Maisha yangu na JamiiForums

Maisha yangu na JamiiForums

Ulikuwa bogas ujuaji uliopitilza mpaka kufikia stage ya kuona hakuna mungu na kumwambia mwenzake asiombe kwa mungu ni ujinga ulipitiliza sana .

Nashindwa kuelewa ulikuwa unasomea cozi gani ambayo ikitokea mada ya kuchangia wewe unakuwa opposite na ukweli na still bado unashinda kwa hoja nina walakini.

Katika jukwaa la JF kwa experience yang tangu niwe members sijawahi kuona mahali wanampinga God wala kuona hoja ya mockers kwa Mungu sasa nashindwa kuelewa wewe huu ujinga ulijazwa JF kivip lkn kimsingi ukitaka kuwa master mind lkn ulikuwa kwenye levo ya utoto tazama ulivyokuwa sasa mtu mzima na kuwa naakili ya kiutuuzima na kuona yale ulikuwa unadhani ni ya kijinga sana.

Lkn yote tisa kumi hongera kwa kuwa mtu mzima Sasa
 
Mkuu, ulikubalije kuunganishwa na MTU JF, mtandao secret kama huu. Me jamiiForum sitaki hata baba angu aijue ID yangu japo anafahamu nami ni member toka kitambo.

Hata mzee nae sijawahi kuifahamu ID yake
 
Ulikuwa bogas ujuaji uliopitilza mpaka kufikia stage ya kuona hakuna mungu na kumwambia mwenzake asiombe kwa mungu ni ujinga ulipitiliza sana.
Unasema hujawahi kuona JF watu wakipinga dhana ya uwepo wa Mungu? Umejiunga lini na JF? Nenda intelligence ukaona ligi ilivyokuwa na mara kibao tu ilifikia hatua ya kukubaliana kutokukubaliana baina ya walioamini na wasioamini!

Nenda thread za 2012-2015 ukaone maajabu... Kuhusu mimi ni kweli nilikuwa mjuaji lakini kwa Sasa nimebadirika hukuwa na haja ya kukasirika kiasi hicho
 
Mkuu, ulikubalije kuunganishwa na MTU JF, mtsndao secret kama huu.. Me jamiiForum sitaki hata baba angu aijue ID yangu japo anafahamu nami ni member toka kitambo..
Hata mzee nae sijawahi kuifahamu ID yake
Kwa wakati ule sikuona hatari yoyote, japo kwa Sasa naona umuhimu wa kuwa 100% anonymous ila siwezi kuiacha hii account nimetoka nayo mbali
 
Mimi nilikuwa msomaji tu tangu 2015 na nashukuru ndo kipindi nilikuwa nimeingia kwenye mahusiano na mwanachuo wa kitanga chupuchupu nikimbie kutafta kazi yangu binafsi ili akimaliza shule tuanze maisha maana alinianza mwenyew nikaingia kwa miguu yote miwili.

Lakini nashukuru humu mabinti wengi wachuo watu wanawafaham upuuzi wao vizuri hapo akili yangu kidogo ikaanza kuchanganua mpaka Leo nikaanza kuamini mwanamke ni kiumbe asiyetabirika aliweza kunitesa huyu kiumbe na nikaamini kwamba binadamu wengi tunazaliwa na moyo mzuri ila tunabadilika kutokana na malipo tunayopata baada ya kumpa MTU mapenzi ya kweli.
 
Tumpe nini Anna wa watu kwa kukomboa sanamu la watu..😅

Jf kwangu nilikuta naijua tu!.. ilikuwa nikisearch Google kitu fulani naona wananidirect huku jf.. mwishowe nikanogewa nikajiunga nikawa member nilianza kama mpole ila sahivi sasa..😎
Jf ni kisima Cha maarifa na ujinga pia na jokes hizo zote ni sifa tulizonazo wanadam,so ni vile tu utaamua uchote kipi uache kipi..
Kwamba sanamu la watu😂
 
Story yako ni nzuri sana na inafurahisha.
 
Am addicted with this forum, jf kisima cha maarifa
 
Huyu siyo Saint Anne kweli? Maana alivyoandika ni kama huyu wa humu mwenye mapenzi tele na Kanisa.

Tumpe nini Anna wa watu kwa kukomboa sanamu la watu..😅

Jf kwangu nilikuta naijua tu!.. ilikuwa nikisearch Google kitu fulani naona wananidirect huku jf.. mwishowe nikanogewa nikajiunga nikawa member nilianza kama mpole ila sahivi sasa..😎
Jf ni kisima Cha maarifa na ujinga pia na jokes hizo zote ni sifa tulizonazo wanadam,so ni vile tu utaamua uchote kipi uache kipi..
 
Back
Top Bottom