Mkuu subiri Advera Senso atoe tamko
Dah afadhali labda mzunguko wa pesa utatupitia na sisi watu wa hali ya chini.Ningefurahi zaidi kama mzigo ulioibiwa ungekuwa ni wa makaburu,sababu wanajiona wao Miungu watu ,wameinyonya sana Mererani na Tanzanite yake bila kufanya maendeleo yoyote shenz type,mmxxuuuuuuuuuuuuuuu
Kha ha ha ha haaaaaas! Mkuu! Ni hasira ama ni nini?
Kama hawajauwa Mi binafsi nasema ni Kheri yao!
Mkuu kuuza huo mzigo ni kazi lazma kwanza watulie police mwatakua busy pia hayo madini hayako rough yameshachongwa kutokana na order zao,huwa wanasort then wanayashape kutokana na oda zao.
Brookerz wanadili na roughstone
Mkuu kuuza huo mzigo ni kazi lazma kwanza watulie police mwatakua busy pia hayo madini hayako rough yameshachongwa kutokana na order zao,huwa wanasort then wanayashape kutokana na oda zao.
Brookerz wanadili na roughstone
mkuu kuna wachina na wa Thailand kinondoni hiyo wala hata hawaulizi mara mbili,achilia mbali Nairobi.Mkuu kuuza huo mzigo ni kazi lazma kwanza watulie police watakua busy pia hayo madini hayako rough yameshachongwa kutokana na order zao,huwa wanasort then wanayashape kutokana na oda zao.Brookerz wanadili na roughstone
Mkuu uzuri wa black market kila mtu anataka faida maradufu hao waliokuwa wanunue kwa bei X wakipewa kwa bei Y wala hawakatai!!!!
mkuu kuna wachina na wa Thailand kinondoni hiyo wala hata hawaulizi mara mbili,achilia mbali Nairobi.
Mkuu kuuza huo mzigo ni kazi lazma kwanza watulie police watakua busy pia hayo madini hayako rough yameshachongwa kutokana na order zao,huwa wanasort then wanayashape kutokana na oda zao.
Brookerz wanadili na roughstone
Hamna ugumu hapo mpaka wanafikia hatua hiyo tayari soko lilkuwa limetafutwa mzigo wa gendo huwa unafaida tamu sana na kwa vyovyote vile huo mzigo wataubana chini bilioni 6 sioni pedeshee wakukataa mzigo fororo kama huo.
Mkuu uko smart sana, Aliyechora hilo deal ni yule yule jamaa.