Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Zanzibar haiwezi kuwa sawa na bara, Zanzibar ni visiwa vinavyo tegemea soko la biashara import and export, Zanzibar kilimo ni karafuu tu , na uchumi wake mkubwa ni utalii na import tax . Kwa hio huwezi kulinganisha hata chembe.

In short waziri wenu hana mamlaka kuwaamrisha mawaziri wa Zanzibar kwa mambo yasio kuwa ya muungano, kaja kama mgeni anaweza kuwashauri tu.

Bila ya hivyo ni kuongilia mamlaka.

Kama serikali inataka kufanya biashara inaweza hata Zanzibar kwa kuuza bei nafuu, vile vile sulari yetu ya Zanzibar ni more healthy kuliko kutoka nje, matangazo ni business

Mkiwa Zanzibar mnatunisha misuli balaa. Mkiingia Kigamboni na Msasani mnajiita watanzania na hamtaki mguswe. Mkiwa Kariakoo ni watanzania kama watanzania wengine.
Waafrika tuna matatizo mno
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNasso
View attachment 1329197

====
Ismail Jussa agiza basi hiyo sukari uone kama PM wa Tanzania hana mamlaka ama la!
 
Mkiwa Zanzibar mnatunisha misuli balaa. Mkiingia Kigamboni na Msasani mnajiita watanzania na hamtaki mguswe. Mkiwa Kariakoo ni watanzania kama watanzania wengine.
Waafrika tuna matatizo mno
Hao wasukuma na wanyamwezi wenzetu waliolewea zanzibar wana shida sana.
 
Ukubwa au udogo wake sio sababu ya kuwa isiwe na hadhi iliyonayo, kuna nchi ndogo kama vile Tuvalu na Nauru zenye raia 11,000 - 13,000 repectively. Zina hadhi na zinatambuliwa kuwa ni nchi. Acha dharau.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hizo ulizozitaja ni nchi je Zanzibar ni nchi?
Iko siku tutavichimbua chimbua endeleeni kupiga mdomo
 
Hizo ulizozitaja ni nchi je Zanzibar ni nchi?
Iko siku tutavichimbua chimbua endeleeni kupiga mdomo
Nje ya muungano (pamoja na mambo yasiyo ya muungano) Zanzibar ni nchi si ndio mnavyosema?! Sijasema mimi.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hizo ulizozitaja ni nchi je Zanzibar ni nchi?
Iko siku tutavichimbua chimbua endeleeni kupiga mdomo
Then acha kujidanganya, utavichimbua, wewe na nani? Kachimbue mifereji ya maji machafu kijijini kwenu kwanza!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.

Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.

Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
P
Waligomewa kuileta bara kwasababu bara sio sehemu ya Zanzibar?
Kama hii ni nchi moja kwanini bidhaa inayotengenezwa upande mmoja inakatazwa kuuzwa kwenye upande mwingine?
Sasa kama bara ilikataa hiyo Sukari basi ata wafanyabiashara wapo huru kulipa kodi na kuagiza sukari kutoka nchi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
Mkuu Biashara ya ndani ni jambo la Muungano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.

IMG_2449.JPG
na ibara hii usisahau kuisoma kwa umakini
 
Back
Top Bottom