO ANJUAN MAMBO YAWE SAFI....TUKISHINDWA TUTAONEKANA OVYO...NDIO MAANA LAZIMA BUSARA ITUMIKE WAKATI WA KUAMUA!!!!
KWA MSIOJUA HISTORIA YA COMORO ...COMORO INATEGEMEA ULINZI KWA ASILIMIA KUYBWA TOKA TANZANIA...NA WANAJESHI WA TZ WANA INFLUENCE KULE TANGU ENZI YA MWALIMU...AMBAKO TIMU YA KINA IDD GAHHU IMEKAA KULE MIAKA MINGI TU!.....
Vilevile wacomoro wengi wamehusu zenj..AMIRI JESHI MKUU KABLA YA KIINGIZA CHI VITANI ..
KWA MSIOJUA HISTORIA YA COMORO ...COMORO INATEGEMEA ULINZI KWA ASILIMIA KUYBWA TOKA TANZANIA...NA WANAJESHI WA TZ WANA INFLUENCE KULE TANGU ENZI YA MWALIMU...AMBAKO TIMU YA KINA IDD GAHHU IMEKAA KULE MIAKA MINGI TU!.....
Vilevile wacomoro wengi wamehusu zenj..
Kasheshe,
Nafikiri hao uliowataja hawatoshi kuiingiza nchi nzima ya watu millioni 40 vitani. Haya ni maamuzi makubwa sana kufanywa na mtu mmoja hata kama atashauriwa hao uliowataja. After all sidhani kama Membe na Mwinyi wana ujuzi wowote wa mambo ya kijeshi maana hata wao vyeo vyao ni sehemu ya shukhrani za uchaguzi kama FMES alivyotufahamisha. Mwinyi ni MD, Membe ingawa amesoma Intern. Reltn, hajawa na uzoefu wowote wa kuwa full minister let alone kutuingiza vitani.
Bahati mbaya Rais hajui anwani yako ilikuwa akuite Ikulu akuombe ushauri kuhusu kupeleka majeshi ya Tanzania Comoro!!Nafikiri next akipata address yako atakuita umpe ushauri[/QUOT
AMIRI JESHI MKUU KABLA YA KIINGIZA CHI VITANI ..NI LAZIMA KWANZA APATE USHAURI WA MKUU WA MAJESHI NA MAJEMEDARI WAANDAMIZI WA JESHI....BAADA YA HAWA KUKUBALI AU KUMSHAURI RAIS TUPIGANE AKAKUBALI..NI LAZIMA ACHUKUE USHAURI WA SEKTA NYINGINE KAMA BANK KUU[NATIONAL RESERVE]..CHAKULA ..ETS ..ILI KUKAMILISHA UAMUZI WAO TU..BAADAYE LAZIMA ALIARIFU BUNGE NA BUNGE LIKUBALI KWA KURA....
KWA HII ISHU YA COMORO ..SI VITA BALI NI PEACE MISSION...PAMOJA NA KUWA KWA IDADI YA ASKARI 750 WALIOKULE NI GHARAMA MPYA KWA WALIPA KODI HATA KAMA PESA ZITAREJESHWA NA AU....RAIS HAKULAZIMIKA KUARIFU BUNGE KWA KUWA TAYARI TUNAO ASKARI 200 TANGU MWAKA JUZI ..KABLA KIKWETE HAJAINGIA..KWA HIYO INAWEZA IKATAFSIRIWA KUWA HAO ASKARI 650 WALIOPELEKWA JUZI WAMEENDA KUONGEZZA NGUVU KWENYE JESHI LETU LILOPO KULE ..KUTOKA NA NA HALI YA FIELD[MEDANI] ILIVYO KULE...KATIKA HALI YA KIJESHI KAMA UMESHAPELEKA ASKARI MSTARI WA MBELE UNAWEZA KUENDELEA KUPELEKA IDADI YOYOTE KAMA UTAONA WALIOPO HAWAKIDHI HALI NA UWEZEKANO WA USHINDI..KWA HIYO UKISHAVULIA MAJI UNAOGA..SO ASKARI WATAENDELEA KWENDA HUKO HADI HUKO ANJUAN MAMBO YAWE SAFI....TUKISHINDWA TUTAONEKANA OVYO...NDIO MAANA LAZIMA BUSARA ITUMIKE WAKATI WA KUAMUA!!!!
KWA MSIOJUA HISTORIA YA COMORO ...COMORO INATEGEMEA ULINZI KWA ASILIMIA KUYBWA TOKA TANZANIA...NA WANAJESHI WA TZ WANA INFLUENCE KULE TANGU ENZI YA MWALIMU...AMBAKO TIMU YA KINA IDD GAHHU IMEKAA KULE MIAKA MINGI TU!.....
hata kama wanatoa ushauri, kwa kuwa rais ndiye aliyewapa nafasi hizo, kuna uwezekano mkubwa wa hawa jamaa kuwa yes men.
pia ushauri wao unapersuade wala haumbind rais.
Kubwajinga,
Umevamia jambo usilolijua!!!
1. Sijukua kwamba tuko vitani!!! na kama tuko vitani ni kati ya Tanzania na Nchi Gani?
2. Kwa taarifa yako... kuingia vitani sio jambo rahisi kama unavyofikiri... kumbukumbu zangu zinaniambia Rais lazima apate kibali cha Bunge kuipeleka nchi vitani... Rejea maneno haya... ya Mwalimu alafu jiulize aliyasemea wapi? "Nia tunao, Sababu tunazo na Uwezo tunao wa Kumpiga...Amin....na Kuikomboa Uganda"
3. Ukishafahamu aliyasemea wapi? ni Kwa sababu gani? Basi utaacha kuvamia mambo usiyoyajua!!!
4. Soma mahusiano ya TZ na Comoro, Soma historia ya Comoro then come back and tell us!!!
5. Soma strategy za Jeshi letu za sasa... Tangu Kikwete aingie alishasema jeshi letu litakuwa linakwenda kwenye UN missions... kwa ajili ya kulinda amani etc....nadhani hii ni nzuri kwani tutajifunza mengi zaidi, kuliko kukaaa hapa tukidhani tuko powerfull kumbe hapana, wenzetu wako mbali.
6. Waulize wakuu wa Majeshi na Wanajeshi wenyewe wanavyopenda kupata hizo opportunities...
7. Baada ya hayo hapo juu karibu tena kijiweni tujadiliane
Mkuu Kubwajinga,
Hivi unayo kumbu kumbu yoyote ya jinsi tulivyokwenda vitani Uganda, mpaka kumuondoa Amin, eti bunge letu liliidhinisha vile vita au ni Mwalimu kama rais na Commander in chief aliamua kwa niaba yetu?
Maana kama sikosei kwenda Comoro, ni moja ya mikataba mbali mbali ya kimataifa ambayo sisi as a nation inatubana kwa kuwa member, sasa kama taifa letu lilikubali uanachama ina maana automatically inampa rais wetu kuamua kwa niaba ya taifa kulingan na hiyo mikataba ambayo tuliisaini, na kwenye hili inaonekana tunabanwa na uanachama wetu AU, au?
Kwa taarifa yako serikali ya US haikuamua kupeleka majeshi Panama, kumuondoa Gen. Noriega, ni rais Bush senior aliyeamua, halafu Congress ilifahamishwa baadaye, hata kwenda Afaghanstan, aliamua rais peke yake bila ushauri wa Congress mkuu, ni vita vya Iraq tu Congress ilipitisha kura. Commander in chief wa majeshi ya taifa, haweezi kusubiri kura ya bunge, wakati tatizo limtokea sasa, kuna ishu mbali mbali zinazo tofautiana,
Kuhusu Comoro, mkuu PM ni kweli bongo tunaingiliana na sana na huko, maana according to the dataz hata waziri wetu mdogo wa nje wa zamani, alikuwa ni m-Comoro, lakini akasaidiwa na Diria na kuingizwa kinyemela kwenye mlo.
Kasheshe,
Mkuu hapa naona umeleta kajisheshe kadogo. Ni vema ukaelewa kuwa hivi sasa tupo vitani, sawa tu na US ilivyokuwa kule Yugoslavia (Bosnia n.k)
Nataka tu ufahamu kuwa kuna engagement mbili za kijeshi, peace mission na offensive mission. Yakwetu hivi sasa ni offensive na kwa hiyo waComoro wana haki ya ku-retaliate kama wakiwa na uwezo. Ndio maana South Africa wao wameipinga hii hatua. TZ kwa sababu zetu binafsi tukajikurupusha haraka haraka kwa vile tu JK ndiye AU. Bahati nzuri ni kuwa Comoro tunapafahamu, maana tulishakuwa huko kwenye peace efforts na enzi za JKN.
Hata hivyo ninachopinga mimi sio sisi kushiriki, bali ni kwa ushiriki wetu uliohusisha maamuzi ya mtu mmoja tu na wakaribu yake ambao wengi ni 'yes men'. Maamuzi ya aina hii ni hatari kwa taifa kwani mengi yanafanywa sio kwa faida ya taifa bali kwa manufaiko ya kisiasa ya mtoa amri. Whether tuna mahusiano na Comoro au la, au kama wanajeshi wetu wanapenda kwenda kula shaba au la, hilo ni jambo lingine ambalo ambalo lingetakiwa kujadiliwa broadly, lakini maamuzi kama yalivyotolewa ni hatari sana and I hope kutakuwa na mbunge atakayesoma maoni yetu na kutoa hoja ya mabadiliko bungeni.
Ni jambo la hatari kwa JK kutupeleka vitani bila kushirikisha maoni ya vyombo vingine vya kiutawala, kama Bunge & baraza la mawaziri.
Mkuu FMES kazi hipo1. Mkuu KJ, rais Kikwete sio mjinga wala mzembe, labda wewe ndiye mzembe na mjinga, huwezi kumtukana rais wetu mkuu kwa sababu tu humtaki na hukumchagua, no kuna tuliomchagua na tunajua kuwa Tanzania tunayo matatizo aliyoyarithi toka awamu zote zilizopita, na sasa wanatokea wazembe kama wewe na kudai arekebishe yote ya miaka 45 in two years, that is nonesense, na ndio uzembe wenyewe na ujinga.
2. Vita vya Uganda bunge letu halikuamua kama unavyodai sasa liamue kuhusu Comoro, ni another nonesense rais anafuata historia ya sheria zetu, sasa kama amekuta kuwa hakuna historia ya bunge kupitisha vita vyetu, na haioni sheria ni kwa nini afuate hiyo sheria yako? Vita vya Mozambique, South Africa, Zimbabwe, hilo bunge lako liliidhinisha? Je tunayo hiyo sheria inayosema bunge tu ndio litaidhinisha vita? Hizi unazoleta ni hoja za kitoto sana, ni kweli sheria ipo US lakini ukweli ni kwamba rais wa nchi hiyo alipeleka majeshi Afaghanstan, n Panama, bila okay ya Congress, Bill Clinton alipiga Serbia bila okay ya Congress, halafu akarusha missles Sudan na Pakistan, bila okay ya Congress, sasa kama unachobisha kama sio utoto ni nini? Sheria hata ikiwepo haimzuii rais wa nchi ku-act kwa the interst of the nation bila ya ku-consult anybody ndio maana wananchi tunahitaji kutumia busara kumchagua rais knowing kuwa urais sio lelemama mkuu!
3. Mwalimu alikuwa na muda wa kutosha kulitaka bunge likutane kuidhinisha vita na Uganda, au angalau kwenda mpaka Kampala kumuondoa Amini, lakini hakufanya, sasa kama wewe ni msomi as you want us here tuamini then unapaswa kuweka ishu kwenye pande mbili na sio upande unaoutaka wewe tu bila kutupa the alternatives kwa sababu siasa kama sheria 90%, huamuliwa ka kutumia historia,
Kwa hiyo mkuu kwenye hili la rais kupeleka majeshi kokote nje ya nchi yetu, huna hoja ya msingi kwa sababu huna history wala sheria on your side, halafu next time acha matusi na lugha za choooni, sio lazima uazitumie ili hoja yako ieleweke,
Rais wa Jamhuri aliyechaguliwa na wananchi wa Tanzania, huwezi kumuita mjinga na mzembe, maana hapo peke yake unaonyesha uzembe na ujinga wako, na kwamba huna heshima wala adabu kwanza kwa rais wako, pili kwa sisi wananchi tuliomchagua, kwa hiyo hata mawazo yako sio worthy kabisa mkuu kuyasikiliza, wala kuyatilia maanani.
Bado naendelea kukushangaa,1. Mkuu kumuita binadamu mwingine mzembe au mjinga ni matsui period, na hatuhitaji hizo lugha hapa ili kueleweka na jamii, Mkuu Mwanakijiji, hajawahi kumuita kiongozi yoyote wa taifa hayo majina, lakini hakuna asiyejua kali yake, muulize Lowassa, kumuita rais wa jamhuri hayo majina ni unacceptable na sisi wanannchi tuliomchagua, hatuwaiti viongozi wa upinzani hayo majina hata siku moja, sasa heshima ni kitu cha bure,
2. Now kwa maneno yako mwenyewe ni clear kuwa hatuna sheria inayombana rais wetu kusubiri umauzi wa bunge kabla ya kwenda vitani, unakubali kuwa vita vyote tulivyopigana na kuwasaidia nchi nyingi za Afrika, na kufikia kuwa masikini kuliko tuliowasaidia, havikuwahi kuidhinishwa na bunge,
kwa hiyo huna sheria, huna history on your side, lakini unadai rais ana makosa na unadai mpaka kwa lugha mbovu mbovu kama tuko kilabuni, kumbe ulichotakiwa kuomba ni marekebisho ya katiba, kaazi kweli kweli,
Anywaways, usiku mwema.
FMES,
Kwanza ni lazima ukumbuke kuwa;
- Mwalimu alikuwa anajibu mashambulizi baada ya nchi kuvamiwa. Kwa hiyo tayari hii ni tofauti na kujiingiza katika vita ya kujitakia sifa.
- Pili, mwalimu alifanya majadiliano makubwa na baraza lake la mawaziri na hata kufikia kutuma ujumbe OAU kuwa inabidi sasa aikomboe nchi yake, ingawa OAU walipinga kitendo cha vita.
- Tatu, enzi za mwalimu zilikuwa ni za udikiteta, hata yeye alijua hili pale aliposema kuwa raisi ana madaraka makubwa kiasi kuwa kama angeyatumia vibaya angekuwa dikiteta, bila ya kujua kuwa alishawahi kuwa ka-dikiteta ingawa ilikuwa sio type ya akina Amini na Bokasa.
- JK ni mzembe na atakuwa ni mjinga kama atafikiria kuwa utawala wake una mazingira sawa na ya JKN.
Huu ni uongo, hatuna mkataba wowote unaotulazimisha kwenda vitani, na ndio maana hatukwenda Iraq.
Nakushari ukasome upya katiba ya US, declaration of war ni kazi ya congress tu.
Hii ni sababu ya kitoto kama ndio unayotaka kutufanya tuwajibike na Komoro.