Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNasso
View attachment 1329197

====
Katoa maagizo yapi mana wapemba kila kitu kupinga tu
 
He has just done a favor. Mkija bara bungeni msianze kulialia. Zanzibar bado inahitaji uchumi sambamba na wa bara. Shida kuna watu wanafikiri maneno mengi ndio ujanja. Wamebaki wanaongea tu for centuries

Zanzibar haiwezi kuwa na uchumi sambamba na Tanganyika, hizi ni nchi mbili zenye mfumo tafauti wa kiuchumi..

Hakuna kisiwa masikini, kama kweli Zanzibar itafata miko ya kiuchumi inayofata desturi za visiwa basi uchumi wa Zanzibar utakuwa juu sana

lakini Kama watawasikiza hawa akina MAJAALIWA, basi zanzibar itaendelea kuwa tegemezi kwa akina MAJAALIWA..
 
Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.

Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Haya matusi makubwa kwa mamlaka ya zanzibar.
 
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
Kweli Waziri Mkuu anayo mamlaka ya kusimamia utendaji Zanzibar lakini kwa shuhuli zinazohusu mambo ya MUUNGANO TU
 
Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.

Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Mkuu Mayalla kwani Zanzibar si wana katiba yao? Na wanaifuata na tunaitambua? Katiba yao haimtambui Majaliwa. Inakumbusha lile sakata la Pinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.

Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.

Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P
Kwa kuwa wewe ni mwanasheria, ebu tafsiri hili kisheria na si kisiasa
 
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC ndio mamlaka take
 
Zanzibar haiwezi kuwa na uchumi sambamba na Tanganyika, hizi ni nchi mbili zenye mfumo tafauti wa kiuchumi..

Hakuna kisiwa masikini, kama kweli Zanzibar itafata miko ya kiuchumi inayofata desturi za visiwa basi uchumi wa Zanzibar utakuwa juu sana

lakini Kama watawasikiza hawa akina MAJAALIWA, basi zanzibar itaendelea kuwa tegemezi kwa akina MAJAALIWA..
Ndio mnavyodanganyana. Dunia hii huwezi kula peke yako as if wengine hawapo .

Mahitaji mengi muhimu yanatoka bara tena kwa bei ya huruma. Sasa huko kujitutumua kunatoka wapi?
 
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.

Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.

Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P
Paschal katyika hili unatia tu chumvi. Ni kweli PM ni wa JMT lakini anapaswa kuangalia tu mambo ya muungano. Sukari sio jambo la muungano na hata kama alikuwa na ushauri angewaambia wakuu wa Zanzibar na sio kutoa directives. Hapo ni kuvuka mipaka. Viongozi wetu wanapaswa kuwa makini wakifika visiwani, vinginevyo hamna haja ya kuwa na serikali ya Zanzibar kama kila kitu kinaweza kushughulikiwa na serikali ya Muungano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pitia tena notes zako za Constitutional Law maana you seem not to make a difference of what the PM is capable of doing and what he cannot when it comes to Zanzibar.
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.

Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Leo Paschal hauko vizuri! Pole sana. Your head needs a check up by a specialist. Kuwa Sheni alikuwa anajifurahisha kukagua gwaride mbele ya Magu? You can't be serious! Halafu unalinganisha mwanao kushka usukani na ukaguzi wa gwaride linaloongozwa na kanal wa jesho! Ajabu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Literal translation ya hii ibara ni jibu tosha kabisa. Na moja ya mambo yanayohusu Muungano kwa taarifa yako ni katiba ya JMT.
Swali lingine ambalo unatakiwa kujibu ni kwa nini wabunge toka Zanzibar huwa wanamuuliza maswali bungeni waziri mkuu kuhusu hata masuala ambayo yanahusiana hata na sukari au miundo mbinu?
 
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.

Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.

Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P
Kichwa maji,masuala yasio ya muungano tanganyika haipaswi kuingilia maamuz ya wazanzibar,mmefanya fanya ujinga wa kizamani mpaka sasa hivi rais mnawachagulia kutoka dodoma,ukoloni una mwisho wake.

Sent using tecno tochi
 
Back
Top Bottom