Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar.
P
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
 
Atulie kimya, Zanzibar uchumi wake ni kodi import na export tulitegemea sukari kuuza tanganyika mkaizuiya sukari huko huko, Maajaaliwa ataka awalaximishe wazanzibari wanunue , impossible

Hana mamlaka kuingilia mambo yasio kuwa ya muungano hata rais wa muungano vile vile kwa mujibu wa katiba .
full povu
 
Atulie kimya, Zanzibar uchumi wake ni kodi import na export tulitegemea sukari kuuza tanganyika mkaizuiya sukari huko huko,
Siku hizi wazanzibari mnamashamba ya miwa?
Wananchi wa Zanzibar ni watu wanaoeshimiana ni wastaarabu hawakuzoea hotuba kali za viongozi kama yanayofanyika huku bara
Ulishawahi kumsikia komandoo enzi zake wewe?
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNasso
View attachment 1329197
Wewe unayo hayo hayo mamlaka?
====
 
Japo napita lakini natoa ushauri tu! Zanzibar ni sehemi ya Tanzania na uchumi was Zanzibar ukidolola kutokana na kuiujumu Zanzibar na watu wake ni mzigo kwa Tanzania kwa ujumla! Kama wizara ya viwanda na biashara ya Tanzania inalo jambo la kufanya kunusuru viwanda vya Zanzibar dhidi ya wahujumu uchumi
Ingelikuwa kweli mna hofu na mnaogopa uchum wa Zanzibar kudorora mngeliruhusu sukari ya Zanzibar iuzwe Tanganyika..

Kama mnataka Zanzibar isiruhusu wafanya biashara kuagiza Sukari nje, na kukiruhusu kiwanda cha Mahonda tu ndio wawe wanailisha sukari Zanzibar basi hiyo Itakuwa "MONOPOLY"

MONOPOLY maisha yote inafanya maisha yawe magumu kwa raia wa chini, kutakuwa hakuna mashindano ya kibiashara.. Inwezekana bei za sukari ikapanda kiholela..
 
Zanzibar. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda, Juma Hassan Reli ahakikishe anazuia utoaji wa vibali vya kuingiza sukari kutoka nje hadi sukari inayozalishwa na kiwanda cha sukari cha Zanzibar kilichopo Mahonda iishe.

Amesema haiwezekani kiwanda hicho cha pekee kinachozalisha tani 6,000 za sukari kwa mwaka kikakosa wateja wakati mahitaji ya sukari Zanzibar ni tani 36,000 kwa mwaka.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Jumamosi, Januari 18, 2020 wakati alipotembelea kiwanda cha kuzalisha sukari cha Zanzibar kilichopo katika eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ mkoa wa Kaskazini Unguja.

Amesema ni vizuri wizara ikahakikisha sukari inayozalishwa na kiwanda hicho inapewa kipaumbele cha kwanza kwa kununuliwa kwa sababu wana uhakika na ubora wake kwa kuwa wameshuhudia uzalishaji wake kuanzia hatua ya awali miwa ikiwa shambani.

“Wizara ya viwanda lazima mbadilike na muweke utaratibu mzuri wa kusimamia uingizwaji wa sukari kutoka nje. Haiwezekani sukari inayozalishwa ndani ikakosa soko kutokana na uingizwaji wa sukari kutoka nje. Hatuwezi kumfurahisha mtu mmoja huku wengi wakiumia.”

Mwananchi
Wazanzibari hawana mamkala yoyote juu ya serikali yao, mfano mdogo tu Rais wao wa sasa kachaguliwa na nani?
 
Kama Magufuli alikuwa jukwaani wakati Shein akikagua gwaride la Siku ya Mapinduzi Matukufu ndio awe Majaliwa !
Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.

Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
 
Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.

Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Katiba ya nchi ndio moyo wa nchi, Je katiba inasemaje kuhusu hili,..?

Hivi unakumbuka sakata la Sukari ya Zanzibar kuuzwa Tanganyika?..

Kwa ufupi Waziri Mkuu hana mamlaka Zanzibar, hawezi kutoa agizo lolote,..
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNasso
View attachment 1329197

====

He has just done a favor. Mkija bara bungeni msianze kulialia. Zanzibar bado inahitaji uchumi sambamba na wa bara. Shida kuna watu wanafikiri maneno mengi ndio ujanja. Wamebaki wanaongea tu for centuries
 
Back
Top Bottom