Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa.

Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande.

Atakumbukwa kama Jaji Mkuu aliyeruhusu Mahakama kupakatwa na Wanasiasa hadi Chama cha Mawakili wa Tanganyika kusimama kuitetea Mahakama.

Leo hii Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya wamekuja nchini Tanzania kufuatilia kesi ya Rais Mstaafu wa Chama cha Mawakili/ Wanasheria Tanganyika. Majaji Wakuu hawa Willy Mutua na CJ Maraga wanasifika sana nchini Kenya kwa namna walivyosimamia Uhuru wa Mhimili wa Mahakama dhidi ya hila za Wanasiasa wa Kenya.

Majaji Wakuu hawa wa Kenya wanasifika kwa kusimamia misingi ya Katiba ya Kenya hadi kuwafanya wanasiasa kuogopa kuibaka Katiba ya Kenya. Ndo mana sote tumeona leo habari ya wao kuja nchini Tanzania kufuatilia kesi ya Lissu imetangazwa hadi na vyombo vya kimataifa.

Jaji Profesa Ibrahim Juma, alishindwa kusimamia unyeti wa Mhimili wa Mahakama kwa kujipendekeza sana kwa Viongozi wa Mhimili wa Serikali na Chama cha Mapinduzi kiasi ambacho Mahakama imekuwa kwenye hali mbaya sana chini yake.

Ni vizuri Jaji Profesa Ibrahim Juma akajifunza na kutubu kabla ya Umauti wake maana alitakuwa kufanya kama wenzake Maraga na Mutua walivyofanya kwa kusimamia misingi ya haki na Uhuru wa Mahakama.

 
Majaji Wakuu hawa wa Kenya wanasifika kwa kusimamia misingi ya Katiba ya Kenya

Halafu hao wanasheria wakongwe wa Kenya walio wazee wengi wamesomaChuo Kikuu cha Mlimani UDSM Dar es Salaam enzi za utawala wa Julius Nyerere aliyewaambia enzi hizo vijana wa vyuo vikuu kuwa Pan africanist wana Majumui kuwa Afrika ni Moja, Wasiwe chawa vijana wasomi , wawe vijana jeuri kwa kuhoji watawala, wasimame na kutetea wanyonge, wapiganie haki , Waandamane na Mabango kupinga ubeberu n.k hivyo wana-feel Tanzania ni nyumbani

Chief Justice Mutunga, who studied law at Dar es Salaam University and Osgoode Hall Law School at York University in Toronto, Canada, played a pivotal role in the ...
 
Including James Orengo and Pheroze Nowrojee. James Orengo, the current Governor of Siaya County, earned the title of Senior Counsel and has been a political activist since his time as a student. Pheroze Nowrojee is renowned for leading the team that drafted the Kenyan constitution. Other notable alumni include David W. Gachuki and ....
 
Nasikia huyu jaji Mkuu ni mtu wa Musoma!Mbona MSOMI lakini muoga?!!Inafikirisha .
 
Huyu mama Samia haoni aibu!!

Anakaza shingo maumivu hayampati
Aachane na ujinga
 

George Garang' wa Sudan ya Kusini ni mmoja wa wanafunzi wa UDSM waliotiwa jeuri ya Mwalimu Nyerere kukataa kuwa chawa n.k

Garang to pursue his studies in the USA and later at the University of Dar es Salaam UDSM

Kanali Dr. George Garang' mchumi mhitimu wa UDSM ya Nyerere ambaye aliamua kuingia msituni
 
Vijana wa zamani waliokumbatia na kuibeba jeuri ya UDSM aliyoiasisi Mwalimu Nyerere kuwa vijana wawe na msimamo dhidi ya watawala wadhalimu na ikiwezekana kuchochea mabadiliko...

 
And, from left,Ulimwengu was there.

Ndiyo maana wazee hao Maranga, Chande Othman, Ulimwengu, Jenerali Museveni, Dr. George Garang, James Orengo, Gavana wa sasa wa Kaunti ya Siaya, msomi wakili Pheroze Nowrojewa n.k wa UDSM ya Mwalimu wanatuambia kupitia maandiko, hotuba, mihadhara. Midahalo n.k kuwa Mlimani sasa hivi hakuna debate wala mihadhara ya kuchemsha bongo zetu kizazi cha sasa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…