Maisha yangu na JamiiForums

Maisha yangu na JamiiForums

Endelea kuandika OP.
Sijui ni kwanini lakini ulichoandika sikutamani kiishe.
Hahahaha chenye mwanzo kikikosa mwisho kinakosa ladha, waneni wamesema fupi tamu ndefu inakera
 
Jamaa hawawezi kubadilika, ni sikio la kufa! Ukiondoa makandokando hayo jamaa Wana akili sana
Uko sahihi mkuu jmaa wana akili unaweza kukuta mtu anajichetua lkn katika uchetukaji wake kuna ujumbe pia ndani yake
 
Anna alipiga kazi ya ziada
Halafu mvumilivu Sana! Alikuwa mwanamaombi, dini Sana halafu akakutana na Mimi "filosofa" namwambia aache ujinga kusali Haina logic! Alitumia muda mwingi kunisikiliza na kunielewa Kisha tukakubaliana kila mtu awe msikivu kwa mwenzake!

Alinionyesha ni kwa kiasi gani tabia zangu ni mateso kwa wanaonizunguka! Akanikumbusha matukio magumu niliyofanya pasipo kuzingatua utu japo nilikuwa sahihi ila ningeweza kuyafanya kwa njia tofauti na kupata matokeo Yale Yale niliyoyahitaji!

Nilikubaliana nae, utu ni muhimu
 
Kw maelezo yako ya kutufokea nimejifunza kitu kimoja kuwa humu wapo wakina Hannah tu kwahiyo wanahitajika wakina Anna ili kuwasaidia hawa jamaa waliokufundisha hizi tabia na wao wabadilike
Abee mkuu.
Kwani mimi sitoshi kuwasaidia?
 
Dah mimi binafsi najivunia kua member wa jamiiforums ...

Mimi binafsi nilikua napenda sana kusoma habari kupitia blog za bongo hizi za akin millard ayo, Samisago ila sasa nilikua niki ingia opera min kwa chini nakuta news basi nilikua nazipitia pitia maana napenda sana kusoma habari.

Sasa nilikua nakutana habari zinazo nivutia kweli kwel nikiangalia zinatokea wapi nakuta jamiiforums, habari ilinivutia kabisa mpaka kufikia kujiung jamiiforums ilikua ni ile ya KUITA KITU UNACHO KITAKA KUPITIA MAJINI ya mr rakims.. ebhana nika anza harakati za kujiunga ila sema kweli haikua rahisi zaidi ya wiki natafuta jinsi ya kujiunga apo nilisha download app ya jamiiforums tiari.

Nikakaa kama masiku kazaa naingia kupitia app ya jamiiforums nikajikuta mi pia ni member tiari ila sasa nilikua nikosoma nyuzi mbali mbali nikagundua humu jf hakuna utoto kama wa facebook maan mada zote ni za kiutuzima na watu wapo serious nikaona umu naish na watu kama kaka zangu..na tena wengine ni baba zangu na dada zangu humu jf,

Sema kweli najikuta kijana ambae najitambua sana kipindi hiki kupitia madini ninayo pata humu jf mimi elimu yangu ni form four nimemaliza mwaka jana tu..

Member wa jf mwenyezimungu azid kuwabariki maan humu ni kisiwa cha maarifa.. aisew niwe na bando nisiwe na bando aiwezi siku ipite bila kuingia jf ata nisipo kua na bando kuna hadi free basics kule jf ni bure yani mseleleko ..
 
Jf ndo ilikufanya uone mademu hawana maana yoyote au nyeto ndo ilikufanya uamini hivyo?
 
Dah mimi binafsi najivunia kua member wa jamiiforums ...

Mimi binafsi nilikua napenda sana kusoma habari kupitia blog za bongo hizi za akin millard ayo, Samisago ila sasa nilikua niki ingia opera min kwa chini nakuta news basi nilikua nazipitia pitia maana napenda sana kusoma habari...
Mkuu Maxence Melo kuna haja sasa ya kuanzisha jukwaa la watoto. Take it serious watoto nao wana haki ya kucheza kikatiba
 
Dah mimi binafsi najivunia kua member wa jamiiforums ...

Mimi binafsi nilikua napenda sana kusoma habari kupitia blog za bongo hizi za akin millard ayo, Samisago ila sasa nilikua niki ingia opera min kwa chini nakuta news basi nilikua nazipitia pitia maana napenda sana kusoma habari...
Vizuri... Ila usisahau kuwa endapo utachukua muda mrefu kusoma tu bila kutafakari mashiko ya ulichokisoma utaishia kwenye tabia mbaya ya kupenda kutafuniwa! Mwenzako niliiepuka hiyo tabia japo kwa kuchelewa ila niliiepuka
 
Jf ndo ilikufanya uone mademu hawana maana yoyote au nyeto ndo ilikufanya uamini hivyo?
Kwa mtu aliyekamilika vizuri mahusiano ya kimapenzi ni zaidi ya ridhiko la kingono pekee! Nyeto utajiridhisha kingono tu ila faida ya mwanamke kwa mwanaume ni zaidi ya ngono! Nyeto isingeweza kunifanya nione mahusiano sio lazima, na sizungumzii mahusiano ya kingono pekee bali socialization kwa ujumla wake
 
Back
Top Bottom