Majaliwa apandishwe awe M/Rais, Mwigulu awe W/Mkuu au Nchimbi awe M/Rais, Mwigulu awe W/Mkuu

Mataga wanapambania nafasi ya u VP, ni bita isiyo na kifani, uchu wa madaraka.unawasumbua
 
Mwigulu hafai hata ukatibu kata hebu acheni upuuzi
Mwigulu huyu au mwingine 🤣🤣🤣
Bwana Mwigulu Nchemba tuondolee upuuzi wako hapa. Wewe hata ubunge umekuzidi kimo.
Nikukumbuka kauli za mzee 'JPM' ukiona mpinzani /ama wapinzani wako/ama wenu wanakushangilia jua unakosea

Kwa hiyo huyu anayepingwa sana anapaswa kufikiliwa, lazima atakuwa potential

Na kwa Mama Mh. SSH naye akiona anashangiliwa na opponents wa chama chake anapaswa kubadili mbinu
 
Hahahahaha
Nikiona neno VP nqcheka kigoma kinachochezwa kwa jirani yetu prezida na VP wametofautiana , mikutano ya VP imepigwa ban ila prezida ana twangga tu meeting na wadau wake 😆😆😆
 
Ramli hazifai ila tusubiri mda wala sio mbali
Na Rais anawajua zaidi ya tunavyowajua sisi watazamaji
 
Ina maana Dr Wilbroad Peter Slaa ndiye awe VP?

Tanzania itakuwa kwenye very big transformation...
 
Mnataka kumuua mama samia nyie? hao akina mwigulu na mijiroho yao ilivyojaa wivu watamwacha salama kweli huyo mama? Hapana hapana hapana mama ukithubutu kuwaosogeza hao umekwisha
 
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi

Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'

  1. Wanaoijua siasa
  2. Wanaokijua chama
  3. Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
  4. Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika wenzao ambao huwa na sifa za ubishi, utemi, mfumo dume, upigaji (wizi, rushwa na ufisadi), nk.
  5. Bila kusahau sifa za msingi za uzalendo, bidii ya kazi, ubunifu, na nk.

Option 1
VP - Majaliwa
PM - Mwigulu

Option 2
VP - Nchimbi
PM - Mwigulu

Sifa zao 'kibinafsi'
Majaliwa - yeye pamoja na Mh. SSH walikuwa wasaidizi wa juu kabisa wa mzee, pia alizunguka kuinadi ilani, kwa hiyo naye pia anajua vilivyo mipango na matarajio ya mzee (watasaidiana kuikamilisha)

Mwigulu - amehudumu chamani na serikalini (kama mtumishi wa uma na kiongozi kupitia nafasi za kisiasa), ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH kwa hiyo anafaa kutumwa tumwa (leo Mara, kesho Mbeya, kesho kutwa Arusha)

Nchimbi - amehudumu chamani na serikalini, na kwenye nyanja za kimataifa 'kama balozi', naye pia ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH

ACHENI KUPIGA RAMLI ZENU HIZO. NCHI HII IMEISHAPITIA UJINGA MWINGI SANA TOKA ENZI YA KIKWETE MSITAKE
KUTURUDISHA HUKO!!! HATUTAKI MAFISADI KURUDI KUONGOZA NCHI NDIO MAANA MAGUFULI ALIWAWEKA KANDO!!! NINA IMANI MZEE MANGULLA ATATUVUSHA SALAMA KWANI ANAWAJUA WOTE HAO. AKISHINDWA HUYU MZEE BASI MUWE TAYARI KUGAWANA FITO!
 
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi

Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'

  1. Wanaoijua siasa
  2. Wanaokijua chama
  3. Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
  4. Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika wenzao ambao huwa na sifa za ubishi, utemi, mfumo dume, upigaji (wizi, rushwa na ufisadi), nk.
  5. Bila kusahau sifa za msingi za uzalendo, bidii ya kazi, ubunifu, na nk.

Option 1
VP - Majaliwa
PM - Mwigulu

Option 2
VP - Nchimbi
PM - Mwigulu

Sifa zao 'kibinafsi'
Majaliwa - yeye pamoja na Mh. SSH walikuwa wasaidizi wa juu kabisa wa mzee, pia alizunguka kuinadi ilani, kwa hiyo naye pia anajua vilivyo mipango na matarajio ya mzee (watasaidiana kuikamilisha)

Mwigulu - amehudumu chamani na serikalini (kama mtumishi wa uma na kiongozi kupitia nafasi za kisiasa), ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH kwa hiyo anafaa kutumwa tumwa (leo Mara, kesho Mbeya, kesho kutwa Arusha)

Nchimbi - amehudumu chamani na serikalini, na kwenye nyanja za kimataifa 'kama balozi', naye pia ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH
Mwigulu hafai,ni jambazi na gaidi.

Halafu amempotosha mwendazake kuacha kutoa data za korona na kusababisha maafa makubwa.

Mwigulu amesoma lakini hakuelimika.
 
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi

Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'

  1. Wanaoijua siasa
  2. Wanaokijua chama
  3. Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
  4. Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika wenzao ambao huwa na sifa za ubishi, utemi, mfumo dume, upigaji (wizi, rushwa na ufisadi), nk.
  5. Bila kusahau sifa za msingi za uzalendo, bidii ya kazi, ubunifu, na nk.

Option 1
VP - Majaliwa
PM - Mwigulu

Option 2
VP - Nchimbi
PM - Mwigulu

Sifa zao 'kibinafsi'
Majaliwa - yeye pamoja na Mh. SSH walikuwa wasaidizi wa juu kabisa wa mzee, pia alizunguka kuinadi ilani, kwa hiyo naye pia anajua vilivyo mipango na matarajio ya mzee (watasaidiana kuikamilisha)

Mwigulu - amehudumu chamani na serikalini (kama mtumishi wa uma na kiongozi kupitia nafasi za kisiasa), ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH kwa hiyo anafaa kutumwa tumwa (leo Mara, kesho Mbeya, kesho kutwa Arusha)

Nchimbi - amehudumu chamani na serikalini, na kwenye nyanja za kimataifa 'kama balozi', naye pia ni mdogo kiumri kwa Mh. SSH
We bata nini
 
Hamna kitu hapo
 
Mwigilu!?hafai popote yule anatakiwa arudi kwao singida akachunge ng'ombe
 
Sisi tunataka mtendaji siyo blablah zenu eti fulani anakijua chama, hawa hawa mnaojimwambafy nao kuwa wanakijua chama ndio majizi makubwa na ndio yana mitandao ya kuja kulitumbukiza taifa kwenye matatizo.Huu upumbavu wa mtu kukijua chama ndio apewe madaraka umepitwa na wakati na ndio unaozaa maufisadi ya kutisha.Watz sasa wameamka makosa kama haya yatawagharimu sana huko mbele ya safari.
 
Naona umemrudia sana mwigulu kwakua yumo humu
Nnakupa hongera akiwa anapitapita humu atakuona
 
Back
Top Bottom