Majaliwa apandishwe awe M/Rais, Mwigulu awe W/Mkuu au Nchimbi awe M/Rais, Mwigulu awe W/Mkuu

Mwigulu, Tundu wote wakazi hapo Ikungi Singidani, hata makamasi yakiwavuja wanameza, huku wakiongea kiingereza utasema walizaliwa kwa malikia.
Wapige one by one question.
Utaishia kucheka ni empty head. 🤸‍♂️
 
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi

Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'

  1. Wanaoijua siasa
  2. Wanaokijua chama
  3. Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
  4. Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika wenzao ambao huwa na sifa za ubishi, utemi, mfumo dume, upigaji (wizi, rushwa na ufisadi), nk.
  5. Bila kusahau sifa za msingi za uzalendo, bidii ya kazi, ubunifu, na nk.

Option 1
VP - Majaliwa
PM - Mwigulu

Option 2
VP - Nchimbi
PM - Mwigulu

Sifa zao 'kibinafsi'
Majaliwa - yeye pamoja na Mh. SSH walikuwa wasaidizi wa juu kabisa wa mzee, pia alizunguka kuinadi ilani, kwa hiyo naye pia anajua vilivyo mipango na matarajio ya mzee (watasaidiana kuikamilisha)

Mwigulu - amehudumu chamani na serikalini (kama mtumishi wa uma na kiongozi kupitia nafasi za kisiasa), ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH kwa hiyo anafaa kutumwa tumwa (leo Mara, kesho Mbeya, kesho kutwa Arusha)

Nchimbi - amehudumu chamani na serikalini, na kwenye nyanja za kimataifa 'kama balozi', naye pia ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH

Mwigilu aliyeshindwa mambo ya ndani au! Mwigulu apewe uwaziri wa mitandao. Waziri mkuu sio mtu mzuri angalia alivyowafanyia watu waliokuwa wanampinga jimboni kwake. Mkuu wa wilaya ya Hai ni mwizi kwa wafanyabiashara na mpambe wake ni waziri mkuu
 
Assad ni mzuri kweli ila tatizo anakosa sifa za kikatiba kuwa na wadhifa wowote ule kwenye serikali ya jamuhuri ya muungano kwa sasa.
ila kwa watanzania tuliowengi,unatakiwa kufanya jambo dogo sana hata moja tu kwakubahatisha muda mwingine,unaweza pewa sifa nyingiii hata usizokuwa nazo

tuliowengi hatufuatilii historia pana ya mtu,ndiyo sababu tunawapa watu uongozi alafu tunaanza kuwatukana kwa muda mfupi sana,ni kwa kuwa huwa hatuwafuatilii kwa undani
huyu Assad anapewa sifa nyingi sanaaa kisa aliingia mgogoro na Ndugai,maadui wa Ndugai wakawa upande wa Assad bila hata sababu,
simjui vizuri huyu Assad lakini waweza kuta sifa anazokuzwa nazo zingine si za kwali
 
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi

Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'

  1. Wanaoijua siasa
  2. Wanaokijua chama
  3. Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
  4. Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika wenzao ambao huwa na sifa za ubishi, utemi, mfumo dume, upigaji (wizi, rushwa na ufisadi), nk.
  5. Bila kusahau sifa za msingi za uzalendo, bidii ya kazi, ubunifu, na nk.

Option 1
VP - Majaliwa
PM - Mwigulu

Option 2
VP - Nchimbi
PM - Mwigulu

Sifa zao 'kibinafsi'
Majaliwa - yeye pamoja na Mh. SSH walikuwa wasaidizi wa juu kabisa wa mzee, pia alizunguka kuinadi ilani, kwa hiyo naye pia anajua vilivyo mipango na matarajio ya mzee (watasaidiana kuikamilisha)

Mwigulu - amehudumu chamani na serikalini (kama mtumishi wa uma na kiongozi kupitia nafasi za kisiasa), ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH kwa hiyo anafaa kutumwa tumwa (leo Mara, kesho Mbeya, kesho kutwa Arusha)

Nchimbi - amehudumu chamani na serikalini, na kwenye nyanja za kimataifa 'kama balozi', naye pia ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH
Option zote PM-awe huyo huyo sio?
 
Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan akimpa Cheo cha ama Umakamu wa Urais au Uwaziri Mkuu Mwigulu Nchemba nitamdharau daima milele Amina.

Japo umejitahidi Kujificha ila wenye Akili Kubwa na nyingi tumegundua kuwa hao Wengine umewataja Kinafiki tu ila Wewe lengo lako tu ni kumpigia Chapuo Mwigulu Nchemba na sitoshangaa ikija Kugundulika kuwa hata hiii ID ni yake ( yako ) Mwigulu Nchemba.

Kwani bila hizo Siasa hamuwezi Kuishi?
 
Huyu babukijana tunacheza naye bao hapa itetemiya nilipo kwa sasa nikitembelea rafiki.
PM amemudu kazi hii kwa nini umuondoee.?! Matokeo yake ni Rais awe mgeni, Makamu wa Rais awemgeni na PM awe mgeni wa nafasi ya kazi. Ni kujivuruga kwa akili na maarifa yako mwenyewe.

PM abaki kwenye nafasi yake. Makamu wa Rsis atoke kati ya Mawaziri wa baraza la sasa au wajumbe wa sasa NEC CCM. Vinginevyo tutakuja kufanya Autopsy ya ajabu sana hapa.
 
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi

Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'

  1. Wanaoijua siasa
  2. Wanaokijua chama
  3. Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
  4. Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika wenzao ambao huwa na sifa za ubishi, utemi, mfumo dume, upigaji (wizi, rushwa na ufisadi), nk.
  5. Bila kusahau sifa za msingi za uzalendo, bidii ya kazi, ubunifu, na nk.

Option 1
VP - Majaliwa
PM - Mwigulu

Option 2
VP - Nchimbi
PM - Mwigulu

Sifa zao 'kibinafsi'
Majaliwa - yeye pamoja na Mh. SSH walikuwa wasaidizi wa juu kabisa wa mzee, pia alizunguka kuinadi ilani, kwa hiyo naye pia anajua vilivyo mipango na matarajio ya mzee (watasaidiana kuikamilisha)

Mwigulu - amehudumu chamani na serikalini (kama mtumishi wa uma na kiongozi kupitia nafasi za kisiasa), ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH kwa hiyo anafaa kutumwa tumwa (leo Mara, kesho Mbeya, kesho kutwa Arusha)

Nchimbi - amehudumu chamani na serikalini, na kwenye nyanja za kimataifa 'kama balozi', naye pia ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH
...mayo
 
Kuna wenye damu za watu mikononi mwao.
HAKUNA HATA MMOJA KATI YAO ALIYE MSAFI NA MWENYE SIFA.
 
Hivi ccm hamna majina mapya/watu wapya? Yaani ukiangalia mawaziri kila awamu ni hao hao tu, na sasa katika umakamu majina pendekezwa ni hao hao tena wana makando kando kibao

Sasa uyo Mwigulu, Nchimbi na Majaliwa wana mapya gani zaidi ya kuropka uongo uongo na matamko ya ajabu ajabu
 
Huu msiba umeleta stroke mara ya pili kwenye akili za mataga...yaani kweli kwa akili yako bila kuandikiwa na mtu eti "Mwigulu awe PM kwa sababu ni mdogo anafaa kutumwa huku na kule mara mbeya kesho iringa"

Mkipeana vyeo ndiyo vigezo mnavyoangalia ..kwa taarifa yenu hii nchi sio ya jiwe tena imerudi kwa wananchi ..zama za nchi ya wanyonge afu unatupiga bilion 60 zimekwisha tukijisahau kidogo bandarini mnafanya yenu

Mkija kwenye kideo mnazuga mpo pamoja na wanyonge kumbe ni geresha lenu na meko wenu..now mama anasafisha kwanza kabla ya kuanza kupanga hao uliowataja wanafaa wapitiwe na hatua ya kwanza ya safisha safisha safisha..

Itaendelea
 
ila kwa watanzania tuliowengi,unatakiwa kufanya jambo dogo sana hata moja tu kwakubahatisha muda mwingine,unaweza pewa sifa nyingiii hata usizokuwa nazo

tuliowengi hatufuatilii historia pana ya mtu,ndiyo sababu tunawapa watu uongozi alafu tunaanza kuwatukana kwa muda mfupi sana,ni kwa kuwa huwa hatuwafuatilii kwa undani
huyu Assad anapewa sifa nyingi sanaaa kisa aliingia mgogoro na Ndugai,maadui wa Ndugai wakawa upande wa Assad bila hata sababu,
simjui vizuri huyu Assad lakini waweza kuta sifa anazokuzwa nazo zingine si za kwali
We mfuatilie vizuri hana makando kando kama wengine nimefuatili assad tangu akiwa pale UDSM kama senior lecturer
 
ila kwa watanzania tuliowengi,unatakiwa kufanya jambo dogo sana hata moja tu kwakubahatisha muda mwingine,unaweza pewa sifa nyingiii hata usizokuwa nazo

tuliowengi hatufuatilii historia pana ya mtu,ndiyo sababu tunawapa watu uongozi alafu tunaanza kuwatukana kwa muda mfupi sana,ni kwa kuwa huwa hatuwafuatilii kwa undani
huyu Assad anapewa sifa nyingi sanaaa kisa aliingia mgogoro na Ndugai,maadui wa Ndugai wakawa upande wa Assad bila hata sababu,
simjui vizuri huyu Assad lakini waweza kuta sifa anazokuzwa nazo zingine si za kwali
We mfuatilie vizuri hana makando kando kama wengine nimefuatili assad tangu akiwa pale UDSM kama senior lecturer )
 
Back
Top Bottom