Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

Kuna taarifa ambazo nimethibitisha kuwa za kweli na sasa ziko huko Igunga ambako zinaonyesha CCM wamehusika na vifo vya akina mama wawili waliokuwa washabiki wa Chadema ktk uchaguzi wa igunga na waliuawa siku moja kabla ya uchaguzi na wameokotwa ikiwa miili yao imeharibiwa sana na polisi hawataki habari hii iwafikie wananchi; na habari zinaeleza mabaunsa wa CCM ndio waliohusika na mpango huu dhalimu, katili na wa kimauaji.

Swali ni Je sasa CCM ni dhahiri ni wauaji wa wananchi wake wenyewe wanaowaomba kura? wanataka kutawala nini mwishi wa siku kama wananchi wanaotaka kuwatawala wanawaua; je Salome mbatia; hapa kwetu mwanza je (wamachinga vipi?), Nyerere; kolimba; wananchi wa bulyankulu waliofukiwa; Masoud wa ubungo nae vipi? je chacha wangwe pia si jasusi wao alihusika? North mara ambako walihaha kutofanya post mortem nako; je pemba mwaka 2001 vipi? matukio mbona ni mengi sasa; je naruadia tena tusaidiane huu ukweli lazima uwe wazi; kama CCM wauaji sasa tujue ni mhimu kujua tunaongozwa na watu katili tena wauaji (Nina hasira na mod wamekuwa wakiondoa mada zinazotaka kujua ukweli mchungu; sijui kama nao wanatumiwa au la; ni hatari kwa ustawi kama ukweli utaanza kufunikwa maana kuna mada ya mauaji imefutwa kabisa hata MODS na siwaungi mkono ktk hilo)
 
Yes; sasa tuseme maana huu ukimya ndio umesababisha watu wetu wanakufa na hatutamki wazi wazi nani kahusika wapi; sasa nauliza Je CCM wauaji; naombeni mnitoe maana naona sasa fikra zangu zinanipeleka huko je ni katili/dhalimu na wauajia
 
Kuna taarifa ambazo nimethibitisha kuwa za kweli na sasa ziko huko Igunga ambako zinaonyesha CCM wamehusika na vifo vya akina mama wawili waliokuwa washabiki wa Chadema ktk uchaguzi wa igunga na waliuawa siku moja kabla ya uchaguzi na wameokotwa ikiwa miili yao imeharibiwa sana na polisi hawataki habari hii iwafikie wananchi; na habari zinaeleza mabaunsa wa CCM ndio waliohusika na mpango huu dhalimu, katili na wa kimauaji.

Swali ni Je sasa CCM ni dhahiri ni wauaji wa wananchi wake wenyewe wanaowaomba kura? wanataka kutawala nini mwishi wa siku kama wananchi wanaotaka kuwatawala wanawaua; je Salome mbatia; hapa kwetu mwanza je (wamachinga vipi?), Nyerere; kolimba; wananchi wa bulyankulu waliofukiwa; Masoud wa ubungo nae vipi? je chacha wangwe pia si jasusi wao alihusika? North mara ambako walihaha kutofanya post mortem nako; je pemba mwaka 2001 vipi? matukio mbona ni mengi sasa; je naruadia tena tusaidiane huu ukweli lazima uwe wazi; kama CCM wauaji sasa tujue ni mhimu kujua tunaongozwa na watu katili tena wauaji (Nina hasira na mod wamekuwa wakiondoa mada zinazotaka kujua ukweli mchungu; sijui kama nao wanatumiwa au la; ni hatari kwa ustawi kama ukweli utaanza kufunikwa maana kuna mada ya mauaji imefutwa kabisa hata MODS na siwaungi mkono ktk hilo)
Pole sana Mwanza_kwetu naona una hasira za kufa mtu baada ya CCM kuona sera zao hazisikilizwi wameanza kuua hata nguzo yao iliyobaki ya wanawake.
 
CCM hawajitambui, wanadhani hii nchi bado ya enzi za mkoloni. Wasiposomesha watu moto utawaka, wakisomesha watu hata kwa hiyo elimu ya kata moto lazima uwake, wakiendelea kuua watu moto lazima uwake, wasipoua watu moto uwake kwani waliyofanya yamekuwa mengi mabaya na hayavumiliki, Wasipofanya uchaguzi mwakani moto lazima uwake, wakifanya uchaguzi moto utawawakia tu.

