Hahahahaaaa....
Love takes time....by Mariah Carey uwaendee wajane wote wa malavidavi...humu JF...
Love takes time....by Mariah Carey uwaendee wajane wote wa malavidavi...humu JF...
Haaa ukimpa papuchi ndio unalia???mimi nisipotoa nalia ila nikitoa ata uniache kwa tarumbeta powa tu
mi naliaga kama nilimpa papuchi lakini kama sikumpa
HATA AANDIKE GAZETI NAMUONA ---- tu
kwani shingapi.......
sililiii mtu hata sekunde labda tu NIMEMPA PAPUCHI
Love takes time....by Mariah Carey uwaendee wajane wote wa malavidavi...humu JF...
yaaa sasa mtu anakua oriented as if bila mapenzi hawezi kuishi
mimi haya mambo matatu nayazingatia kwakweli na nitazidi kugombana na watu walioko na jtazamo yofauti
1.chakula
2.malazi
2.mavazi
KAMA HAYA NAPATA BASIII
amini usiamini kuwa single au kuyokua na mpenzi unaeza ukawa na amani kuliko ukiwa ane hii mara nyingi ipo
japo ni nature tu lazima ufanye sifa za kiumbe hai walau zote ikiwemo kuzaliana basi yakubidi uwe na jinsia nyingine
but blv me wat wengi wako stressful kwa ajili ya kuyapa mapenzi kipao mbele
Hapo inaumiza kwa kweli
ukitendwa unafuta vumbi unasonga mbele tatizo wengi wakitendwa lawama wanapeleka zaidi kwa mtendaji hajichunguzi yeye wapi alikosea ili uhusiano unaofata asitendwe tena ni hayo tu
inauma kama kungolewa jino bila ganzi
jitahidi papuchi iwe kitu cha mwisho kutoa trust me hutoumia
Si ndo halo nashangaa kwanini nilie nikishampa ????ila kama sijampa naweza kutoa kichozi.....,
sex ni basic need pia ukiikosa unachanganyikiwa unaweza ukamix hata mambo hayo maneno huwa mnajipa nayo moyo baada ya kujeruhiwa ohooo mapenzi blah blah kaa jichunguze weakness zako zifanyie kazi wapi unakosea enjoy love
:emptybath::emptybath::emptybath: miss neddy njoo tuoge.
:emptybath: