Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Then acha kujidanganya, utavichimbua, wewe na nani? Kachimbue mifereji ya maji machafu kijijini kwenu kwanza!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Wakufanya kazi hiyo wapo na ni taaluma kabisa.
Mkiendelea kutusumbua akili nitakuja na Scarveta mtakoma ubishi
 
View attachment 1330188na ibara hii usisahau kuisoma kwa umakini
Hivyo vyombo vilivyotajwa hapo vinafanya kazi kwa mujibu wa katiba. JMT na SMZ zinafanya kazi kwa kuzingatia katiba. Soma First Schedule ya katiba ya JMT utaona mambo ambayo ni ya muungano (Union matters) na kwa sababu waziri mkuu ni wa JMT haya mambo ana mamlaka ya kusimamia. Moja ya masuala yanayohusu Muungano ni Bandari, usafiri wa anga,posta ma mawasiliano. Sasa waziri mkuu anatoa agizo msiruhusu kuingiza sukari ili hicho kiwanda cha huko Znz kipate soko. Maanake sukari toka nje zisiruhusiwe kupita katika bandari za Zanzibar.
Suala lingine ambalo ni la muungano ni Service in the United republic.kama waziri mkuu ambaye ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali ya JMT anayo mamlaka ya kuhoji watumishi wote ambao wapo ndani ya JMT.
Kwa hiyo kuhoji barabara ni chafu
wakati watumishi wapo ni jambo la kawaida tu.
Usichanganye mambo ukadhani amekurupuka.
Hiyo ni baadhi ya mifano tu. Wala hajaingilia kazi za watu
 
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.

Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.

Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P
PASCAL, REALLY ??
ARE YOU WRITTING LAW OR POLITICS??
IF POLITICS: YEA
IF LAW : NAY
 
Kiongozi wa kibara hebu nkwambie.Ukifika zanzibar hotuba yako iwe fupi na laini. Mineno nitakutumbua, kipigo cha mbwa koko sie hatutaki. Weye simama, sema" asalam alykhum, wazanzibar hamjambo, mie ni kiongozi nimekuja kuwasabahi, haya napita zangu". Kisha nenda. Hii mambo ya kututisha tisha hatutaki. Tangu mmeanza kutumbuana huko bara, huku visiwani mmesikia kuna aliyekatumbuliwa, aaaa kuna aliye katumbuliwa hukuuuu, msitukere.
 
Hivyo vyombo vilivyotajwa hapo vinafanya kazi kwa mujibu wa katiba. JMT na SMZ zinafanya kazi kwa kuzingatia katiba. Soma First Schedule ya katiba ya JMT utaona mambo ambayo ni ya muungano (Union matters) na kwa sababu waziri mkuu ni wa JMT haya mambo ana mamlaka ya kusimamia. Moja ya masuala yanayohusu Muungano ni Bandari, usafiri wa anga,posta ma mawasiliano. Sasa waziri mkuu anatoa agizo msiruhusu kuingiza sukari ili hicho kiwanda cha huko Znz kipate soko. Maanake sukari toka nje zisiruhusiwe kupita katika bandari za Zanzibar.
Suala lingine ambalo ni la muungano ni Service in the United republic.kama waziri mkuu ambaye ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali ya JMT anayo mamlaka ya kuhoji watumishi wote ambao wapo ndani ya JMT.
Kwa hiyo kuhoji barabara ni chafu
wakati watumishi wapo ni jambo la kawaida tu.
Usichanganye mambo ukadhani amekurupuka.
Hiyo ni baadhi ya mifano tu. Wala hajaingilia kazi za watu

We hufahamu? Suala la viwanda na biashara haliko kwenye Union , hivyo PM alitakiwa kumshauri waziri wa viwanda wa Zanzibar,

Sikatai hata mimi kusimamia mambo ya muungano,Bandari sio suala muungano mkuu, na nikukumbushe tu mkataba wa muungano ni mambo 11 tu .
 
Atulie kimya, Zanzibar uchumi wake ni kodi import na export tulitegemea sukari kuuza tanganyika mkaizuiya sukari huko huko, Maajaaliwa ataka awalaximishe wazanzibari wanunue , impossible

Hana mamlaka kuingilia mambo yasio kuwa ya muungano hata rais wa muungano vile vile kwa mujibu wa katiba .
Anaweza zuia imports maana swala la mipaka ni la JMT. Zanzibar haina mipaka.
 
We hufahamu? Suala la viwanda na biashara haliko kwenye Union , hivyo PM alitakiwa kumshauri waziri wa viwanda wa Zanzibar,

Sikatai hata mimi kusimamia mambo ya muungano,Bandari sio suala muungano mkuu, na nikukumbushe tu mkataba wa muungano ni mambo 11 tu .
Hatuna mkataba wa muungano (hatuna muungano wa nkataba #Maalim seif) Ongelea hati ya muungano.
 
We hufahamu? Suala la viwanda na biashara haliko kwenye Union , hivyo PM alitakiwa kumshauri waziri wa viwanda wa Zanzibar,

Sikatai hata mimi kusimamia mambo ya muungano,Bandari sio suala muungano mkuu, na nikukumbushe tu mkataba wa muungano ni mambo 11 tu .
Hopeless ( unadandia mambo ambayo unadhani unayajadili kwenye vijwe vya kahawa)
Masuala ya Muungano mpaka sasa ni 22. Soma first schedule ya katiba ya JMT.
 
Back
Top Bottom