#COVID19 Majaliwa, Jaffo na Vigogo Afya Waachie Ngazi

Angalia uongo wa polisiccm kuhusu kukamatwa kwa Mbowe. Hivi yule dhalimu mwendazake kama Mbowe angekutwa na hatia ya kupanga njama ya kuua Viongozi wa juu Serikalini angemwacha huru tangu September mwaka jana?

Huo upuuzi hata mtoto mdogo hawezi kuukubali.

Huo ni uongo usioweza kumdanganyana nao hata mjinga.
 
Reactions: BAK
Hao kujiuzulu haitoshi, walitakiwa watubu na kukiri makosa yao mbele ya wananchi wote !
 
Hao kujiuzulu haitoshi, walitakiwa watubu na kukiri makosa yao mbele ya wananchi wote !View attachment 1867202

Kiuhalisia kunatakikana baraza jipya kwa mwanzo mpya:

 
Narudia tena siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Hivi vitu vinahitaji akili kubwa ili kuvielewa.
Anaweza kuwa na mipango yake, lakini huwezi kuithibitisha kupitia fake conversation.
 
Mimi si mwanasiasa bali najali sana yote yanayojiri nchini ikiwemo dhuluma na udhalimu wa kutisha kama vile kutekwa, kupotezwa, kubambikiwa kesi FEKI etc ili tu wahuni waendelee kutenda dhuluma na udhalimu wao nchini wa miaka nenda miaka rudi. Ndiyo maana nasema siku ukitia akili kichwani utaelewa tu.
Wewe ndo unashindwa kutumia akili ,upo kisiasa zaidi na mimi nipo neutral nikitumia akili na ujuzi wangu.
 
One plus one is always 2 if you follow carefully what is going on in our beloved country for the last 10 years or so you’ll see the trend.
Nakubaliana nawewe,ila siyo kutumia habari fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…