Majaji aliowateua Kikwete: Pre-emptive strike?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
Kuna majaji ambao nina uhakika amewateua ndani ya miaka yake hii miwili ambao wananchi hawana budi kuwaangalia kwa ukaribu. Hofu yangu ni kuwa tunaanza kuona yale yanayotokea Marekani ambapo Marais wanashindana kujaza Majaji kwenye mahakama za federali wakitarajia kwamba endapo kesi fulani fulani zikifika huko mbeleni basi majaji hao wanaweza wakaamua kwa njia fulani.

Hii mara nyingi inafuatana na judicial philosophy ya jaji husika na rekodi yake hiyo. Hivyo Marais wa Demokrati watachagua majaji wanaoona kuwa Katiba ni "living document" ambayo inaweza kutafsiriwa kwa kufuata muda na situation na ambao wamepitia "litmus test" ya kama majaji hao wanahistoria haki ya utoaji mimba, mashoga, n.k Upande wa Repablikani wao wateuzi wao huangalia Katiba kama historical text ambapo waanzilishi wa Taifa walichotaka kusema kuhusu nchi kimeshasemwa na hivyo hawaoni "uhai" wa Katiba. Hawa wanatetea haki ya mtoto hata kabla ya kuzaliwa, wanapinga ndoa za mashoga n.k

Hofu yangu katika swali hili ni je yawezekana Rais Kikwete inawezekana ameanza kuweka watu kwenye nafasi ya Ujaji akiangalia huko mbeleni mahakama itakuwa na watu wake? Je, kesi ya Mkapa (kama iko) au ya Tangold, Meremeta, na Mwananchi zikifika itakuwaje pale ambapo Jaji mmoja (tunayefahamu) alikuwa ni wakili wa mojawapo ya makampuni? Je, anapomteua Masha mmoja wa mawakili katika kampuni ya IMMA ambayo imepokea fedha nyingi zisizoeleweka kutoka Tangold (wakati Masha akiwa wakili huko) na kumpa Uwaziri wa Jeshi la Polisi na Magereza anajaribu kuangalia mbeleni-just in case?

Je majaji wake wengine aliowateua wametoka wapi, na je huko nyuma waliwahi kuwa na uhusiano wowote na kashfa zinazoendelea?
 
Kwa mfano Stella katoka Tume ya Uchaguzi na kijana mdogo ambaye sidhani hata kama anaijua miiko ya Ujaji.Hii ni kuzuia hata kesi za Uchaguzi nk .
 
Duhhh, mlitaka asiteue majaji halafu muendelee kupiga kelele ya kuwa kesi zinacheleweshwa.

Ama kweli kuna binadam hawasadifiki!
 
Tangia awateuwe je watuhumiwa magerezani wamepungua kiasi gani ? SI ndiyo wanaongezeka ?
 
Kuna majaji ambao nina uhakika amewateua ndani ya miaka yake hii miwili ambao wananchi hawana budi kuwaangalia kwa ukaribu. Hofu yangu ni kuwa tunaanza kuona yale yanayotokea Marekani ambapo Marais wanashindana kujaza Majaji kwenye mahakama za federali wakitarajia kwamba endapo kesi fulani fulani zikifika huko mbeleni basi majaji hao wanaweza wakaamua kwa njia fulani.

Hii mara nyingi inafuatana na judicial philosophy ya jaji husika na rekodi yake hiyo. Hivyo Marais wa Demokrati watachagua majaji wanaoona kuwa Katiba ni "living document" ambayo inaweza kutafsiriwa kwa kufuata muda na situation na ambao wamepitia "litmus test" ya kama majaji hao wanahistoria haki ya utoaji mimba, mashoga, n.k Upande wa Repablikani wao wateuzi wao huangalia Katiba kama historical text ambapo waanzilishi wa Taifa walichotaka kusema kuhusu nchi kimeshasemwa na hivyo hawaoni "uhai" wa Katiba. Hawa wanatetea haki ya mtoto hata kabla ya kuzaliwa, wanapinga ndoa za mashoga n.k

