Maisha yanachanganya sana

Maisha yanachanganya sana

Kipindi nimemaliza. Chuo nikaenda kutafuta kazi kwenye mahospital hata ya kujitolea.......nilikuwa napata ila tatizo sikuwa na vyeti wala leseni si unajua kozi za afya..........nilipoona mambo yamekuwa magumu nikajiongeza kiwanda cha bakhresa buguruni.......nimebeba sana pumba za ngano mpaka nikapata ramani.........
 
Pole sana mkuu,...jambo la kwanza ni kutembea..yani usikae ndani hata kidogo....jambo la pili usione aibu kwenda kuulizia mishe hata kama mazingira yanatia aibu ...inabidi ujitoe ufahamu...ktka sehemu zifatazo utapata mchongo

Car wash
Stendi
Kijiwe cha boda
Kijiwe cha total
Kwenye site za ujenzi ..kila hatua dua...
 
Mimi kuna kitu kinanishangaza naona wengine huu mlipewa makavu live mimi nimeingia mjini nikawa nipo kwa bro yupo vizuri tu ila chuo nilokuwa nimesomea hapa hapa Dar cha ajabu bro ndo alikuwa hataki kabisa nitoke home kabisa yanii yani alikuwa hadi ananiambia mbona huleti demu upige ila akili ikaniambia hapana nikajiongeza nikasepa namuaga hataki kabisa baada ya kuondoka huwezi amini alikaa miezi sita bila kuongea na mimi iwe kijijini au mjini tukikutana ila sasa shidah imeisha kila mtu na maisha yake na familia yake.
 
Oi! sasa kwanini huyo brother yako asikupe mtaji wa kuanzia maisha na akusimamie wewe mdogo yake kila kitu mpaka utakaposimama mwenyewe?
Kuliko akuache uhangaike upoteze muda mwingi bila mpango maalum wala kujua unapokwenda?

Kama angekuwa mdogo wangu mimi basi ningefanya hivyo na nawashangaa wewe na kaka yako na wote wanaotoa comments humu mindsets, akili, utu na ubinadamu wenu ukoje. mimi naona ajabu.

Seriously siwezi kumuacha ndugu yangu wa karibu apitie magumu wakati mimi nipo na ninajiweza vizuri na uwezo na uhakika wa kukusaidia ninao. no wonder familia za kiafrika ni ngumu kukuta ukoo mzima ni tajiri na umefanikiwa sababu hatuwezi wala hatujui kusaidiana na kunyanyuana.
 
Umeongea point mkuu. Roho zinatofautiana, wewe upo tayari kumsaidia ndugu yako, lakini kuna wengine icho kitu hakipo. Hawajui hapa duniani tunapita na kuviacha.
 
Ila maisha ya Sasa, mtu bila kukuonyesha njia ni ngumu kidogo, miaka ya nyuma, kampuni za ujenzi zilikua nyingi sana,ilikua rahisi mtu kujishikiza humo huku unatafuta kazi ya kudumu.

Zamani ukitembelea viwandani, ilikua rahisi kupata kibarua, Ukitembelea kwenye Ma site, enzi za Sikamsika Noromco, Noremco, Coast Steell, Kajima, na hata kampuni yetu ya kizelendo Mecco. kama siyo ujenzi Unaenda Sigara, UFI, Urafiki, Sungura Tax, Kiwanda cha Usagishaji Cha Taifa, yaani National Miliing, Wazo hill, National Panarsonic, Bora Shoes, Na viwanda vya watu binafsi humu mwote mlikua mnapatikana kazi, vibarua na kudumu.

Zikiwemo sekta zingine za kiserikali na binafsi, ila miaka hii, kama kweli unamtaka ajitegemee ni wako, lazima umuonyshe njia, na ikiwezekana umsaidie.
 
Oi! sasa kwanini huyo brother yako asikupe mtaji wa kuanzia maisha na akusimamie wewe mdogo yake kila kitu mpaka utakaposimama mwenyewe?
Kuliko akuache uhangaike upoteze muda mwingi bila mpango maalum wala kujua unapokwenda?

Kama angekuwa mdogo wangu mimi basi ningefanya hivyo na nawashangaa wewe na kaka yako na wote wanaotoa comments humu mindsets, akili, utu na ubinadamu wenu ukoje. mimi naona ajabu.

Seriously siwezi kumuacha ndugu yangu wa karibu apitie magumu wakati mimi nipo na ninajiweza vizuri na uwezo na uhakika wa kukusaidia ninao. no wonder familia za kiafrika ni ngumu kukuta ukoo mzima ni tajiri na umefanikiwa sababu hatuwezi wala hatujui kusaidiana na kunyanyuana.
Akili za wabongo ziko demented , yaani eti anamshauri mtu akabebe viloba Kwa bakhresa wakati Kaka take huyo mtu anauwezo Tu WA kumpa kianzio cha hata biashara ndogo Huyu ndugu hapa , Huu ujinga Huu ndio maana wananchi hii nchi wanaishi kama manamba (kutumikishwa zaidi ya punda tena Kwa ujira mdogo Sana ) , aliyewahi kufanya kazi kwenye viwanda vya makanjibai na wachina ataelewa ninaloongea hapa .
Tuache akili za kimasikini waTanzania
 
Ukibahatika kupata chochote cha kufanya kumbuka kumnunulia hata zawadi na usave ili utoke hapo haraka. Ndigu yako amekupa makavu mapema bila kukuigizia.

Na huo ndio utaratibu wetu siku hizi haya maisha ya mjini. Ukija kwa ndugu kutafuta maisha nakupanga mapema, kama kukusaidia nitakusaidia ukapate sehemu ya kazi. Chakula na sehemu ya kulala lazima nikusapoti.

Ila ujitahidi upate pahala pa kuishi na uanze maisha yako haraka sana.
Ahsante kwa ushauri wako kaka ila kuna baadhi vitu sijavielewa hapo
 
Akili za wabongo ziko demented , yaani eti anamshauri mtu akabebe viloba Kwa bakhresa wakati Kaka take huyo mtu anauwezo Tu WA kumpa kianzio cha hata biashara ndogo Huyu ndugu hapa , Huu ujinga Huu ndio maana wananchi hii nchi wanaishi kama manamba (kutumikishwa zaidi ya punda tena Kwa ujira mdogo Sana ) , aliyewahi kufanya kazi kwenye viwanda vya makanjibai na wachina ataelewa ninaloongea hapa .
Tuache akili za kimasikini waTanzania
Ndio ndugu yake ataki sasa kumsaidia...angemsaidia asingeomba ushauri humu
 
Umeongea point mkuu. Roho zinatofautiana, wewe upo tayari kumsaidia ndugu yako, lakini wengine icho kitu hakipo. Hawajui hapa duniani tunapita na kuviacha.
Hii Tabia ya ubinafsi WA kishamba ni mbaya Sana Kwa maendeleo ya hii jamii , hapo utakuta Hilo lijamaa lina kama milioni 100 benki na vitega uchumi kadhaa Ila hata kumsaidia kianzio cha biashara ndogo Tu huyo ndugu yake linaona shida , ila liko radhi kunywa bia kila siku , kuvuta bange na kuhonga Malaya Kwa kulipia mamilioni ,
 
Back
Top Bottom