Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,678
- 37,862
jamani hili limeanza kunishtua hivi watu serikalini wanaajiriwa kwa ajili gani,...sasa tumeanza kuwapa majembe ,yona kila kazi ambayo kuna watu tumewaajiri kwa ajili hiyo
Dawasco wameingia mkataba wa kufwatilia na kukata wadaiwa sugu wa dawasco je ni kweli hakuna wafatiliaji wa dawasco kufanya kazi anayofanya majembe,...kuna ulakini hapa najaribu kujiuliza ipo siku tuwakabidhi majembe mahaka kuu kuwabeba mahabusu toka gerezani mpaka mahakamani na kurudi.,..nimeanza kuogopa wapi hii serikali inaelekea,..najua kuna watu wamepata 10%kuwapa hii tenda majembe je ni pesa inatuzalilisha hivyo??
kwenu watanzania