Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.

Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Huku kujipendekeza kumevuka mipaka, mpaka unafikia kuongea utumbo wa namna hii. Magufuli hatakupa cheo hata ulambe miguu yake.
 
Kwangu mimi Ismail Jussa na Tundu Lissu ndiyo wanasheria bora wa kizazi hiki hapa Tanzania - hutaki unataka huo ndiyo ukweli.
 
Mmmmmmmm, We hamnazo kumbe, ndio unahoji kingesengese hivyo. Unatia kichefchef cha roho

Sent using Jamii Forums mobile app
kichefuchefu
.
usidhani lugha za mtaani sizijui wewe lofa mkubwa, hamnazo ni yule aliyekuleta duniani akashindwa kukupeleka shule ujitambue akakupeleka madrasa pumbaaaaavu
 
Back
Top Bottom