Hofu yangu katika swali hili ni je yawezekana Rais Kikwete inawezekana ameanza kuweka watu kwenye nafasi ya Ujaji akiangalia huko mbeleni mahakama itakuwa na watu wake? Je, kesi ya Mkapa (kama iko) au ya Tangold, Meremeta, na Mwananchi zikifika itakuwaje pale ambapo Jaji mmoja (tunayefahamu) alikuwa ni wakili wa mojawapo ya makampuni? Je, anapomteua Masha mmoja wa mawakili katika kampuni ya IMMA ambayo imepokea fedha nyingi zisizoeleweka kutoka Tangold (wakati Masha akiwa wakili huko) na kumpa Uwaziri wa Jeshi la Polisi na Magereza anajaribu kuangalia mbeleni-just in case?

Je majaji wake wengine aliowateua wametoka wapi, na je huko nyuma waliwahi kuwa na uhusiano wowote na kashfa zinazoendelea?

Kama unataka kutaja ovu au uovu wa alieteuliwa kuwa jaji, inabidi uwe wazi na kwerere, usituletee mafumbo kama yale ambayo mnasema kuwa hawezi mtu kuyajua mafumbo haya ila awe kafunuliwa.

Weka bayana na uwache unoko, na fitna. kuwa mkweli, kama kuna ambalo unalijuwa kuhusu jaji yeyote aliechaguliwa ambalo huridhiki nalo, ikiwa unashindwa kulipinga kidhahiri, huko mahakamani, basi lipinge kisiri hapa JF.

Lakini usiwe na fitna na chuki na dharau na hiyana. Una nini wewe?
 
Mkuu Dar
Mbona unaleta fujo ? Si lazima uandike kama huna cha kusema .Heshimu mawazo ya wenzio na huu ni mjadala unajuaje kama kaleta na anaendelea kuja kuchangia na kusema zaidi ? Personal Attack cannot be tolerated here .Ukiona issue imekuzidi uwezo na huna point nayo ipishe achia wengine waje na hoja .
 
Lunyungu,

Mimi nimeshalalamika mara 2 huyu jamaa afungiwe angalau kwa wiki 2!

JF tuna reguraltions zijui kwa nini Adm saa ingine hawataki kuzitumia!

Huyu jamaa yuko hapa JF just to cause disraction ktk almost kila thread!

Je kwa nini asifungiwe ili akitoka kifungoni awe na ustaarabu kidogo?
 
Mkuu Dar
Mbona unaleta fujo? Si lazima uandike kama huna cha kusema .Heshimu mawazo ya wenzio na huu ni mjadala unajuaje kama kaleta na anaendelea kuja kuchangia na kusema zaidi ? Personal Attack cannot be tolerated here .Ukiona issue imekuzidi uwezo na huna point nayo ipishe achia wengine waje na hoja .

Sileti fujo, ila ifahamike kuwa hapa ameongelea majaji ambao ni muhimili mmoja wapo wa himaya yetu. Ukiwa na shaka au shauku ya majaji inabidi uwe bayana na mkweli wala usiwe wa kuleta shauku na mafumbo kama muimba mipasho. Ambae hutaka kila asikiae ayatilie maana yeye mwenyewe. La, hasha. katika suala nyeti kama hili haiwezekani tukawa na nyodo.

Ikiwa kuna ukweli ambao unataka kuuweka wazi katika chombo ambacho kina kila hisia na kugusa kila mwananchi wa nchi hii au ambae si wa nchi hii, ambapo hata huyo Raisi anaweza kushitakiwa na mwingine yeyote kwenye chombo hicho, halafu unakiletea utaaradhi na sudfa na kinyongo kisich-oeleweka, unakuwa ni kama yule anaeitwa "fitina mbaya wala hana haya".

Wewe, Lunyungu kiliochokuuma ni nini mpaka ukaona kuwa mimi katika hili sina cha kuongea?
 
Lunyungu,

Mimi nimeshalalamika mara 2 huyu jamaa afungiwe angalau kwa wiki 2!

JF tuna reguraltions zijui kwa nini Adm saa ingine hawataki kuzitumia!

Huyu jamaa yuko hapa JF just to cause disraction ktk almost kila thread!

