Maisha yangu na JamiiForums

Maisha yangu na JamiiForums

Mkuu, ulikubalije kuunganishwa na MTU JF, mtandao secret kama huu. Me jamiiForum sitaki hata baba angu aijue ID yangu japo anafahamu nami ni member toka kitambo.

Hata mzee nae sijawahi kuifahamu ID yake
Baba na Mama yangu niliwaunganisha mimi,
Baba yupo jukwaa la siasa namuonaga anamwaga points huko nampa like tu, Mama yupo pote ila hachangii nacheka ikitokea ameona habari fulani ananipigia simu kunihadithia kama vile mimi sipo, (i love u mom),

My sisters and bros wapo na tunajuana ila tumekubaliana kila mtu afanye yake,
Ndugu kibao hunambia wananiona (nipo wazi na picha zangu).

Jf ni forum kubwa sana yenye msaada kwa wengi, kwa hili Kaka Maxence Melo na uongozi mzima wa Jf wanastahili pongezi nyingi, tuendelee kuwasapoti tu.
 
Weka avatar yako basi hapo ndo nitaamini uko publicity
 
Nimevutiwa sana na story yako, unajua nimegundua sana hiki kitu kuna vijana wanaiga vitu fulani humu kutoka kwa watu fulani, (utajua kupitia aina ya uandishi) kuna siku nikajisemea huyu fulani hakua akiandika hivi before nikagundua anamuiga nani nikasema basi utani utani na nyumbani kwake anakua hivi hivi,

Kumbe kweli bhana jf inabadilisha maisha ya watu, ashukuriwe Anna kwa kukusaidia, ningemjua ningempa zawadi.

Binafsi kitu nipo addicted nacho ni Mziki, napenda sana mziki na nisiposikiliza hata kwa lisaa limoja nahisi kama napata panic attack.
JF ni drug kama drugs nyingine lazima uitumie kwa kadri na utaratibu ambao utaona unakufaa huku ukishughulisha akili yako kutafakari kwa kina kila unachokipokea kutoka humu, vinginevyo utakuwa Kama Mimi wa miaka sita iliyopita na bahati mbaya si kila mtu anaweza kukutana na akina Anna!
 
Binafusi ziwezi eleza coz wengi wameeleza nakupta mlemle kwenye maelezo ya isia zangu ndan ya #jamii forum# mkurugenzi uzd kubalikiwa
 
Yani Kiranga kashageuzwa topic hapa?

Nisameheni kidogo nduguzanguni.
Topic ni nini, je ina tofauti na copit?
Mungu na binaadamu nani ana uhai, je kule binadamu kuwa na damu kunamfanya Mungu kutokuwepo?
Kama Mungu hayupo, vipi tukisema binadamu pia hayupo?
 
Back
Top Bottom