M'bongo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 265
- 302
ZRB ni Bodi kama zilivyo bodi nyingine nyingi. Mamlaka ni moja tu, TRAZanzibar wana kodi yao ZRB
Sent using tecno tochi
ZRB ni Bodi kama zilivyo bodi nyingine nyingi. Mamlaka ni moja tu, TRAZanzibar wana kodi yao ZRB
Sent using tecno tochi
Waziri mkuu ametoa agizo msiruhusu kuingiza sukari toka nchi za nje.Ingelikuwa kweli mna hofu na mnaogopa uchum wa Zanzibar kudorora mngeliruhusu sukari ya Zanzibar iuzwe Tanganyika..
Kama mnataka Zanzibar isiruhusu wafanya biashara kuagiza Sukari nje, na kukiruhusu kiwanda cha Mahonda tu ndio wawe wanailisha sukari Zanzibar basi hiyo Itakuwa "MONOPOLY"
MONOPOLY maisha yote inafanya maisha yawe magumu kwa raia wa chini, kutakuwa hakuna mashindano ya kibiashara.. Inwezekana bei za sukari ikapanda kiholela..
Mnapiga kelele sana kuhusu Muungano, mkiambiwa ukweli mnakasirika na kusema mmetukanwa, kwenye maelezo yangu kuna tusi gani?.Haya matusi makubwa kwa mamlaka ya zanzibar.
Tani 36,000 kwa mwaka? Kwani huu mkoa wa Zanzibar una watu wangapi jumla?
Mkuu Mayalla kwani Zanzibar si wana katiba yao? Na wanaifuata na tunaitambua? Katiba yao haimtambui Majaliwa. Inakumbusha lile sakata la Pinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
He has just done a favor. Mkija bara bungeni msianze kulialia. Zanzibar bado inahitaji uchumi sambamba na wa bara. Shida kuna watu wanafikiri maneno mengi ndio ujanja. Wamebaki wanaongea tu for centuries
WASUKUMA WANAENDELEA KUSUKUMA UJINGA WAO MTAMALIZANA WENYEWE ZANZIBAR HAMTOIWEZAAMnapiga kelele sana kuhusu Muungano, mkiambiwa ukweli mnakasirika na kusema mmetukanwa, kwenye maelezo yangu kuna tusi gani?.
Watanzania wengi hawaelewi civics, tunahitaji sana elimu ya uraia kuhusu huu Muungano wetu.
Muungano wetu ni muungano wa union, nchi mbili zimeungana zikaunda nchi moja ya URT, chini ya rais mmoja, na amiri jeshi mkuu mmoja tuu!.
Ndani ya muungano, kuna Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ambayo ni Tanzania Zanzibar, ambapo Zanzibar ina mamlaka yake ya ndani ikiongozwa na mtu anayeitwa rais wa Zanzibar, sasa kwa vile rais wa JMT, anaitwa rais na rais wa Zanzibar anaitwa rais, watu wanawaona hawa marais wawili kama wako sawa!, no, mmoja ni rais wa nchi, dola, mamlaka na amiri jeshi mkuu, mwingine ni rais jina, Zanzibar sio nchi, sio dola na rais wake sio amiri jeshi, sasa anapokagua gwaride, ndani ya Zanzibar huku Amiri Jeshi yupo anaangalia, hakumfanyi rais wa Zanzibar kuwa amiri jeshi, nikakuambieni wakuu wa mikoa pia hukagua magwaride, na kutolea mfano hata mtoto wangu mdogo, hushika usukani kuendesha gari langu na sio dereva!.
Serikali ya JMT, inaiheshimu sana Zanzibar na kwasababu Zanzibar ina haki na mamlaka yake ya ndani, Zanzibar imebadili katiba yake ile 2010, ikajiita nchi, JMT imenyamaza, kwenye mabadiliko hayo, Zanzibar imejitangazia mipaka yake, JMT imenyamaza, Rais wa Zanzibar kaitwa ni mkuu wa JKU, KMKM na Vikosi vya SMZ, JMT tumenyamaza kwasabu hao wote ni migambo tuu!. Rais wa Zanzibar kapewa mamlaka ya kuigawa Zanzibar, JMT tumenyamaza. Mabadiliko hayo ya katiba ya Zanzibar yamekwenda kinyume cha katiba ya JMT, kwanini serikali ya JMT imenyamaza?. Ni kwasababu mabadiliko hayo ni ya Zanzibr ni mambo ya ndani ya Zanzibar sisi hayatuhusu!. Ndio mmana mpaka leo, mpaka kesho, katiba ya JMT, haiyatambui mabadiliko hayo.
Ni kama serikali ya familia, Baba ndio kichwa cha nyumba, lakini mama ndiye mkuu wa serikali ya jikoni, baba hakatazwi kuingia jikoni, na akiingia akikuta vyovyote mama alivyopanga, baba ataangalia tuu bila kumuingilia mama na mambo yake ya jikoni, hivyo ndivyo ilivyo katiba ya Zanzibar ndani ya set up ya muungano, hilo ni jambo la Zanzibar wenyewe, jmt haipaswi kuwaingilia.
P
PM anakaa next to President of ZanzibarHilo jina huwa nalishangaa sana wakati yeye ni escott 4 na Rais wa SMZ ni escott 3..Kiuhalisia vyeo vya serikali kuu vimekaa shaghala baghala tu ilimradi liende. Sasa escott 3 hana mamlaka na Tanganyika wakati escott 4 ana mamlaka na Zanzibar. Pia kwenye cabinet makamu wa Rais na Rais wa SMZ wanakaa next to president wakati waziri mkuu anakaa next to VP.
