Japo jamii yetu inamuona mwanamke ambae hajaolewa ni kama muhuni fulani, ila kiuhalisia kuolewa wala sio suala la kilazima.Hawa wasio na ndoa wanafeli wapi
Kwan kuvaa hivyo ndiyo utakatifu?Na shungi lake 😏
Hawa wavaa mishungi wengi wana unafki sana sijui kwanini??
Baadae wakiwekea vitoto vyao sumu wanaanza kujiliza pumbavu..!!
Ukisikia UKAFIRI ndio huu sasa...Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja
Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣View attachment 3289936
Ushungi ni kutekeleza sheria ya UISLAM kwa mwanamke....haumfanyi MTU awe MCHAMUNGU.....Kama ni kweli familia hiyo ni ya kipumbavu! Halafu limevaa na ushungi bila aibu!
Si mnasema stara inamaanisha hata matendo yake ya stara..!Kwan kuvaa hivyo ndiyo utakatifu?