Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

IMG_0829.jpeg
 
Oops you are not correct, sema tulipaswa au tunapaswa. Usijiondoe. Au ndio waandamanaji/wapiga zumari wa mitandaoni. Communication is a key 🗝️.

Samia na mwigulu vinavyowaponza ni lugha wanazozitumia mbali na maujinga waliyoyafanya.
 
Na yanatuma mesej kila siku, et tume tume, tume au genge la wauaji. Yaan uue halaf uunde tume ya kukuchunguza wew muuaji, mauaj ulifanya wew halaf ujiundie tume ya kukuchunguza! Watanzania sio vilaza kias hicho!
 
Kuwambia watu waandamane kuwapinga wauwaji wakati hao wauwaji waliuwa watu kwa sababu ya kuandamana!!!!. Nikama kuwambia wanainchi waende wakauwawe tena. Maana wauwaji bado wapo na siraha zilezile bado zipo pengine wameongeza mbinu nyingine ya kuyafanya hayo mauaji
 
Vipi kama hayo mauaji yalisababishwa na waasi wa kutoka ndani na nje ya nchi?.

Tulieni waacheni watu wafanye kazi, wasiwasi uwekeni pembeni kwanza.

Kipi haswa mnachokiogopa kisijulikane?, Hizi ni vita za kiuchumi tutapambana vyema bila hofu yoyote.
 
Kuwambia watu waandamane kuwapinga wauwaji wakati hao wauwaji waliuwa watu kwa sababu ya kuandamana!!!!. Nikama kuwambia wanainchi waende wakauwawe tena. Maana wauwaji bado wapo na siraha zilezile bado zipo pengine wameongeza mbinu nyingine ya kuyafanya hayo mauaji
Unaowaita wauaji wapo kikatiba, jeshi lipo kikatiba na polisi wapo kikatiba, vibaka waliokuwa wanaleta machafuko huko mtaani wanajulikana kikatiba?.

Hakuna namna vyombo vya ulinzi eti vingewaacha muendelee kutia hasara biashara za watu, nchi kukaa bila mtandao wa internet kwa siku sita imeingia hasara ya shilingi bilioni 580.

Jiulize hasara ya kuzima mtandao wa upakuaji na upakiaji wa makontena pale TPA.
 
Back
Top Bottom