Mkuu Bobwe, kuhusu mambo ya muungano, kama kwa kutukana watu humu vichwa maji, makes you happy, be happy!, Tanganyika haipo iliishakufa siku nyingi, sasa Tanzania ni nchi moja, huwezi kuwa mkoloni kwa jambo unalolimiliki wewe mwenyewe!.Kichwa maji,masuala yasio ya muungano tanganyika haipaswi kuingilia maamuz ya wazanzibar,mmefanya fanya ujinga wa kizamani mpaka sasa hivi rais mnawachagulia kutoka dodoma,ukoloni una mwisho wake.
Sent using tecno tochi
Zanzibar hatutaiweza mara ngapi, au ki vipi wakati iko chini ya milki yetu?.WASUKUMA WANAENDELEA KUSUKUMA UJINGA WAO MTAMALIZANA WENYEWE ZANZIBAR HAMTOIWEZAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Alihosema ni sahihi ,lakini hana Mamlaka nalo!Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.
Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P![]()
Kwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?
Mawaziri wa bara na zanzibar wa biashara na viwanda wameshindwa kuafikiana kuhusu kununua sukari ya zanzibar. Wamekubaliana swala lipelekwe mamlaka za juu. Bidhaa nyingine zote zitasafirishwa isipokuwa sukari tu. Charles Mwijage amesema hawajasitisha bali taratibu sheria na viwango lazima...www.jamiiforums.com
Waziri Mkuu wa JMT, anaweza kutoa ushauri wowote kwa eneo lolote la Tanzania, ila hawezi ku enforce mambo yasiyo ya muungano Zanzibar, kwa vile SMZ inatulilia sisi bara turuhusu sukari ya Zanzibar iingie na kuuzwa bara, sisi bara tumewakatalia ili sukari hiyo inayozalishwa Zanzibar, iuzwe Zanzibar. Kinachofanyika sasa ni sukari inayozalishwa Zanzibar, inadodea kiwandani, halafu Wazanzibari wanatumia sukari kutoka nje!, kisha wanatulilia sisi bara turuhusu sukari yao iliyododa iingie kwetu, PM amewashauri kuzuia uagizaji ili Wazanzibari watumie sukari yao.Alihosema ni sahihi ,lakini hana Mamlaka nalo!
rais wa zanzibar ni mjumbe kwenye baraza la mawaziri. Waziri mkuu ndio kiranja wa mawaziri sijui vip hapo? Kimsingi rais wa zanzibar ni kama mkuu wa mkoa maana rais gani hana jeshi ?Hilo jina huwa nalishangaa sana wakati yeye ni escott 4 na Rais wa SMZ ni escott 3..Kiuhalisia vyeo vya serikali kuu vimekaa shaghala baghala tu ilimradi liende. Sasa escott 3 hana mamlaka na Tanganyika wakati escott 4 ana mamlaka na Zanzibar. Pia kwenye cabinet makamu wa Rais na Rais wa SMZ wanakaa next to president wakati waziri mkuu anakaa next to VP.
Hapo ni kula na kipofu pila kumshika mkono. 'rais' wa zanzibar hatoi commission na hana ubavu wa kuyaamuru majeshi aliyokuwa anayakagua. Hana amri kwa jeshi wala polisi etc yeye anahusika na vikundi vyake vya ulinzi mara valantia, sijui kmkm etc. Ambavyo ni sawa na KK securityKama Magufuli alikuwa jukwaani wakati Shein akikagua gwaride la Siku ya Mapinduzi Matukufu ndio awe Majaliwa !
Waziri Mkuu wa JMT, anaweza kutoa ushauri wowote kwa eneo lolote la Tanzania, ila hawezi ku enforce mambo yasiyo ya muungano Zanzibar, kwa vile SMZ inatulilia sisi bara turuhusu sukari ya Zanzibar iingie na kuuzwa bara, sisi bara tumewakatalia ili sukari hiyo inayozalishwa Zanzibar, iuzwe Zanzibar. Kinachofanyika sasa ni sukari inayozalishwa Zanzibar, inadodea kiwandani, halafu Wazanzibari wanatumia sukari kutoka nje!, kisha wanatulilia sisi bara turuhusu sukari yao iliyododa iingie kwetu, PM amewashauri kuzuia uagizaji ili Wazanzibari watumie sukari yao.
Ni ushauri wa busara!.
P
Mtapokea maagizo ya waziri mkuu kwa sababu moja tu, Zanzibar ni sehemu ya URT.Leo mmesahau pindi mnavyowategemea mabeberu pale serikali inapokunjua makucha dhidi ya wahalifu wa mitandao na utakatishaji wa fedha.Vipeperushi toka ulaya mkiviona mnashashadiaje eti ooh mbinyo wa USA mara EU, ujinga mtupu.Leo Majaliwa ambaye katiba nimempa Malala kaongea tayari mnakuja kinyume. Mipinzani ya bongo hasara kabisa.Zanzibar haiwezi kuwa na uchumi sambamba na Tanganyika, hizi ni nchi mbili zenye mfumo tafauti wa kiuchumi..
Hakuna kisiwa masikini, kama kweli Zanzibar itafata miko ya kiuchumi inayofata desturi za visiwa basi uchumi wa Zanzibar utakuwa juu sana
lakini Kama watawasikiza hawa akina MAJAALIWA, basi zanzibar itaendelea kuwa tegemezi kwa akina MAJAALIWA..