Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

Live inatumika mara zote kwa matukio yanayorushwa na TV au Radio. Kwa matukio ambayo hayarushwi na TV au Radio inakuwa ni kichekesho eti kusema live. Bora hata angesema ''Happening now'' ingeleta maana. Watu wengine bwana.

asante turudi kwenye mjadala,,,,WAMEKAMATWA HAO WALOFATA HELA ZAO BENKI?????
 
954714150.png
 
waambieni polisi chadema wamevamia benki na dr. Slaa yupo ndani.
 
Kwahiyo kama siyo NBC basi polisi wasiende kutoa msaada? Yaani mtu unaleta ubishi usio hata na maana sehemu ambayo inahitaji utatuzi wa haraka. Watu wengine bwana.

Mwingine huyu naye amekurupuka, au umebadilisha ID? Wapi nimesema polisi wasiende kutoa msaaada?
Mimi nimeweka sawa kitaarifa chako kwamba benki iliyovamiwa jamana house ni NBC, nikakuambia jamana house kuna benki ya CBA.
Na post yangu nyingine nimeelezea kushangazwa na polisi kuchelewa kufika eneo la tukio kwakuwa kuna kituo cha polisi opposite na jamana house kinaitwa Brush, na kama hiyo haitoshi kuna askari polisi jemngo la quality plaza lakini nao walipaswa kufika jamana kusaidia kupambana na majambazi.
Sasa watu wengine sijui mmeamka na hang over mnakurupuka tu bila kusoma vizuri post za wengine na kucomment majitaka.
 
Wewe umeonyesha dharau sana eti kuanza kudai ooh sijui NBC haipo pale mara ooh sijui kuna benki gani. Watu wengine bwana.
 
Taarifa nilizo zipata naskia wamefanikiwa kuiba pesa zilizopo strong rum pamoja na mali za wafanyakaz kama pete na vidan.
 
ingekuwa cdm wapo hapo wangeshafika. acha yaibe tu maana wamezoea kuua kumbe kudhibiti ujambazi umewashinda
 
Back
Top Bottom