dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,603
- 60,859
safi sana, huo ujinga ujinga wa bara ubaki bara, msituletee Zenji
Mkuu Bobwe, kuhusu mambo ya muungano, kama kwa kutukana watu humu vichwa maji, makes you happy, be happy!, Tanganyika haipo iliishakufa siku nyingi, sasa Tanzania ni nchi moja, huwezi kuwa mkoloni kwa jambo unalolimiliki wewe mwenyewe!.
Ni kama binti wa watu, ukimtamani na kumtaka kwa nguvu bila ya ridhaa yake ni kumbaka hilo ni kosa la jinai!, lakini ukimhonga, akakubali kuolewa, ukamlipia mahari, ukamua, akawa mke wako, utakapohitaji zile huduma, hizo sasa ni mali yako, iwe kwa ridhaa yake au bila ya ridhaa yake, ni rukhsa kwa wewe kupata huduma kutoka na mali zako unazomiliki kihalali!.
Baada ya muungano wetu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya 1964, Zanzibar sasa ni sehemu ya JMT, ili kuudumisha muungano, ni muhimu kwa Tanzania kuhakikisha anayeshika uongozi wa sehemu yake ya Zanzibar, ni mzalendo na atadumisha muungano!. Hakuna ubaya wowote kwa mwenza mmoja kumchagulia jambo jema mwenza wake!.
Huwezi kuwa mkoloni wa eneo ambalo ni mali yako mwenyewe!.
P
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kutoka chama tawala(ccm),kuna ilani ya chama cha mapinduzi(ccm),katibu mkuu wa chama cha mapinduzi anafanya ziara visiwa vya PEMBA na Unguja kukiimalisha chama na mwisho Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuzindua ofisi ya usalama wa taifa Zanzibar.Atulie kimya, Zanzibar uchumi wake ni kodi import na export tulitegemea sukari kuuza tanganyika mkaizuiya sukari huko huko, Maajaaliwa ataka awalaximishe wazanzibari wanunue , impossible
Hana mamlaka kuingilia mambo yasio kuwa ya muungano hata rais wa muungano vile vile kwa mujibu wa katiba .
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.
Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P![]()
Kwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?
Mawaziri wa bara na zanzibar wa biashara na viwanda wameshindwa kuafikiana kuhusu kununua sukari ya zanzibar. Wamekubaliana swala lipelekwe mamlaka za juu. Bidhaa nyingine zote zitasafirishwa isipokuwa sukari tu. Charles Mwijage amesema hawajasitisha bali taratibu sheria na viwango lazima...www.jamiiforums.com
Kila mtu apewe roba lake akatunzie anakokujua.Total 36,000,000 Idadi ya wakazi (Approx) 700,000
Kila mkazi anatakiwa atue 51.43Kg kwa mwaka
52(1) umeelewaje mkuu?
Chokochoko mchokoe pwezaaaaa!! Tunao ufa wa muungano. Nani kuwa rais wa zbz by Nov.?? Let's wait n cKwahiyo na majaliwa nae kaanza kuikanyaga katiba kama yule mwendamahoka wa chato
Paschal mbaguzi na hana maarifaLeo Paschal hauko vizuri! Pole sana. Your head needs a check up by a specialist. Kuwa Sheni alikuwa anajifurahisha kukagua gwaride mbele ya Magu? You can't be serious! Halafu unalinganisha mwanao kushka usukani na ukaguzi wa gwaride linaloongozwa na kanal wa jesho! Ajabu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sukari inayozalishwa hapo Zanzibar haitoshelezi, unataka ku export nini?Kwa nini mnawagomea kuingiza sukari bara wakati tunashida ya sukari na bei ipo juu mgewaacha waingize akili ya mwafrica mungu anajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema tudumisue muungano wetu naona kufananisha itakutesa tuu mkuuHilo jina huwa nalishangaa sana wakati yeye ni escott 4 na Rais wa SMZ ni escott 3..Kiuhalisia vyeo vya serikali kuu vimekaa shaghala baghala tu ilimradi liende. Sasa escott 3 hana mamlaka na Tanganyika wakati escott 4 ana mamlaka na Zanzibar. Pia kwenye cabinet makamu wa Rais na Rais wa SMZ wanakaa next to president wakati waziri mkuu anakaa next to VP.
Naunga mkono hoja yy Ni waziri mkuu wa JMT na sio waziri mkuu wa TanganyikaMajaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.
Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P![]()
Kwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?
Mawaziri wa bara na zanzibar wa biashara na viwanda wameshindwa kuafikiana kuhusu kununua sukari ya zanzibar. Wamekubaliana swala lipelekwe mamlaka za juu. Bidhaa nyingine zote zitasafirishwa isipokuwa sukari tu. Charles Mwijage amesema hawajasitisha bali taratibu sheria na viwango lazima...www.jamiiforums.com
Mkuu. Ndani ya baraza la mawaziri huyo Ni mjumbeTanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.
Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Jifurahishe ZANZIBAR hutoiweza ww wala baba yako ZANZIBAR nikubwa kuliko akili za watanganyika wote ukiwemo wewe mwenyewe km unataka ukuu wa WILAYA kuupata kupitia ZANZIBAR umechelewa nenda kujenga ChatooMkuu Bobwe, kuhusu mambo ya muungano, kama kwa kutukana watu humu vichwa maji, makes you happy, be happy!, Tanganyika haipo iliishakufa siku nyingi, sasa Tanzania ni nchi moja, huwezi kuwa mkoloni kwa jambo unalolimiliki wewe mwenyewe!.
Ni kama binti wa watu, ukimtamani na kumtaka kwa nguvu bila ya ridhaa yake ni kumbaka hilo ni kosa la jinai!, lakini ukimhonga, akakubali kuolewa, ukamlipia mahari, ukamua, akawa mke wako, utakapohitaji zile huduma, hizo sasa ni mali yako, iwe kwa ridhaa yake au bila ya ridhaa yake, ni rukhsa kwa wewe kupata huduma kutoka na mali zako unazomiliki kihalali!.
Baada ya muungano wetu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya 1964, Zanzibar sasa ni sehemu ya JMT, ili kuudumisha muungano, ni muhimu kwa Tanzania kuhakikisha anayeshika uongozi wa sehemu yake ya Zanzibar, ni mzalendo na atadumisha muungano!. Hakuna ubaya wowote kwa mwenza mmoja kumchagulia jambo jema mwenza wake!.
Huwezi kuwa mkoloni wa eneo ambalo ni mali yako mwenyewe!.
P
Mtabishana mpaka kesho, kuna mkanganyiko mkubwa kwenye katiba kwa kutoitaja Tanganyika/Tanzania bara.52(1) umeelewaje mkuu?
Jaribu kurudia kusoma na kusoma tena
Na 52(3) rudia kusoma tena huku uki refer Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alikuwa visiwani hivi karibuni
Madaraka ya Zanzibar wamejikulia tokea Ile siku walipoamua kuachana na chaguo la wananchi na kuleta majeshi kutoka bara kumuweka mtu wao kwa nguvu za kijeshi sasa hapo utegemee nini Kwa mtu ambaye amefadhiliwa kiasi hicho aseme nini yotte hayo mmeyataka nyiyi Kwanza kutaka mazungumzo feki halafu kuwazuiya watu wasiingie barabarani kudai ushindi wao wakati mataifa yote yalikuwa hapo ndugu zangu msifikirie kabisa kwamba ccm itakubali matokeo hata siku moja huo uchaguzi unaokuja ndio kabisa.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNasso
View attachment 1329197
====
Waziri mkuu wa Tanzania bara au jamhuri ya muungano wa Tanzania?Mtabishana mpaka kesho, kuna mkanganyiko mkubwa kwenye katiba kwa kutoitaja Tanganyika/Tanzania bara.
Yupo sahihi Majaliwa ni waziri mkuu wa Tanzania bara. Kule Mawaziri wao wanawajibika kwa Baraza la Mapinduzi na Rais wao. Usisahau Zanzibar wana katiba yao inayoitambua kama nchi, na sijawahi kusikia Tanganyika wakiipinga.
Unakumbuka mjadala wa Pinda bungeni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Production 6000 demand 36000 halafu ushindwe kuuza hiyo 6000? Ni maajabu ya watu wa masoko kushindwa kupenya sokoni hata kwa kuwa na retail customers waoZanzibar. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda, Juma Hassan Reli ahakikishe anazuia utoaji wa vibali vya kuingiza sukari kutoka nje hadi sukari inayozalishwa na kiwanda cha sukari cha Zanzibar kilichopo Mahonda iishe.
Amesema haiwezekani kiwanda hicho cha pekee kinachozalisha tani 6,000 za sukari kwa mwaka kikakosa wateja wakati mahitaji ya sukari Zanzibar ni tani 36,000 kwa mwaka.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Jumamosi, Januari 18, 2020 wakati alipotembelea kiwanda cha kuzalisha sukari cha Zanzibar kilichopo katika eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema ni vizuri wizara ikahakikisha sukari inayozalishwa na kiwanda hicho inapewa kipaumbele cha kwanza kwa kununuliwa kwa sababu wana uhakika na ubora wake kwa kuwa wameshuhudia uzalishaji wake kuanzia hatua ya awali miwa ikiwa shambani.
“Wizara ya viwanda lazima mbadilike na muweke utaratibu mzuri wa kusimamia uingizwaji wa sukari kutoka nje. Haiwezekani sukari inayozalishwa ndani ikakosa soko kutokana na uingizwaji wa sukari kutoka nje. Hatuwezi kumfurahisha mtu mmoja huku wengi wakiumia.”
Mwananchi
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar,
Katiba Inatambua vyombo viwili vya utendaji vyenye mamlaka, Serekali ya Jamuhuri na Serekali ya Zanzibar. Mpaka hapa unaamini Serekali ya Zanzibar ina mamlaka na mambo yake? Tena bila kuingiliwa na Jamuhuri (bara!!).Waziri mkuu wa Tanzania bara au jamhuri ya muungano wa Tanzania?