Maisha

Maisha

Ila wanawake wengi wana roho mbaya na choyo sana kwa wasiowazaa, hiyo n roho ya kipepo kabisa. Alafu lijitu kama hilo utalikuta kanisani linasali, unasali nini kwa matendo hayo?
 
Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja

Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣View attachment 3289936
Kabla ya kutoa hukumu source ya picha hiyo na nan alihoji kuwa huyo bint wapo nae maana mitandao now days unaweza pigwa picha mtu akatengeneza content na wala hausiki
 
Kabla ya kutoa hukumu source ya picha hiyo na nan alihoji kuwa huyo bint wapo nae maana mitandao now days unaweza pigwa picha mtu akatengeneza content na wala hausiki
Kuna video yake fuatilia comments
 
Roho yangu imeniuma.
Lakini ni kutojitambua,huyo akiamua mfe,ni sekunde.
Mtu anawapikia,anawafulia nguo,lakini kwenye kula mnamtenga.God forbid(siku akichoka....)
Wala hawezi fikia hatua hiyo, mpk inafikia unyanyasaji wa wazi hivyo mgahawani ni dhahiri huko nyumbani hakuna rangi hajaacha kuona, wanakuwa wametokea familia duni so option yake ni kuvumilia tu.
 
Mimi nina dada yangu ana roho mbaya mpaka sisi familia tumenyoosha mikono juu🙌🏻ila ana Mfanyakazi wake huu mwaka wa 5 ukifika pale mpaka unajiuliza huyu binti hana wazazi aondoke mahali hapa maana si kwa kazi zile bila kupumzika.
Huwa inasikitisha kumuonea huruma mtu asiejihurumia.. Lakini muda mwingine unakuta mabinti wametokea familia maskini kwa hiyo wanakomaa tu
 
Mungu aniepushie rohombaya na ya kikatili Kwa nduguzangu na hata wasio nduguzangu
 
Kwa kweli hii inasikitisha sana. Mama anawafundisha watoto tabia mbaya sana. wakikua watajua maisha yako hivyo.

basi angemuacha home. na angemletea hata chips kuku ili mdada aone yuko part ya familia.
 
Tatizo la hii mitandao nowadays ukute wanatengeneza content tu
 
Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja

Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣View attachment 3289936
Hii tabia wanayo sana kina Mama wa Kichagga na Kipare
 
Back
Top Bottom