Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Kuna majaji ambao nina uhakika amewateua ndani ya miaka yake hii miwili ambao wananchi hawana budi kuwaangalia kwa ukaribu. Hofu yangu ni kuwa tunaanza kuona yale yanayotokea Marekani ambapo Marais wanashindana kujaza Majaji kwenye mahakama za federali wakitarajia kwamba endapo kesi fulani fulani zikifika huko mbeleni basi majaji hao wanaweza wakaamua kwa njia fulani.
Hii mara nyingi inafuatana na judicial philosophy ya jaji husika na rekodi yake hiyo. Hivyo Marais wa Demokrati watachagua majaji wanaoona kuwa Katiba ni "living document" ambayo inaweza kutafsiriwa kwa kufuata muda na situation na ambao wamepitia "litmus test" ya kama majaji hao wanahistoria haki ya utoaji mimba, mashoga, n.k Upande wa Repablikani wao wateuzi wao huangalia Katiba kama historical text ambapo waanzilishi wa Taifa walichotaka kusema kuhusu nchi kimeshasemwa na hivyo hawaoni "uhai" wa Katiba. Hawa wanatetea haki ya mtoto hata kabla ya kuzaliwa, wanapinga ndoa za mashoga n.k
Hofu yangu katika swali hili ni je yawezekana Rais Kikwete inawezekana ameanza kuweka watu kwenye nafasi ya Ujaji akiangalia huko mbeleni mahakama itakuwa na watu wake? Je, kesi ya Mkapa (kama iko) au ya Tangold, Meremeta, na Mwananchi zikifika itakuwaje pale ambapo Jaji mmoja (tunayefahamu) alikuwa ni wakili wa mojawapo ya makampuni? Je, anapomteua Masha mmoja wa mawakili katika kampuni ya IMMA ambayo imepokea fedha nyingi zisizoeleweka kutoka Tangold (wakati Masha akiwa wakili huko) na kumpa Uwaziri wa Jeshi la Polisi na Magereza anajaribu kuangalia mbeleni-just in case?
Je majaji wake wengine aliowateua wametoka wapi, na je huko nyuma waliwahi kuwa na uhusiano wowote na kashfa zinazoendelea?
Duhhh, mlitaka asiteue majaji halafu muendelee kupiga kelele ya kuwa kesi zinacheleweshwa.
Ama kweli kuna binadam hawasadifiki!

Kama unataka kutaja ovu au uovu wa alieteuliwa kuwa jaji, inabidi uwe wazi na kwerere, usituletee mafumbo kama yale ambayo mnasema kuwa hawezi mtu kuyajua mafumbo haya ila awe kafunuliwa.
Weka bayana na uwache unoko, na fitna. kuwa mkweli, kama kuna ambalo unalijuwa kuhusu jaji yeyote aliechaguliwa ambalo huridhiki nalo, ikiwa unashindwa kulipinga kidhahiri, huko mahakamani, basi lipinge kisiri hapa JF.
Lakini usiwe na fitna na chuki na dharau na hiyana. Una nini wewe?
Mkuu Dar
Mbona unaleta fujo ? Si lazima uandike kama huna cha kusema .Heshimu mawazo ya wenzio na huu ni mjadala unajuaje kama kaleta na anaendelea kuja kuchangia na kusema zaidi ? Personal Attack cannot be tolerated here .Ukiona issue imekuzidi uwezo na huna point nayo ipishe achia wengine waje na hoja .
Mkuu Dar
Mbona unaleta fujo? Si lazima uandike kama huna cha kusema .Heshimu mawazo ya wenzio na huu ni mjadala unajuaje kama kaleta na anaendelea kuja kuchangia na kusema zaidi ? Personal Attack cannot be tolerated here .Ukiona issue imekuzidi uwezo na huna point nayo ipishe achia wengine waje na hoja .
Lunyungu,
Mimi nimeshalalamika mara 2 huyu jamaa afungiwe angalau kwa wiki 2!
JF tuna reguraltions zijui kwa nini Adm saa ingine hawataki kuzitumia!
Huyu jamaa yuko hapa JF just to cause disraction ktk almost kila thread!
Je kwa nini asifungiwe ili akitoka kifungoni awe na ustaarabu kidogo?
Kipi, kimojawapo amabcho kitaleta mantiki katika kufungiwa huyu jamaa? au ukweli unauma?
Napenda kukufahamisha ya kuwa mimi si jamaa yako wala sina ujamaa na yeyote mabae hataki ukweli. Jee wewe unaweza kuthibitisha kuwa mimi ni jamaa?, yako?
Tangia awateuwe je watuhumiwa magerezani wamepungua kiasi gani ? SI ndiyo wanaongezeka ?
This one (http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=152834&postcount=56) and a galore of others attesting the same !!
Kwa mfano Stella katoka Tume ya Uchaguzi na kijana mdogo ambaye sidhani hata kama anaijua miiko ya Ujaji.Hii ni kuzuia hata kesi za Uchaguzi nk .
This one (http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=152834&postcount=56) and a galore of others attesting the same !!
Mimi pia mara 2 nilishatoa hoja afungiwe angalau kwa wiki 2 ktk thread ile ya Ndoa ya Mac! Hebu tena iangalia ile thread Painkiller!
Tafadhali msimcheleweshe aendelee kuharibu zaidi!

Kwani wewe Dar usichoelewa hapa ni nini??
Mwanakijiji anajaribu kusema kuwa, kuna Jaji kateuliwa ambaye alikuwa ni mmoja wapo wa mawakili wa Deep Green, na hapo hapo Masha naye ni waziri husika katika mambo ya ndani?? Unategemea nini kuhusu kesi inayowakabili hawa jamaa kutokana na Bilioni 8 zilizopitia mikononi mwao??
Inaweza kuamuliwa kwa kufuata katiba, wakati wao ndo waamuzi??
Jaribu kuelewa, usiwe na hasira na kutoa lugha mbaya, nadhani ulighafilika tu, pole sana ndugu
Tuendelee kumkoma nyani gladi wakuu!!!!!!!!!!!