Majanga na nokia lumia 800 yangu jamani

Majanga na nokia lumia 800 yangu jamani

nyakubi

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
173
Reaction score
58
simu yangu ilianza kwa ku-stuck then ikazima kabisa mpaka leo cku ya 6 sasa! msaada jaman :help::help::help::help:
 
camera + volume (up au down) + kidude cha kuwashia simu ufanye hard reset.

na kwenye pc inakubali kuconect?
 
Back
Top Bottom