Majeruhi wa Mapenzi- Ready for Review== Order your Copy Today!

kati ya watu ambao na'wish kukutana nao duniani hapa mwanakijiji ni namba moja, coz mtu ni multipurpose yani kila k2 anajua na habatishi. Ya i wish ningejua hata anafananaje? Kama kuna mtu ana picha yake naomba aiweke.
 
Hahaha! Kweli u-great sinker kazi! Sasa ww unaangalia ngozi tu unajua ni mbwa mwitu? Utakosa kitoweo!
Sijakisoma, sitakisoma wala kutazama review kwani nna uhakika: Udaku, unaaa, ufataani na majungu ndio uliojazana humo. Analysis yangu inatokana na maandiko yako ndani ya JF.
 
Karibu mkuu. Kumbe I was among the 3 fastest?
Niliona ni copy za review, bora niwahi mapema
maana zikiisha hizi ni kusubiri hizo zingine sasa.

Ni kweli maana sikujua kuwa kuna kazi sana ya kuchapisha kitabu; nadhani next time kuna baadhi ya vitu nitavianza mapema zaidi
 
kati ya watu ambao na'wish kukutana nao duniani hapa mwanakijiji ni namba moja, coz mtu ni multipurpose yani kila k2 anajua na habatishi. Ya i wish ningejua hata anafananaje? Kama kuna mtu ana picha yake naomba aiweke.

NItafurahi sana kukuatna na wewe pia. Kwanini unawaomba wengine picha yangu wakati mwenyewe nipo hapa?
 
PREVIEW: Mbona hapo kwenye kizungu hujaandika THE LOVE VICTIM au the THE VICTIM OF LOVE?

PS. AISEE NIKO LIKIZO, NITUMIE NAKALA INIFIKIE KABLA YA MWISHO WA JUMA-ANUANI IPO PALE CHINI YA BARUA PEPE YANGU!
 
Hongera saana Mkuu, I am impressed. I am so dissapointed to have missed this and the chance to review it.... Naona inayobaki ni ku order... Is there any hope naweza bahatika ku review?
 
Hongera saana Mkuu, I am impressed. I am so dissapointed to have missed this and the chance to review it.... Naona inayobaki ni ku order... Is there any hope naweza bahatika ku review?

duh; I truly appreciate it asante sana. Natumaini next time nitawadokeza mapema zaidi. Bahati mbaya sasa hivi nashindana na adui mkubwa ... muda..
 
Asante sana dear; progress imeenda beyond my wildest dreams. Sasa hivi nafunga kununua previews kwani nilitaka watu kama 10 tu hivi wanunue na sasa wamefikia tisa; nadhani inatosha. Asanteni wa ndugu.

teh teh teh. you chose the right person Mzee Mwanakijiji.

you wont regret, get ready for the ride of your life.
 
Last edited by a moderator:
Sijakisoma, sitakisoma wala kutazama review kwani nna uhakika: Udaku, unaaa, ufataani na majungu ndio uliojazana humo. Analysis yangu inatokana na maandiko yako ndani ya JF.

Kati ya watu wa kuhurumiwa wewe ni namba mmoja mkuu. Utakosa vingi ktk maisha kwa hasara yako for sure.
 
Sijakisoma, sitakisoma wala kutazama review kwani nna uhakika: Udaku, unaaa, ufataani na majungu ndio uliojazana humo. Analysis yangu inatokana na maandiko yako ndani ya JF.
loh chuki binafsi hizi? au mm kakutosa?
 
Back
Top Bottom