Majambazi yapora Tanzanite ya billion 10

Usemalo ni kweli ila kuuza kwa twn ni issue sana mana c roughstone so wanaweza uza kenya su hapahapa kwa tajiri m1.pia ni zaidi ya kilo hizo hao jamaa hata wakiwa 10 kila mtu anauhakika wa kua bilionea
Mkuu nashukuru upo kwenye hiyo gane so unajua mambo ya "zones" "cartels" "brugliones" na "dominions" much as ni hela asee wanadamu ni zaid ya tuwaonavyo!!!!
 
Lost society....
Jamii iliyopotea..
Yaani hakuna hata mmoja so far aliyeona ujambazi na ujangili ni jambo baya???
Je kama aliyeporwa ni mmiliki halali na ana vigezo vyote???
Naioenea huruma nchi yangu hii.
Kuiacha katika mikono ya vijana ambao kuiba na ujambazi ndio unashibikiwa na kushangiliwa!
Mwishowe, mtaanza kuvamiana wenyewe kwa wenyewe.
Nyerere aliwaita WaKenya "Manyang'au" kumbe manyang'au ni Watanzania!
Aibu tupu ..... Totally disgusting!

Ungekua mzigo halali wasingesafirisha usiku. Matembele we!
 
Lost society....
Jamii iliyopotea..
Yaani hakuna hata mmoja so far aliyeona ujambazi na ujangili ni jambo baya???
Je kama aliyeporwa ni mmiliki halali na ana vigezo vyote???
Naioenea huruma nchi yangu hii.
Kuiacha katika mikono ya vijana ambao kuiba na ujambazi ndio unashibikiwa na kushangiliwa!
Mwishowe, mtaanza kuvamiana wenyewe kwa wenyewe.
Nyerere aliwaita WaKenya "Manyang'au" kumbe manyang'au ni Watanzania!
Aibu tupu ..... Totally disgusting!

Tuna akili timamu kuliko mawazo yako!!!!

Hebu sema wewe mwenye busara na uchungu na nchi, unaambiwa ilikuwa usiku, hawakuwa na escort, mmiliki halali hii risk aliichukuaje???!!!

Kama alifanya hesabu zimegoma kwa nini unataka tumbebee makosa yake!!!!!
 
Achana nae huyo hajui kuwa rasilimali zetu wageni wanaiba leo zamu yao kuibiwa.
 
Kiarusha -arusha zaidi... kutaja pesa zisizo realistic

Bilioni 15 unapakia kwenye gari??

aisee:A S-eek::A S-eek:
 
Kwa hiyo kilo moja ya Tanzanite ni bei ngapi?

Hizo hela zitasaidia kampeni za ubunge Arusha 2015

Kaa kimya unauliza bei ya Tanzanite kwani unataka kununua. Subiri uchangishe tena hela za kikapu kngine uishi. Kampeni kampeni kwani ulikatazwa kugombea!
 
Usemalo ni kweli ila kuuza kwa twn ni issue sana mana c roughstone so wanaweza uza kenya su hapahapa kwa tajiri m1.pia ni zaidi ya kilo hizo hao jamaa hata wakiwa 10 kila mtu anauhakika wa kua bilionea

Thailand soko ni la uhakika they dont ask.
 
kg 15=TZS 10,000,000,000.....!!!.??????

Inategemea na ubora wa mawe yenyewe. Kuna mtu tulikuwa tunakomaa nae hapo nyuma alinunua jiwe shambani kwa milioni ishirini akaenda kuuza Thailand kwa dola 2M, jiwe moja tu blue garnet mpaka kesho jamaa haumwondoi shamba!! Haya magemstone bana acha tu, na matumizi yake ni mapambo tu, gemstone yenye matumizi ya maana sanasana ni almasi tu.
 
Thailand soko ni la uhakika they dont ask.

Ndio ila bei nzuri iko jaipur ndio mana unaona wamekamata soko,then ikitoka jaipur ndio wanapeleka wall street.hpa twn topcolur gram 1.5m kwasasa
 
Mkuu nashukuru upo kwenye hiyo gane so unajua mambo ya "zones" "cartels" "brugliones" na "dominions" much as ni hela asee wanadamu ni zaid ya tuwaonavyo!!!!

Mkuu lastyr walivunja store hpo tanzaniteone wakapakia mzigo w kutosha.wakakamatwa wa2 ambao hawahusiki baada y hpo ndio imekuja hii,so ni mtandao uleule
 
Inategemea na ubora wa mawe yenyewe. Kuna mtu tulikuwa tunakomaa nae hapo nyuma alinunua jiwe shambani kwa milioni ishirini akaenda kuuza Thailand kwa dola 2M, jiwe moja tu blue garnet mpaka kesho jamaa haumwondoi shamba!! Haya magemstone bana acha tu, na matumizi yake ni mapambo tu, gemstone yenye matumizi ya maana sanasana ni almasi tu.

Duh balaa, superb_20 profit ndio maana Arusha kuna mabilionenia wengi?
 
Back
Top Bottom