Wasijidanganye kuwa na haki miliki ya hii nchi na wananchi wake, tunaona na mbinu tunajifunza kila siku za kupambana na muda ukifika watatoka tu.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe Nahodha, kwa nini mauaji yamepamba moto kiasi kote nchini chini ya uongozi wako katika wizara hii. Mbana Wa-Tanzania wanateketea kiasi hiki na wewe bado tu umetia timu wizarani bila kuchukua hatua ya kupisha ili uchunguzi ufanyike kwa uzembe wote?
 
Kuna udhibitisho gani kuwa ni ccm, kwani hayo ndio mauaji ya kwanza kutokea Igunga?, au kwakuwa yametokea wakati wa uchaguzi yanahusishwa na siasa?

alaaa kumbe!! Hebu tujuze maana yaelekea wewe unajua kuwa Igunga ni uwanja wa mauaji kila siku.... na ilipotokea "siku ya uchaguzi" siyo ajabu!

Hivi mtu kuvuliwa kilemba cha hijab na wanawake wanaovuliwa nguo zote na kisha kuuawa kikatili kipi kikubwa na kibaya cha kulaaniwa? BAKWATA MUPO?
 
wana muda mcahche mno. Wanaua watoto wetu hata wao watakufa na wakitoka madarakani tutashinikiza serikali ijayo iwanyonge ikikataa kuwa prosecute tutailazimu kufanya hivyo kwa nguvu. Ccm has become too much
 
Tusikurupuke na kupotoshana. Tuwe na subira na kuvipa vyombo vya usalama muda vifanye kazi yake. Bila shaka tutapewa taarifa za kweli kuhusiana na hii thread kama kweli ni ya kweli.
Katika Mantiki ya kawaida, unavyoshauri ni sahihi, lakini katika suala hili la Mauaji ya kinamama hawa, vyombo hivyo vya Usalama utendaji wake ni wa kutia Shaka sana, sikiliza vizuri walichofanya Polisi baada ya kupelekewa taarifa, kwanza hawakuenda siku hiyohiyo, walikwenda kesho yake, sote tulitarajia watachukua maiti wakafanye Autopsy ili kujua chanzo na muda wa vifo vyao, ndo maana nikasema waliondoka na maiti hizo, kumbe huku nyuma hawakuondoka na maiti hizo bali Daktari waliekuja nae alikagua kisha wakaondoka na kuagiza kuwa wazikwe hapohapo kwa haraka. Watu waliopotelewa na ndugu na jamaa zao (ni wengi mno waliopotea katika uchaguzi huu) walifika ili kujaribu kutambua maiti lakini hawakufanikiwa kwani walikuta wameshafukiwa kwa amri ya Polisi, wamejaribu kwenda kupata msaada Polisi lakini bila mafanikio. Sasa ukishauri kuwa hata kelele tusipige, sidhani kama itakuwa sahihi!
 
Jamani jamani jamani
huu ukimya wetu utatu-cost
hakuna hata tamko lolote mpaka sasa hivi
hata Bakwata wameamua kukaa kimya!!!!!!!
 
Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu!

Habari hizi zinatishaaaa, je yule mama Mwajuma shabani kiua vipi? maana yeye alitoka live TBC dhidi ya ccm! Jamani hali hii mpaka lini? Tufanye nini? ccm imezoea kuua mpaka lini?. Bob said "Old pirates, yes, they rob I; Sold I to the merchant ships, Minutes after they took I From the bottomless pit. But my hand was made strong By the hand of the Almighty. We forward in this generation Triumphantly. Won't you help to sing These songs of freedom? Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds. Have no fear for atomic energy, 'Cause none of them can stop the time. How long shall they kill our prophets, While we stand aside and look? Ooh! Some say it's just a part of it: We've got to fulfill the Book. Won't you help to sing These songs of freedom? 'Cause all I ever have: Redemption songs , How long shall they kill our prophets, While we stand aside and look?. Mungu aziweke roho za marehemu mashujaa hawa mahali pema peponi, Amen.
 
Tusipokuwa makini tuitajikuta tunapost kwenye thread ya habari ya Uongo.Mwandishi hajaonesha ukweli wowote wa habari hii.Hata mimi naweza kutunga stori kama hiyo.
 
Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it:
We've got to fulfill the Book.

Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have:
Redemption songs,
Redemption songs,
Redemption songs.
---
/Guitar break/
---
Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our mind.
Wo! Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them-a can-a stop-a the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Yes, some say it's just a part of it:
We've got to fulfill the book.
Won't you have to sing
These songs of freedom? -
'Cause all I ever had:
Redemption songs -
All I ever had:
Redemption songs:
These songs of freedom,
Songs of freedom.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kulalamika hakusaidii, toeni elimu kwa ndugu zenu watanzania wasiotaka kupiga kura, kwani hawa majambazi kwa kiasi kikubwa huwa wanashinda ktk chaguzi kwa sababu WAPINZANI WA UTAWALA WAO WALIOWENGI WANASUSA KUPIGA KURA HIVYO KUTOA NAFASI KWA WACHACHE WSIOELEWA KUWAWEKA MADARAKANI. angalia takwimu za 2010 na huu uchaguzi mdogo wa Igunga. Kwa utafiti mdogo niliofanya kwa wasiopiga majibu yalikuwa; 1. NIKIPIGA NISIPOPIGA SITABADILISHA CHOCHOTE(wizi) 2. SIPOTEZI MUDA KWA MAJIBU YANAYOJULIKANA na majibu mengine yanayofanana na hayo
 
Kweli hawa CDM ni watu wa hatari sana, yani nyie mnauwa wenzenu ili chama kipate nguvu.
 
Nyie kama mliweza kumfanyia uhuni DC huko igunga tena kwenye ofisi yake basi kuna mangapi mliyo fanya huko maporini. Hizi lawama lazima ziwarudie hao vijana wenu wa Arusha walio kuwa wakilewa mchana kutwa.
 
Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it:
We've got to fulfill the Book.

Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have:
Redemption songs,
Redemption songs,
Redemption songs.
---
/Guitar break/
---
Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our mind.
Wo! Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them-a can-a stop-a the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Yes, some say it's just a part of it:
We've got to fulfill the book.
Won't you have to sing
These songs of freedom? -
'Cause all I ever had:
Redemption songs -
All I ever had:
Redemption songs:
These songs of freedom,
Songs of freedom.
Note the red itallics, I think It's true brother. They have started killing our "prophets". Was it really worth and necessary to commit such a crime just for the sake of the Igunga by-election?????!!!!!! Oh good Lord, save our nation and its good people!!!
 
CCM hawajitambui, wanadhani hii nchi bado ya enzi za mkoloni. Wasiposomesha watu moto utawaka, wakisomesha watu hata kwa hiyo elimu ya kata moto lazima uwake, wakiendelea kuua watu moto lazima uwake, wasipoua watu moto uwake kwani waliyofanya yamekuwa mengi mabaya na hayavumiliki, Wasipofanya uchaguzi mwakani moto lazima uwake, wakifanya uchaguzi moto utawawakia tu.

Wasijidanganye kuwa na haki miliki ya hii nchi na wananchi wake, tunaona na mbinu tunajifunza kila siku za kupambana na muda ukifika watatoka tu.
..mkuu umenena.
Unajua viongozi wengi waliwaua wale wote waliodhania ni wapinzani wa matakwa yao ya kiutawala au wale wanaosema kweli juu ya mambo ya serikali lakini mwisho wake huwa ni fedheha. Mfano. Mubaraka, Saddamu Hussein N.K., huwezi kuzuia mabadiliko yanayohitajiwa na watu walio wengi kwa kuwaua,
 
Kama kweli wana-igunga wana mbunge, mbona hajaongea lolote kuhusu mauaji ya kijana masoud, na sasa hivi hawa wawili?
Ubunge wa damu hutuutaki. kama ccm inataka kubadili rangi za bendera ya nchi iseme wazi manake ukihesabu damu inayoendelea sababu ya kutafuta ukombozi kwa watanzania ni nyingi sana.
TISS inafanya nini?
 
Ccm mauaji ya Kombe,Masoud na hao kina mama wawili Igunga hamkwepi chochote.Ccm nyie ni Wauaji wakubwa.Mpango ambao unatekelezwa na viongozi wakubwa Mkapa is it true.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom