Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 175
Yes...what about Darfur....where is the AU?
Wanajeshi wenyewe wa Bacar watoto wazuri tu hao watakutana na kina Mura Chacha wana ugwadu na vita hawajapiga risasi mfululizo wengine tangu Msumbiji, wengine tangu vita vya Kagera!
Halafu ana wanajeshi 100-300? anataka kupambana na AU forces yenye at least 1500 soldiers?
Anajitakia mema huyu?
Yes...what about Darfur....where is the AU?
in comoro they are fighting the Bacar soldiers
in Sudan who are they fighting?.
Wanajeshi wa AU si wako Darfur au? na kila siku wanashambuliwa na hawajui nani anawashambulia(Chad, Janjaweed, Sudan?).
in comoro they are fighting the Bacar soldiers
in Sudan who are they fighting?.
Baada ya kusoma na kufuatilia kwa makini baadhi ya maoni ya wanachma wenzangu, mimi nikaamua kufanza utafiti wa jambo hili na labda kutaka kuchambua zaidi kwanini majeshi ya AU yamepelekwa kisiwani humo.
Tangu kupata uhuru kisiwa hicho kimekoswakoswa na majaribio 19 ya kupindua serikali iliopo madarakani, huku ikiwa inaaminika kwamba kiongozi wa maghaidi bwana Fazul Abdullah Mohamed ni mzwaliwa wa kisiwani humo.
Katika duru za ujasusi inaaaminika kwamba bwana Mohamed ndie alikuwa kiranja mkuu wa mipango ya kulipua mabomu balozi za Marekani mjini Dar-es-Salaam nchini Tanzania na Nairobi nchini Kenya mwaka 1998. Mashambulizi hayo yaliua watu 224 na kikundi cha Al-Qaeda ambacho kilichoongozwa na Mohamed na ambacho kilikuwa na makao yake makuu nchini Somalia.
Lakini mara ghafla siku ya Jumanne tarehe 18 March, majeshi ya AU yaliyojumuisha kutoka Sudan, Libya,Senegal na Tanzania, yalivamia kisiwa cha Anjouan,na kuanza kusaidia vikosi va majeshi ya Comoro.
Lakini hatua hii inaleta maswali mengi sana.
1. Iweje majeshi hayo yote yavamie kisiwa hicho chenye watu si zaidi ya 240,000 ilhali njia ya kidiplomasia na vikwazo vingeendelea kutumika kama ambavo Afrika Kusini imekuwa ikishauri?
2.Ingawa operesheni hio ni fupi, lakini inaashiria kuleta gharama za uendeshaji likiwemo suala la watu kukimbia nyumba zao,na pia gharama za kujenga upya baadhi ya miundo mbinu au makazi ya watu ambayo yamebomolewa, je ni nani atagharamia hilo kati ya Umoja wa Afrika na Serikali ya Comoro?
3. Huku ikiwa inakabiliwa na majukumu mengine ya kusimamia amani huko Darfur na maeneo mengine yanye migogoro barani Afrika, je kwa sasa ni vema kujishughulisha na kusimamia amani kwa njia ya vita? badala ya kutumia njia ya mezani ambapo gharama za kupeleka majeshi katika maeneo yenye vurugu na migogoro zinakuwa kubwa na ni nani anawapa fwedha AU kuzichezea hivo?
Naomba kutoa hoja.

Bacar aondolewe halafu ipiwe free and fair referendum hapo watu wachague kubaki Comoro au kwenda kwa mfaransa au kwenda kivyao.
Bila kumtoa Bacar huwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Kisha tutaenda kumwondoa Mugabe and then Museveni au vipi?
......maneno mingiiiiiii!! haya ndio matatizo pale kila mtu anaposhika MIC....shoulda, woulda, coulda, LOL ipeni time hiyo kampeni kabla hamjaanza ku-criticize!!! naona kumekuwa na lukuki la "armchair generals" pamoja na mawaziri vivuli wa ulinzi na mambo ya nje wa kujipachika ambao wana-quarterback after facts kwikwikwikwi.............hivi comoro ipo kwenye front yard ya nani vile!???
don't get me wrong, I'm an anti-war liberal!! lakini pia nipo open minded..................
Serikali zao zikiomba msaada AU nadhani kutakuwa na volunteers...
Facts check za za haraka haraka
SAMBI
* After attending a local Koranic school, he lived abroad extensively, including three years studying Arabic in Saudi Arabia, a year learning theology in Sudan, then four years in Iran studying Islamic political theory. That stint earned the preacher the nickname "Ayatollah" back home.
yaani Mugabe akaombe msaada AU wa kuondolewa!. na museveni akaombe msaada wa AU aondolewe! is it possible?