Majambazi waipora maiti.

Majambazi waipora maiti.

Wanyama wanaweza kufungua jeneza na kulisachi yakitafuta hela?
Angalia hapo kwenye rangi!
unacheki eh, wazungu wanasema ths z childish.umecomment kama ulivoona,kama phtcpymachne...kumbe red=rangi?
 
baada ya wezi wa tanzanite kushikwa na wale walio mua rpc wa mza, basi ni wazi na hawa watashikwa

jinsi ilivyo inaonyesha' nikuanzia pale kwenye msiba ulikotokea SUA, ilisukwa tokea pale. Jeshi letu la polisi lingekuwa makini' nirahisi kuwapata wahusika.
 
jinsi ilivyo inaonyesha' nikuanzia pale kwenye msiba ulikotokea SUA, ilisukwa tokea pale. Jeshi letu la polisi lingekuwa makini' nirahisi kuwapata wahusika.


Labda kama maiti angekuwa polisi!
 
ili chezo wamechezeana tu naile kusachi maiti ni zuga tu ili isijulikane kama ishu imeuzwa
 
Huo ni mchongo na itakuta mhusika yuko hapo hapo na nyie ila hawataishi milele hao nao watakufa tu,pesa nowdays inatutoa kwenye anga lakuitwa binadamu kabisa lol
 
Unamaanisha nini unaposema imani za dhambi?
Well, kwanza niseme si maneno yangu yale, kama nilivyoonyesha, ni ya mtafiti mmoja aliyefanya kazi kwenye nchi masikini za Latin America, lakini ahsante kwa kuuliza.

Hapa kuna criminal exploit of the worst kind imetokea, majambazi yameteka gari la kusindikiza maiti, mchana kweupe, mbele ya umma. Watanzania wanavyoliangalia hili swala, ukisoma maoni, hawaongelei masuala ya law enforcement na usalama wa raia na tunawezaje kujishughulisha kwa uwezo wa kibinadamu ku deal na matatizo haya, badala yake Mtanzania anaongelea dhambi na shetani na mungu na kusali na kuswali zaidi na zaidi.
Mambo ambayo hayatatui matatizo yetu.

Kitu ambacho jamii zilizoendelea ziligundua zamani sana, zikaamua kuanzisha na kujikita kwenye organized human-based systems of dealing with the human condition, the so called serikali, nchi, majeshi, asasi za kiraia, sheria na kadhalika kama hizo.

Ndio akasema, mtafiti huyo, watu ambao wana imani kali za mambo ya kufikirika utakuta jamii zao zina hali duni sana za maendeleo. Wanayaangalia matatizo yao katika muktadha wa laana, dhambi, ahera, majini, mbinguni, wachawi, shetani, mtume, malaika, mungu...!
 
Back
Top Bottom