Maisha yanachanganya sana

Maisha yanachanganya sana

Unaweza kukuta hela za masharti hizo unamlaumu bure bro. We achana naye kama zipo mishe usione noma.
Ni kweli ndugu yangu mi sina haja ya kumlaumu ndio maana nimekuja kwenu kuomba ushauri na njia zp za kuweza kusurvive hapa mjini
 
Unauhakika ni ndgu yake wa tumbo moja? au ww hujui unaweza kusaidiwa na mtu ambaye hata sio ndg yako kwa urahisi zaidi kuliko wa tumbo moja
Ni kweli kabisa uyasemayo huyu bwana ni ndugu yangu wa tumbo moja kabisa
 
Maisha ya Dar ukipata sehem ya kula na kulala wew tayar umetoboa.
Rafik yangu wa mtaani Zombie alinipeleka kiwanda cha kutengeneza kanga, vitenge na Mashuka cha NIDA njia panda ya kwenda Tabata. Hakika alinifunza mengi sana.
Haki
Nisaidie hata kimawazo ndugu yamgu maana inaonekana kuna mengi unayafaham
 
Ushauri wangu rudi kijinini kwenu Tafuta panga jipya jembe jipya na uwe na mkebe wako wa chakula na maji pitia mashambani omba vibarua au kama kwenu mnaeneo anza kilimo cha mchicha na ujenge mahusiano mazuri na wamama wa sokoni
Kaka mimi kwetu sio kijijini ni mjini kabisa japo ni mkoani ila hiyo fursa ya mashamba hakuna
 
Ni kaka yangu tumbo moja namaanisha ni baba na mama mmoja na ana gari tatu za school bus na noah moja ya kutembelea na hizo school bus zote kaajili watu lakini mimi ndugu yake nipo mtaani naangaika
Daah 😭😭😭
 
Ni kaka yangu tumbo moja namaanisha ni baba na mama mmoja na ana gari tatu za school bus na noah moja ya kutembelea na hizo school bus zote kaajili watu lakini mimi ndugu yake nipo mtaani naangaika
Mi sishangai Sana Hali hiyo.. maana hata kwangu ilikuwa hivyo ninaye Kaka pia ni mfanyabiashara wa kimataifa yaan anauza dagaa, mashudu na magari mpaka nje ya nchi yaani aliowaajiri wanatajirika lakini Mimi Niko palepale ana fuso tatu gari mbili za kutembele Prado na harrier ana show room mwanza ana viwanda vidogovidogo vya kutengeneza chakula cha mifugo... Lakini wapi hana habari na ndugu sio Mimi tu hata wengine mpaka tunahisi labda utajiri huu ni wa mashart.
 
Aisee kumbe nawewe ni kama mimi mkuu kiukweli ndugu wanachangamoto sana
 
Boda boda si kazi ya kumshauri mtu afanye
Miezi yote 6 ulikuwa unachezea remoti ya tv tu sebuleni?

Jifunze pikipiki muombe akufadhili pesa ya driving license, chukuwa pikipiki ya mkataba tafuta kijiwe ingia mtaani.

Mengine utajiongeza changamsha akili.
 
Kama upo fizikali fiti nenda Buguruni pale kiwanda cha Bakhresa huwa wanachukua vibarua kila siku asubuhi, Ila narudia tena KAMA UPO FIZIKALI FITI. Kila la kheri.
Mziki wake sio Poa
 
Hii Tabia ya ubinafsi WA kishamba ni mbaya Sana Kwa maendeleo ya hii jamii , hapo utakuta Hilo lijamaa lina kama milioni 100 benki na vitega uchumi kadhaa Ila hata kumsaidia kianzio cha biashara ndogo Tu huyo ndugu yake linaona shida , ila liko radhi kunywa bia kila siku , kuvuta bange na kuhonga Malaya Kwa kulipia mamilioni ,
Mkuu bange inahusikaje Hapo?Heshimu ibada za watu tafadhali
 
Back
Top Bottom