Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Kweli 19ml kwenye gari ni balaa ni balaa aiseeee!!!!!
Pengine hilo ni sehemu ya maendeleo tuliyopiga katika miaka 51 ya uhuru wetu! Viongozi wetu ama kwa kujua au kwakutojua wanatuandaa tuwe hivyo. Mtu mwenye maisha bora katu hawezi kufanya haya!
Nawapa pole waliofikwa na mkasa huo. Ila siafiki kuwa 19ml zitakuwa zimeibwa katika tukio hilo. Basi wote tu mafisadi. Fedha hiyo katika safari kama hiyo ni kwaajili gani?
Kweli 19ml kwenye gari ni balaa ni balaa aiseeee!!!!!
baada ya wezi wa tanzanite kushikwa na wale walio mua rpc wa mza, basi ni wazi na hawa watashikwaIna sikitisha sana,hii ni zaidi ya unyama. Walaaniwe wote waliohusika katika hili.