Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

Kwakuwa Jamana house iko karibu na quality plaza ambapo kuna askari pale 24 hrs wanaolinda benki ya CRDB nilitarajia hadi muda huu kuambiwa kwamba wamejitokeza kupambana na majambazi hao wanaopora jamana house.
Kama hiyo haitoshi just opposite na jamana house kuna kituo kidogo cha polisi Brush ningetarajia hadi wakati huu wawe wamefika eneo la tukio kupambana na majambazi hao, lakini hadi sasa sijasikia taarifa zozote za polisi kufika eneo la tukio.

Ukitaka wafike sema CHADEMA wanafanya mkutano Jamana house, in a fraction of a second watakuwa pale!
 
Huyo mod. aliyendika 'LIVE' hata sijui alikuwa ana maana gani. Watu wengine bwana.
 
So kama haipo hiyo NBC hyo CBA si benki?

Usikurupuke wewe, ongeza umakini kidogo tu ili ufahamu kinachojadiliwa hapa na nilicho-comment.
Mleta taarifa anasema benki iliyovamiwa jamana house ni NBC, mimi nikamjibu jamana house hakuna benki ya NBC isipokuwa kuna benki ya CBA. Sasa kipi kigumu hapo kuelewa?

Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya NBC iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.
 
Ni bank ya cba nyerere branch ndo imevamiwa wafanyakaz wako ndan pamoja na majambaz na polisi wamezunguka bank kwa nje tuombe mungu wafanyakaz watoke salama.
 
Mmmmh kwani si tumekubaliana kutoandika habari ziwahusuzo hawa POLISI, sasa hawa Clouds wanarushaje tena taarifa ilovunjika na kuwaomba msaada? kwa taarifa yao na msaada wao sie hatuutaki wawaache Majambazi yajichukulie hela kwani Polisi wenyewe std 7 tu.
 
Mwizi hakamati mwizi mwenzie watakuja tooooooooooooo late kuchukua ushahidi na taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa dsm alishuhudia kutokea kwa tukio hiloo bla bla bla .............
 
Mtoaji taarifa polisi inabidi aseme kuwa kuna wafuasi wa Chadema wanaandamana kwenye jengo la benki.
Hapo polisi wangefika haraka sana wakiwa na silaha zote.

nakubaliana na wewe....wangekua wameambiwa dr slaa yuko jamana anaendesha mkutano wa cdm weeee FFU ungekuta dakika tano wako pale...
 
Maana yake tukio linaendelea sasa hivi. Ni sawa tu na heading uliyoweka.

Live inatumika mara zote kwa matukio yanayorushwa na TV au Radio. Kwa matukio ambayo hayarushwi na TV au Radio inakuwa ni kichekesho eti kusema live. Bora hata angesema ''Happening now'' ingeleta maana. Watu wengine bwana.
 
Usikurupuke wewe, ongeza umakini kidogo tu ili ufahamu kinachojadiliwa hapa na nilicho-comment.
Mleta taarifa anasema benki iliyovamiwa jamana house ni NBC, mimi nikamjibu jamana house hakuna benki ya NBC isipokuwa kuna benki ya CBA. Sasa kipi kigumu hapo kuelewa?

Kwahiyo kama siyo NBC basi polisi wasiende kutoa msaada? Yaani mtu unaleta ubishi usio hata na maana sehemu ambayo inahitaji utatuzi wa haraka. Watu wengine bwana.
 
Mwizi hakamati mwizi mwenzie watakuja tooooooooooooo late kuchukua ushahidi na taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa dsm alishuhudia kutokea kwa tukio hiloo bla bla bla .............

sijamuona kova siku nyingi,,,,,,tangu tukio la GWAJIMAAAAAAAAA (KAMA SIJAKOSEA)
 
Back
Top Bottom