Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

Policia wetu hovyo, yaani hadi redio inatangaza kuwa ujambazi "unaendelea" wao wanawaza mikutano ya CDM. Vipi wale policia wanaolinda hapo bank? kwani hawana silaha (SMG) na kuhusu hata grenade kama sio teargas?
 
Tulio mbali tunajua(kutokana na vyanzo vya habari huko kuwa ni Commwercial Bank Of Africa (CBA)
 
mnaniuthiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! jamani hao waliovamia hapo sio majambazi bali ni polisi wenyewe hao wako na dili la kuongeza salio tu. tz hakuna jambazi bado bana tusidanganyane, hao ni washika mabomu wa tz ndo wamevamia hapo
 
Hii kitu mbaya sana, kwani mchimbi a.k.a mzee wa majigambo mikosi inaendelea kumwandama. Unapoona waziri anatumia misifa ya kuchumbia mbele ya waandishi bila soni ujue upstairs kuna mgogoro. Anachojua ni kurembua rembua tu!!!
 
waziri aunde tume ya kuchunguza wameiba kiasi gani na kama kuna wateja waliolipuliwa na mabomu
 
Wazee mwenye update naomba tujulishane kuhusu kinachoendelea na hasa usalama wa wafanyakazi ........
 
Back
Top Bottom