Je kwa nini asifungiwe ili akitoka kifungoni awe na ustaarabu kidogo?

Kipi, kimojawapo amabcho kitaleta mantiki katika kufungiwa huyu jamaa? au ukweli unauma?

Napenda kukufahamisha ya kuwa mimi si jamaa yako wala sina ujamaa na yeyote ambae hataki ukweli. Jee wewe unaweza kuthibitisha kuwa mimi ni jamaa?, yako?
 
Kwa mfano Stella katoka Tume ya Uchaguzi na kijana mdogo ambaye sidhani hata kama anaijua miiko ya Ujaji.Hii ni kuzuia hata kesi za Uchaguzi nk .

Miiko ya ujaji ni ipi? udogo unahusiana nini na elimu?

Akitokea tume ya uchaguzi ndio hafai kuwa jaji?

Tunaomba utupe sababu zenye mantiki, na usitupe sababu za kuhamasika.
 
Mimi pia mara 2 nilishatoa hoja afungiwe angalau kwa wiki 2 ktk thread ile ya Ndoa ya Mac! Hebu tena iangalia ile thread Painkiller!

Tafadhali msimcheleweshe aendelee kuharibu zaidi!

Huna sababu ya msingi. Msilete kutishana kufungiana hapa kwa kuwa tuu, tunajibu hoja na tunayeweka bayana ambayo hamtaki kuyasikia.
 
Mimi pia mara 2 nilishatoa hoja afungiwe angalau kwa wiki 2 ktk thread ile ya Ndoa ya Mac! Hebu tena iangalia ile thread Painkiller!

Tafadhali msimcheleweshe aendelee kuharibu zaidi!

Kuharibu nini? weka wazi, chuki na hiyana zisizo sadifika?
 
Kwani wewe Dar usichoelewa hapa ni nini??
Mwanakijiji anajaribu kusema kuwa, kuna Jaji kateuliwa ambaye alikuwa ni mmoja wapo wa mawakili wa Deep Green, na hapo hapo Masha naye ni waziri husika katika mambo ya ndani?? Unategemea nini kuhusu kesi inayowakabili hawa jamaa kutokana na Bilioni 8 zilizopitia mikononi mwao??
Inaweza kuamuliwa kwa kufuata katiba, wakati wao ndo waamuzi??
Jaribu kuelewa, usiwe na hasira na kutoa lugha mbaya, nadhani ulighafilika tu, pole sana ndugu
Tuendelee kumkoma nyani gladi wakuu!!!!!!!!!!!

Jee, huyo wakili alieteuliwa kuwa jaji, ndie huyo ambae ataamuwa kuhusu hiyo kesi ya deep green?

Waziri wa Mambo ya ndani ana husika nini na majaji?

Nioneshe wapi nimetoa lugha mbaya kuhusu hili. Wala sina hasira, ila tu, najaribu kuweka bayana. Sijaghafilika kwa hili na wala halina walakin.
 
Mkuu MMJ,

Unatakiwa kuwa bigger than what you wrote, Masha ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi, na sheria zetu zinasema waziri lazima awe mbunge, kitu ambacho Masha anakitimiza, Uchunguzi umefanyika wamepatikana patner wawili wa IMMA, kuhusika na Deep Green, sasa tatizo la Masha liko wapi asiwe mbunge au waziri?

Nini vigezo vya katiba yetu kuhusu rais kuchagua majaji? Maana hata huko USA, sio majaji wote wanaopita senate hata kama wamechaguliwa na rais,

unless jaji aliyeteuliwa na rais Tanzania, hatimizi masharti, mkuu huna argument kabisa, hata huko USA mbona inaeleweka kuwa rais anaweka majaji anaotaka wakubali sera zake? Sasa hiyo inakuwaje tofauti na rais wa bongo aliyechaguliwa na wananchi kwa kuuza sera zake kwenye kampeni, yes ili atimize sera zake huenda akahiataji majaji wenye kufuata itikadi kama zake kisasa, je kuna tatizo hapo kweli?
 
Field Marshal Es, leo kwa mara ya kwanza umekuwa upande wa haki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom