Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 11,924
- 36,840
HahahaYeah mimi ni wa FB mkuu ! 😂 Kiranja mkuu kabisa wa wajinga
Nimekuja Jamii Forum nione
HahahaYeah mimi ni wa FB mkuu ! 😂 Kiranja mkuu kabisa wa wajinga
Nimekuja Jamii Forum nione
Sasa huo mfungo umewasaidia niniHiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja
Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣View attachment 3289936
Nilikuwa sijasoma hii comment kabla sijaandika yangu.Hao wadada mtu mwenye roho chafu kama hiyo ndio wana kaa na kudumu miaka kwa miaka ila ishi nae wewe ki ubinadamu na utu vituko kila leo.
Waarabu makatili sana ndiomana hawaoni shida kujitoa muhanga..!!Nilikutana na video moja dada mmoja wa kikenya alikuwa Saudia, alikwenda kufanya kazi za ndani lakini wakamgeuzia kibao, wakimwambia awe analalwa na mbwa kila siku. Miaka miwili yote kazi yake ikawa ni kufungiwa chumbani, wanampa dawa za kupandisha hamu ya tendo, na mbwa anamwingilia. Na siyo mbwa mmoja, anasema ni mijibwa mikubwa, asubuhi linaletwa moja, jioni jingine.
Sio maamuzi yangu madame... it's all about lifeSawa, siwezi pinga maamuzi yako
Kabisaa yaani 100 percent. Kuna mama mmoja nilienda kufanyia kazi kwake miaka fulani ana sura ya hivyo. Ni ana roho mbaya Iddy Amini arudi shule. Bahati mbaya nilikuwa naharisha tumbo linauma. Hadi kuingia uani naogopa kishenzi sababu ya ukali wake anaweza akakujazia nzi. Ikawa kila tumbo likivuruga natoka naenda kunya sokoniWamama wenye sura za namna hiyo wanakuwaga na rohoo mbaya sana.
Mwarabu anaona mtu mweusi ni kama nyani tu. Na hii iko kwenye utamaduni na mila zao kabisa. Hata kula wengi hawali mezani na mtu mweusi. Nashangaa baadhi ya wafia dini wanawaona kama ndiyo wasaidizi wa Mungu.Waarabu makatili sana ndiomana hawaoni shida kujitoa muhanga..!!
Chanzo ni umasikini. Kwa kawaida maisha yetu ya Leo hutengeneza kesho yetuHahahaha
Tatizo linaanzia apoSingular mom
Mimi sina huruma kwa hiyo picha kwa kweli,sehemu yenye utulivu hawakai ni vituko kuvimba,kisirani na Jeuri .Yaani kama ulikiwepo, mshahara wake kwa muda, nguo namnunulia na wanangu, chakula anakula anavyopenda. Siku moja akaleta bwana ndani. Akajificha mabandani baada ya mwenyewe kuingia. Jamaa akasepa kipakapaka, unajua paka akikimbia kiwiziwizi,
Njoo tulee hao watotoNilikuwa naitafuta comment kama hii.
Ila single mother sijui waliwafanyaga nini wanaume 😩
Mimi nina dada yangu ana roho mbaya mpaka sisi familia tumenyoosha mikono juu🙌🏻ila ana Mfanyakazi wake huu mwaka wa 5 ukifika pale mpaka unajiuliza huyu binti hana wazazi aondoke mahali hapa maana si kwa kazi zile bila kupumzika.Nilikuwa sijasoma hii comment kabla sijaandika yangu.
huwa nahisi pengine sehemu za watu wenye roho ngumu, huwa wanawachukulia kama wafanyakazi so ni kufanya kazi upate mshahara Ila hizi sehemu zingine huwa wanajisahau na kuanza kutaka haki sawa na kila mtu. Mwisho wa siku inaibuka dharau, jeuri na udhembe kwa kuona anawamudu
Binadamu ni kiumbe katili akiamua, then unakuta watu kama hao eti ni watu wa ibada sana 😳 shetani mwenyewe sometimes anatuoneaga huruma.Nilikutana na video moja dada mmoja wa kikenya alikuwa Saudia, alikwenda kufanya kazi za ndani lakini wakamgeuzia kibao, wakimwambia awe analalwa na mbwa kila siku. Miaka miwili yote kazi yake ikawa ni kufungiwa chumbani, wanampa dawa za kupandisha hamu ya tendo, na mbwa anamwingilia. Na siyo mbwa mmoja, anasema ni mijibwa mikubwa, asubuhi linaletwa moja, jioni jingine.