Maisha yangu na JamiiForums

Maisha yangu na JamiiForums


Kuna kipengele kimenichekesha.
Inaonekana ni mwandishi mzuri, interesting huchoki kusoma.
 
Uzuri huku watu hawauzi sura, wanauza mitazamo na fikra! Kuna anayependwa kwa akili zake na mwingine anapendwa kwa ujinga wake! Wote tunaishi
Kabisa Mkuu,
Ukiwa makini Jamii Forums Ina Faida Nyingi kuliko hasara. Nimejifunza mengi Humu ndani.Nina miaka zaidi ya nane humu.

Kiranga @lara1 Mtambuzi ni miongoni mwa members wachache mno ambao wamenijenga kwa hoja zao
 
Baada ya kumaliza kidato cha nne nilibahatika kumiliki smartphone yangu ya Kwanza. Nilikuwa so excited kujua Jamiiforums inafananaje hii ilitokana na baba yangu kuwa msomaji Sana wa magazeti ya Raia Mwema na Mwanahalisi na mara nyingi wachambuzi wa magazeti hayo walikuwa wanafanya reference zao kutoka Jamiiforums..
Mkuu Dawa Yenu, kwa aina ya uwakilishaji wa mada yako, na wala pasipo kutambua umri wako ama elimu yako, una uwezo mkubwa sana akilini mwako. Imebaki kwako kijiendeleza kitaaluma ama kiuweledi, ili ufikie hatua ya juu sana ya uhalisia ya jinsi wewe ambavyo ulivyo.
 
Mie mwenyewe JF imenisadia mambo mengi lakini 3 makubwa ni kuwa nimepata kazi yangu kupita JF,nilipona gonjwa fulani hivi kupitia ushauri wa mwana Jf moja hivi,na mwisho nimekuwa na mtazamo chanya wa mambo mengi kupitia Jf nimekuwa updated na mambo mengi kiundani mpaka wafanyakazi wenzangu wananichukulia kama mtu mwenye uelewa mkubwa sana wa mambo mengi sana.
 
Mkuu, ulikubalije kuunganishwa na MTU JF, mtandao secret kama huu. Me jamiiForum sitaki hata baba angu aijue ID yangu japo anafahamu nami ni member toka kitambo.

Hata mzee nae sijawahi kuifahamu ID yake
Nimecheka kwa sauti,unaweza mtukana mzazi wako bila kujua.Tuongeze staha,JF ni "Mhimili wa nne"
 
Umeandika Sana... Kama ungekua msanii was hip hop basi ungekua fid q.....
Kwa threads za ki-CIA humu ndani unaweza ukijikuta ni TISS staff huko mtaani kwako
 
Ulikuwa bogas ujuaji uliopitilza mpaka kufikia stage ya kuona hakuna mungu na kumwambia mwenzake asiombe kwa mungu ni ujinga ulipitiliza sana .
mungu yupo hayupo?
Katika jukwaa la JF kwa experience yang tangu niwe members sijawahi kuona mahali wanampinga God wala kuona hoja ya mockers kwa Mungu
wewe ni mgeni na umekurupuka ili kujionesha .

soma komenti hio ya member hapo chini ili ujue hujui kitu humu na wewesi mfatiliaji.
Mkuu, mimi sipendi kubishana kwa vitu vya kipuuzi.
Na kwakuwa nimekwambia uthibitishe uwepo wa huyo mungu, umeshindwa, badala yake unaleta story na mambo ya ajabu,
Kwa ufupi niseme "mungu ni shoga"
Kama yupo basi akasilike na ajibu hilo andiko langu hapo juu, sababu yeye mnasema hashindwi chochote
umeona huyo mungu alivotukanwa hapo zipo zaidi ya hio jaribu kufatilia
 
Mkuu Dawa Yenu, kwa aina ya uwakilishaji wa mada yako, na wala pasipo kutambua umri wako ama elimu yako, una uwezo mkubwa sana akilini mwako. Imebaki kwako kijiendeleza kitaaluma ama kiuweledi, ili ufikie hatua ya juu sana ya uhalisia ya jinsi wewe ambavyo ulivyo.
Nashukuru Sana kwa nasaha zako mkuu
 
mungu yupo hayupo?

wewe ni mgeni na umekurupuka ili kujionesha .

soma komenti hio ya member hapo chini ili ujue hujui kitu humu na wewesi mfatiliaji.

umeona huyo mungu alivotukanwa hapo zipo zaidi ya hio jaribu kufatilia
Huyu jamaa atakuwa mgeni Sana hapa jamvini
 
Mi bana nilikuwa JF kitambo tu. Ila sikuwa active member. Hawa jamaa si wakatangaza nafasi za kazi, na sharti muhimu lilikuwa uwe active member kuanzia miezi sita na kuendelea. Nkaona isiwe tabu nkaikazia mpaka leo nko nayo.

Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimevutiwa sana na story yako, unajua nimegundua sana hiki kitu kuna vijana wanaiga vitu fulani humu kutoka kwa watu fulani, (utajua kupitia aina ya uandishi) kuna siku nikajisemea huyu fulani hakua akiandika hivi before nikagundua anamuiga nani nikasema basi utani utani na nyumbani kwake anakua hivi hivi,

Kumbe kweli bhana jf inabadilisha maisha ya watu, ashukuriwe Anna kwa kukusaidia, ningemjua ningempa zawadi.

Binafsi kitu nipo addicted nacho ni Mziki, napenda sana mziki na nisiposikiliza hata kwa lisaa limoja nahisi kama napata panic attack.
 
Back
Top Bottom